Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
NtaisomaLe Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)
safi sana LE MUTUZ Uzuri wako unajibu maswali na unajiamini na unachokiamini.Angekuwa Mange hapa angeshablock wengi 1. Sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara pesa zangu nilikua ninaweka benki nikaanza kuzitumua kusoma Shule mpaka namaliza Degree ya pili pamoja na kuoa mke na watoto 2 zilikua...www.jamiiforums.com
๐ ๐ ๐ Nimecheka tenaYaani wewe kaka lazima origin yako Ni Muha!yaani Kila kitu huwaga unabisha kila kituuu..halafu kila kitu unajua jamani huko ughaibuni Kuna Nini huko?
๐ ๐ ๐ Kwahiyo yanatuhusu kama wananzengo na watanzania?..
Hii ni tabia ya Kitanzania, ndo Mila zetu ndo tulivyokuzwa....umesahau huku kwetu ukikosea hata uwe na midevu unatandikwa fimbo na wazee mbele ya nzengo? Huku suala la maadili ni la wote....au toka uende ughaibuni umesahau mila zetu? Ndo maana vitoto vyenu vinawatukana wazazi wao saki mai diki๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Never uproot pumpkin in your household....tunatunza Mila zetu za Kitanzania.
Siyo kusimama tu, hata lala naye kabisa, ila ujuwe kukazwakazwa ndio chanzo kikuu cha kuvunjika ndoa.Ntaisoma
Ila nasimama na mama watoto
naona hii ishu imekuuma sana pole sanaSiyo kusimama tu, hata lala naye kabisa, ila ujuwe kukazwakazwa ndio chanzo kikuu cha kuvunjika ndoa.
Wewe imekufurahisha sana, msalimie Da Mange.naona hii ishu imekuuma sana pole sana
Narudia sio mfuasi wa Mange...Wewe imekufurahisha sana, msalimie Da Mange.
Mwambie nick name yake mpya hapa JF tunamuita "Schadenfreude"
Kwan walikuwa wamepoteana yaani baba akimbie huku akijua alafu mtoto apate kazi ya kumtafuta imekuwa hide n seekKwa nini unadhani Watoto wakubwa hawana wajibu wa kuwasiliana na baba yao?
Bora umuulize mwanaume mwwnzakoKwan walikuwa wamepoteana yaani baba akimbie huku akijua alafu mtoto apate kazi ya kumtafuta imekuwa hide n seek
Huenda theory zimeniathiri, ila nina ndugu yangu kule tunamsomesha kwa hela zetu za kuunga unga.Chief you're too theoretical.Toka lini pesa ikatumwa Toka Africa kwenda Marekani?Labda uwe na pesa kama Mo Dewji au fisadi Fulani la EPA!
Mama Samiah mwenyewe kutwakucha kwenda kuhemea huko mamtoni!Kitendo Cha Le Mutuz kurudi Afrika ,familia yake ilitakiwa kuelewa kwamba baba Yao ameshachacha.Wao ndio walitakiwa wamsupport Toka Marekani na sio yeye.
Acha theories za mafundisho ya ndoa huko makanisani kwenu!
Jamaa anatakiwa aelewe kwamba usela usela una mipaka na ukiuendekeza kupitiliza inabidi ukibali matokeo yakeBora umuulize mwanaume mwwnzako
Matola anataka alete ule ubabe wa kusema mimi ni mwanaume, mimi ndo baba kwendaa hukoJamaa anatakiwa aelewe kwamba usela usela una mipaka na ukiuendekeza kupitiliza inabidi ukibali matokeo yake
E bana mzee wapi tena? Long time maana nikajua Cheusimangara kafanya yake ๐ ๐ ๐Long time Mazee
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐๐๐๐๐
Kama ulivyozaloshwa na tundu lissu sio ๐๐๐๐๐๐๐ kaa chonjo dogoMatola anataka alete ule ubabe wa kusema mimi ni mwanaume, mimi ndo baba kwendaa huko
Kwenye ile story ya Le mutuz ya maisha yake, kama nakumbuka vizuri jamaa alisimulia jinsi watoto wake walivyokuja bongo wakawa wanazuiwa wasiende kumsalimia na alijaribu kidogo kuwatafuta ila akafungiwa vioo ili asionane nao. Kwa umri wa watoto nafikiri ilitakiwa mawasiliano yao yawe both ways na sio one way only, kwamba baba ndio awatafute watoto tu, maana kiumri hao ni watu wazima wala sio watoto tena. Kuna sehemu ina tatizo hapo.Kwan walikuwa wamepoteana yaani baba akimbie huku akijua alafu mtoto apate kazi ya kumtafuta imekuwa hide n seek
Yaani anakubalika sana tu akikaa kwenye Nondo za kueleweka Sasa akianzaga mapichaPicha kusutana na wauza bar mara mange mara niko mara 5 star hotel mabebez ( vichangu vya kawaida tu)Ila tukiacha chuki wivu na roho mbaya Lemutuz ni MTU anayestahili tuzo ya heshima ni jembe kweli...
Jamaa kapitia haso sana hua najiona mpambanaji lakini Kwa huyu jamaa sijafika hata 1/10 ya haso zake. Pamoja na mambo yake mengine ambayo ni "umarekani" Lakini jamaa NI kitabu kuna mengi Sana mazuri ya kujifunza Kwa huyu bwana mkubwa...
Kama kuna kitu natamani maishani basi ni kupiga Stori hata dakika kumi na huyu jamaa ntafurahi Sana...
Bwana Willy Marecela najua wewe ni mdau wa humu kama utasoma komenti yangu hii jua nakukubali Sana. Naomba one day kukutana na wewe bro!
Mzazi ni mzazi tu.....kumtukana ni laana.Kifupi unajitambua...niko na kijana wa lemutuz