Kupanda majukwaa ya kisiasa ni vita kama vita zingine, tuwaombee wanasiasa

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia.

Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi apatikane, Kuzomewa ni kawaida Katika majukwaa ya kisiasa, kuishiwa nguvu na kuanguka jukwaani ni jambo lingine, uchovu na mengineyo huchangia.

Sasa mtu mmoja akavuka zile duara Tano za kiusalama, ghafula akaanza kumtia mitama mgombea wetu Ili kumuangusha chini, wakati tunajiuliza Nini kinaendelea na amefikafikaje, ghafula tv zikazimwa Ili tusione adhaa Ile.

Kule merekani, wabaya nao wakaona jukwaani, hadharani mchana kweupe ndio sahihi kumlenga mgombea, japo hawakufanikiwa, ilileta mshangao mkubwa sana.

Swali: Nini hasa ilikuwa Nia na lengo la kumvamia kimazingara mgombea wetu akiwa jukwaani na kutaka kumwangusha?

Nawasilisha 🙏
 
Salaam!

Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi umeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia.

Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi apatikane, Kuzomewa ni kawaida Katika majukwaa ya kisiasa, kuishiwa nguvu na kuanguka jukwaani ni jambo lingine, uchovu na mengineyo huchangia.

Sasa mtu mmoja akavuka zile duara Tano za kiusalama, ghafula akaanza kumtia mitama mgombea wetu Ili kumuangusha chini, wakati tunajiuliza Nini kinaendelea na amefikafikaje, ghafula tv zikazimwa Ili tusione adhaa Ile.

Kule merekani, wabaya nao wakaona jukwaani, hadharani mchana kweupe ndio sahihi kumlenga mgombea, japo hawakufanikiwa, ilileta mshangao mkubwa sana.

Swali: Nini hasa ilikuwa Nia na lengo la kumvamia kimazingara mgombea wetu akiwa jukwaani na kutaka kumwangusha?

Nawasilisha 🙏
Ukiwa unamwombea mwanasiasa mimi nakufananisha na kichaa,mimi nitamwombea achee siasa ama atakapoachana na siasa.
 
Siasa ni Kila kitu,

Hata kununua bundle la internate na kucommunicate JF ni siasa pia.
 
Amereport thread kuhusu mlinzi wa mgombea kujikwaa na kuanguka kwa mshindo mkubwa Hadi vumbi kutokea.
Kwani pia aliripoti kuanguka kwa waliookuwa wakienda mnadani?
 
Salaam!

Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia.

Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi apatikane, Kuzomewa ni kawaida Katika majukwaa ya kisiasa, kuishiwa nguvu na kuanguka jukwaani ni jambo lingine, uchovu na mengineyo huchangia.

Sasa mtu mmoja akavuka zile duara Tano za kiusalama, ghafula akaanza kumtia mitama mgombea wetu Ili kumuangusha chini, wakati tunajiuliza Nini kinaendelea na amefikafikaje, ghafula tv zikazimwa Ili tusione adhaa Ile.

Kule merekani, wabaya nao wakaona jukwaani, hadharani mchana kweupe ndio sahihi kumlenga mgombea, japo hawakufanikiwa, ilileta mshangao mkubwa sana.

Swali: Nini hasa ilikuwa Nia na lengo la kumvamia kimazingara mgombea wetu akiwa jukwaani na kutaka kumwangusha?

Nawasilisha 🙏
Tukisali na kuomba shumileta afe sio mbaya pia
 
Amereport thread kuhusu mlinzi wa mgombea kujikwaa na kuanguka kwa mshindo mkubwa Hadi vumbi kutokea.
Basi hapo alinyimwa kibali cha kuambatana na wenyenia isiyoendana na mahitaji ya taifa hili.Kweke achukulie kuwa ni onyo kutoka kwa Mungu.Kwa mujibu wa imani yake..
 
Message sent
 
Salaam!

Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia.

Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi apatikane, Kuzomewa ni kawaida Katika majukwaa ya kisiasa, kuishiwa nguvu na kuanguka jukwaani ni jambo lingine, uchovu na mengineyo huchangia.

Sasa mtu mmoja akavuka zile duara Tano za kiusalama, ghafula akaanza kumtia mitama mgombea wetu Ili kumuangusha chini, wakati tunajiuliza Nini kinaendelea na amefikafikaje, ghafula tv zikazimwa Ili tusione adhaa Ile.

Kule merekani, wabaya nao wakaona jukwaani, hadharani mchana kweupe ndio sahihi kumlenga mgombea, japo hawakufanikiwa, ilileta mshangao mkubwa sana.

Swali: Nini hasa ilikuwa Nia na lengo la kumvamia kimazingara mgombea wetu akiwa jukwaani na kutaka kumwangusha?

Nawasilisha 🙏
Kule Marekani sihala haikulenga kuua pale pale bali kumfunda mgombea sumu afe taratibu... Fuatilia anavyonyonyoka!
Huyu nduli Iddy Amini Bibi yupo rada!
 
Propaganda hizo,

Ulenge kichwa halafu risasi ichague sikio!

Umeshawahi kutumia silaha?
 
Amereport thread kuhusu mlinzi wa mgombea kujikwaa na kuanguka kwa mshindo mkubwa Hadi vumbi kutokea.
Lakini,si juzi tu Lucas Mwashambwa alituarifu hao "mabodegade" walivyo shupavu tena ngangari wa kupigiwa mfano?
 
Back
Top Bottom