Ukiwa unamwombea mwanasiasa mimi nakufananisha na kichaa,mimi nitamwombea achee siasa ama atakapoachana na siasa.Salaam!
Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi umeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia.
Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi apatikane, Kuzomewa ni kawaida Katika majukwaa ya kisiasa, kuishiwa nguvu na kuanguka jukwaani ni jambo lingine, uchovu na mengineyo huchangia.
Sasa mtu mmoja akavuka zile duara Tano za kiusalama, ghafula akaanza kumtia mitama mgombea wetu Ili kumuangusha chini, wakati tunajiuliza Nini kinaendelea na amefikafikaje, ghafula tv zikazimwa Ili tusione adhaa Ile.
Kule merekani, wabaya nao wakaona jukwaani, hadharani mchana kweupe ndio sahihi kumlenga mgombea, japo hawakufanikiwa, ilileta mshangao mkubwa sana.
Swali: Nini hasa ilikuwa Nia na lengo la kumvamia kimazingara mgombea wetu akiwa jukwaani na kutaka kumwangusha?
Nawasilisha 🙏
Siasa ni Kila kitu,Ukiwa unamwombea mwanasiasa mimi nakufananisha na kichaa,mimi nitamwombea achee siasa ama atakapoachana na siasa.
Sio za kiuana Mtandao lakiniSiasa ni Kila kitu,
Hata kununua bundle la internate na kucommunicate JF ni siasa pia.
Kiuana ndo nn sijaelewaSio za kiuana Mtandao lakini
ZakimtandaoKiuana ndo nn sijaelewa
Kuna swali nimeuliza pale juu umeliona?Zakimtandao
Huyo mnazi mnazi huyu,,hakuwepo kwenye lile lori kweli?Waufukweni karibu pande hizi.
Amereport thread kuhusu mlinzi wa mgombea kujikwaa na kuanguka kwa mshindo mkubwa Hadi vumbi kutokea.Huyo mnazi mnazi huyu,,hakuwepo kwenye lile lori kweli?
Kwani pia aliripoti kuanguka kwa waliookuwa wakienda mnadani?Amereport thread kuhusu mlinzi wa mgombea kujikwaa na kuanguka kwa mshindo mkubwa Hadi vumbi kutokea.
Tukisali na kuomba shumileta afe sio mbaya piaSalaam!
Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia.
Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi apatikane, Kuzomewa ni kawaida Katika majukwaa ya kisiasa, kuishiwa nguvu na kuanguka jukwaani ni jambo lingine, uchovu na mengineyo huchangia.
Sasa mtu mmoja akavuka zile duara Tano za kiusalama, ghafula akaanza kumtia mitama mgombea wetu Ili kumuangusha chini, wakati tunajiuliza Nini kinaendelea na amefikafikaje, ghafula tv zikazimwa Ili tusione adhaa Ile.
Kule merekani, wabaya nao wakaona jukwaani, hadharani mchana kweupe ndio sahihi kumlenga mgombea, japo hawakufanikiwa, ilileta mshangao mkubwa sana.
Swali: Nini hasa ilikuwa Nia na lengo la kumvamia kimazingara mgombea wetu akiwa jukwaani na kutaka kumwangusha?
Nawasilisha 🙏
Basi hapo alinyimwa kibali cha kuambatana na wenyenia isiyoendana na mahitaji ya taifa hili.Kweke achukulie kuwa ni onyo kutoka kwa Mungu.Kwa mujibu wa imani yake..Amereport thread kuhusu mlinzi wa mgombea kujikwaa na kuanguka kwa mshindo mkubwa Hadi vumbi kutokea.
Ukimwombea kifo ndio unamtakia MAISHA marefu.Tukisali na kuomba shumileta afe sio mbaya pia
Message sentBasi hapo alinyimwa kibali cha kuambatana na wenyenia isiyoendana na mahitaji ya taifa hili.Kweke achukulie kuwa ni onyo kutoka kwa Mungu.Kwa mujibu wa imani yake..
Kule Marekani sihala haikulenga kuua pale pale bali kumfunda mgombea sumu afe taratibu... Fuatilia anavyonyonyoka!Salaam!
Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia.
Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi apatikane, Kuzomewa ni kawaida Katika majukwaa ya kisiasa, kuishiwa nguvu na kuanguka jukwaani ni jambo lingine, uchovu na mengineyo huchangia.
Sasa mtu mmoja akavuka zile duara Tano za kiusalama, ghafula akaanza kumtia mitama mgombea wetu Ili kumuangusha chini, wakati tunajiuliza Nini kinaendelea na amefikafikaje, ghafula tv zikazimwa Ili tusione adhaa Ile.
Kule merekani, wabaya nao wakaona jukwaani, hadharani mchana kweupe ndio sahihi kumlenga mgombea, japo hawakufanikiwa, ilileta mshangao mkubwa sana.
Swali: Nini hasa ilikuwa Nia na lengo la kumvamia kimazingara mgombea wetu akiwa jukwaani na kutaka kumwangusha?
Nawasilisha 🙏
Propaganda hizo,Kule Marekani sihala haikulenga kuua pale pale bali kumfunda mgombea sumu afe taratibu... Fuatilia anavyonyonyoka!
Huyu nduli Iddy Amini Bibi yupo rada!
Lakini,si juzi tu Lucas Mwashambwa alituarifu hao "mabodegade" walivyo shupavu tena ngangari wa kupigiwa mfano?Amereport thread kuhusu mlinzi wa mgombea kujikwaa na kuanguka kwa mshindo mkubwa Hadi vumbi kutokea.
mlinzi kaanguka kama furushi anafanya mazoezi kweli yule TISS CCMAmereport thread kuhusu mlinzi wa mgombea kujikwaa na kuanguka kwa mshindo mkubwa Hadi vumbi kutokea.