Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Huwezi kuwageuza Watoto kama fimbo ya kumchapia mtalaka wako, hasa kwakuwa Wewe ndio mwenye custodian.

Pamoja na upuuzi wote wa Le Mutuz lakini alifanya jambo la maana sana kuandika historia yake kwa mkono wake kabla hajafa.

Kama unaujuwa upande wa Pili wa shilling wa William pamoja na mapungufu yake yote ambayo wengi tunayajuwa lakini hakuwa mbaya kihivyo kama tunavyotaka kuaminishwa.

Hizi tabia za kuwatumia Watoto kuwachapia baba zao kwa ugomvi wenu binafsi hazifai.

Leo hii Watoto hawajui kama mama yao alikuwa anakazwa hovyo ndio ugomvi ulipoanzia lakini hayo yote mnayaficha, je Le Mutuz naye awaambie mama yao Malaya?
Hao watoto ni watu wazima.Wapo 18 +.Acha kumuingiza mama yao.
 
Wanwaa
Angeishi nae halafu aseme
Mwanaume asiyejua mtoto anakula nini, analala wapi, anasomaje sio wa kutetea hata kidogo
Halafu wanaume muonage haya kwenye hili

Wengine wanatabia ngumu huwezi ishi nao Ili kuiponya roho yako.
Wanawake wengi kwenye ndoa ndio chanzo cha vifo vya mapema vya wanaume zao kupitia stress
 
Watoto wa New York hao. Wako dunia tofauti na Watanzania wengi.

Mimi ndiyo maana nawaona kama mnajiumiza vichwa bure tu kwa mambo msiyoyaelewa, ya familia zisizowahusu kwenye shauri ambalo hamjaombwa maoni.
Hakuna cha Watoto wa New York, hata uwe Bongo kama familia haina maadili Watoto wanaharibika.

Ingia Instagram na Facebook uone Watoto wa kike waliokosa maadili wanauza utamu hadharani tena bila kuficha sura zao, ni live bila chenga, msisingizie New York kana kwamba New York hakuna Watoto wenye adabu.
 
Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.

Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.

Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.

Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?

Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?

Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.

Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.

Nimemaliza.
Mgogo na mnyakyusa! Mgogo mwanaume siku zote ni mlevi huku mwanamke mnyakyusa si mlevi japo hunywa pombe kiasi si kama mwanamke wa kichaga.
 
Acha apate anachostahili,miaka kumi.hajui watoto wamekula nini,wamevaa nini,matibabu nk.Halafu anashowoff kwenye mitandao yupo kwenye Mahotel ya Lux .Yupo na mabilionea wa Kitz. From no where anakuja eti wayajenge.Kala ujana sasa uzee ndo anataka ahangaike na wanae.
Huyo mtoto wa kiume kumtukana hivyo Baba yake ni akikumbuka miaka 10 ya mateso bila Baba yake.Mtoto na block akapiga. Usimlaum Neema .Wale watoto wana miaka 18 +.Si watoto tena.
Kwa hiyo we unaona ni sawa mtoto alivyomtukana baba yake

Ova
 
Hakuna cha Watoto wa New York, hata uwe Bongo kama familia haina maadili Watoto wanaharibika.

Ingia Instagram na Facebook uone Watoto wa like waliokosa maadili wanauza utamu hadharani tena bila kuficha sura zao, ni live bila chenga, msisingizie New York kana kwamba New York hakuna Watoto wenye adabu.
Wewe lea watoto wako. Angalia familia yako.

Kuna Watanzania mamilioni na mamilioni, utawafuatilia wangapi?
 
Mimi siwezi kusoma huo upuuzi. Jitu linatelekeza watoto miaka kumi?Halafu linakuja watafuta washakuwa watoto wazima.
 
Back
Top Bottom