Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Hao watoto ni watu wazima.Wapo 18 +.Acha kumuingiza mama yao.
 
Wanwaa
 
Watoto wa New York hao. Wako dunia tofauti na Watanzania wengi.

Mimi ndiyo maana nawaona kama mnajiumiza vichwa bure tu kwa mambo msiyoyaelewa, ya familia zisizowahusu kwenye shauri ambalo hamjaombwa maoni.
Hakuna cha Watoto wa New York, hata uwe Bongo kama familia haina maadili Watoto wanaharibika.

Ingia Instagram na Facebook uone Watoto wa kike waliokosa maadili wanauza utamu hadharani tena bila kuficha sura zao, ni live bila chenga, msisingizie New York kana kwamba New York hakuna Watoto wenye adabu.
 
Mgogo na mnyakyusa! Mgogo mwanaume siku zote ni mlevi huku mwanamke mnyakyusa si mlevi japo hunywa pombe kiasi si kama mwanamke wa kichaga.
 
Kwa hiyo we unaona ni sawa mtoto alivyomtukana baba yake

Ova
 
Wewe lea watoto wako. Angalia familia yako.

Kuna Watanzania mamilioni na mamilioni, utawafuatilia wangapi?
 
Mimi siwezi kusoma huo upuuzi. Jitu linatelekeza watoto miaka kumi?Halafu linakuja watafuta washakuwa watoto wazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…