Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

..
Hii ni tabia ya Kitanzania, ndo Mila zetu ndo tulivyokuzwa....umesahau huku kwetu ukikosea hata uwe na midevu unatandikwa fimbo na wazee mbele ya nzengo? Huku suala la maadili ni la wote....au toka uende ughaibuni umesahau mila zetu? Ndo maana vitoto vyenu vinawatukana wazazi wao saki mai diki🤣🤣🤣
Never uproot pumpkin in your household....tunatunza Mila zetu za Kitanzania.
😅😅😅 Kwahiyo yanatuhusu kama wananzengo na watanzania?
 
Chief you're too theoretical.Toka lini pesa ikatumwa Toka Africa kwenda Marekani?Labda uwe na pesa kama Mo Dewji au fisadi Fulani la EPA!
Mama Samiah mwenyewe kutwakucha kwenda kuhemea huko mamtoni!Kitendo Cha Le Mutuz kurudi Afrika ,familia yake ilitakiwa kuelewa kwamba baba Yao ameshachacha.Wao ndio walitakiwa wamsupport Toka Marekani na sio yeye.
Acha theories za mafundisho ya ndoa huko makanisani kwenu!
Huenda theory zimeniathiri, ila nina ndugu yangu kule tunamsomesha kwa hela zetu za kuunga unga.

Hela zinatoka huku anatumiwa dollar 1000 moja kumsaidia kujikimu.

Wakati mwingine hata kama huna unatakiwa kuwatumia angalau kidogo huku ukiwaambia uko vibaya.

Mara ngapi kwenye familia zetu tunarudi mikono mitupu na wanatuelewa. Ila siku tukipata unakuta tuna rudi na Samaki, Nyama, Mchele n.k

Yaani Mwanaume ni lazima uwe responsible na familia yako. Usitegemee watoto wako waje walelewe na Mwanaume mwingine wakati wewe upo. Ungekuwa hutaki hayo majukumu ya kulea ilikuwa vyema lile bao ulilokojoa ungepigia Nyeto kuliko kuja kutesa malaika wasio na hatia
 
Kwan walikuwa wamepoteana yaani baba akimbie huku akijua alafu mtoto apate kazi ya kumtafuta imekuwa hide n seek
Kwenye ile story ya Le mutuz ya maisha yake, kama nakumbuka vizuri jamaa alisimulia jinsi watoto wake walivyokuja bongo wakawa wanazuiwa wasiende kumsalimia na alijaribu kidogo kuwatafuta ila akafungiwa vioo ili asionane nao. Kwa umri wa watoto nafikiri ilitakiwa mawasiliano yao yawe both ways na sio one way only, kwamba baba ndio awatafute watoto tu, maana kiumri hao ni watu wazima wala sio watoto tena. Kuna sehemu ina tatizo hapo.
 
Ila tukiacha chuki wivu na roho mbaya Lemutuz ni MTU anayestahili tuzo ya heshima ni jembe kweli...

Jamaa kapitia haso sana hua najiona mpambanaji lakini Kwa huyu jamaa sijafika hata 1/10 ya haso zake. Pamoja na mambo yake mengine ambayo ni "umarekani" Lakini jamaa NI kitabu kuna mengi Sana mazuri ya kujifunza Kwa huyu bwana mkubwa...
Kama kuna kitu natamani maishani basi ni kupiga Stori hata dakika kumi na huyu jamaa ntafurahi Sana...

Bwana Willy Marecela najua wewe ni mdau wa humu kama utasoma komenti yangu hii jua nakukubali Sana. Naomba one day kukutana na wewe bro!
 
Yaani anakubalika sana tu akikaa kwenye Nondo za kueleweka Sasa akianzaga mapichaPicha kusutana na wauza bar mara mange mara niko mara 5 star hotel mabebez ( vichangu vya kawaida tu)
ndio dooh unaona huyu dishi lishaibiwa😁🙆‍♂️,
Watoto hawa siku hizi tupoo nao humu mtandaoni wanasoma kila kitu sasa wajue we baba yao kiazi namna ile ndio unapewa maneno yale ya hovyo.
 
Back
Top Bottom