Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.

Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.

Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.

Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?

Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?

Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.

Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.

Screenshot_2023-04-17-07-06-37-57.png

Nimemaliza.
 
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Ni kweli, ila Neema tuko naye hapa jamvini kitambo, namfikishia ujumbe wake kwa hili hapana, amekosea sana.

Wote tunamjuwa vizuri Le Mutuz humu ni mtu mzima hovyo, lakini Neema kuwalisha Sumu Watoto haikubariki.

Tuna ndugu zetu wamezaa unyamwezini miaka na miaka lakini mtoto anajuwa mpaka shikamoo.

Mbona Wahindi popote wanapozaliwa bado anakuwa ni muhindi yuleyule?

Eti suck my dick, halafu mama mzima unapeleka huu ujinga kwa Mange ili Watoto wako waonekane wasivyo na akili?
 
Mkuu,

Hapa imekuwa kama vile ugomvi wa wanafamilia wewe unaupaisha uenee zaidi mitandaoni.

Mimi nilikuwa sijui habari hizi, nimejua kwako.
 
Mkuu,

Hapa imekuwa kama vile ugomvi wa wanafamilia wewe unaupaisha uenee zaidi mitandaoni.

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.

Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
 
Attachments

  • Screenshot_2023-04-17-07-06-37-57.png
    Screenshot_2023-04-17-07-06-37-57.png
    136.5 KB · Views: 27
Ila le mubebez amapaswa kubadilika sana. Ni mgonjwa yule lkn kila siku kujisifia yupo five star hotel namadem tofauti!

Kila siku ana madem tofauti na lazima awapige picha na kuwaleta insta kutamba!! Sijui anawalipa bei gn anawalala na kuwapiga picha wanakubali

Hivi mtu mwenye ugonjwa kama wake na umri huo ni wakuhangaika na madem kweli? Kila siku kujisifu yupo five star na mademu!!

Sina chuki nae ila inashangaza sana huyu mzee anazeeka vibaya
 
Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.

Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Hao watoto ni wakubwa wanamiliki sim sasa sasa unashangaa vp?

Simpendi huyo mange ila huyu lemutuz ni mjinga sana umri wote huo anabishana na kudhalilishana na mwananke!!

Sitoi hukumu ila mwisho utakua mbaya
 
Ila le mubebez amapaswa kubadilika sana. Ni mgonjwa yule lkn kila siku kujisifia yupo five star hotel namadem tofauti!

Kila siku ana madem tofauti na lazima awapige picha na kuwaleta insta kutamba!! Sijui anawalipa bei gn anawalala na kuwapiga picha wanakubali

Hivi mtu mwenye ugonjwa kama wake na umri huo ni wakuhangaika na madem kweli? Kila siku kujisifu yupo five star na mademu!!

Sina chuki nae ila inashangaza sana huyu mzee anazeeka vibaya
Kama ndio njia inayomuingizia pesa unategemea nini?

Yeye na Bongo zozo tofauti yao ndogo, Bongo zozo ni mzungu hawanaga kaswende ya ubongo, na Pili blogging ya Bongo zozo ni ya kitalii zaidi siyo ya Bata kama anavyotaka kujibrand huyo mtu mzima hovyo.
 
Back
Top Bottom