Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Naona baadhi yetu Wanaume humu tumehuzunishwa na kitendo alichofanyiwa Le Mutuz, ila ni muhimu nasi kujirekebisha na kujitahidi kuhudumia familia zetu ( Being responsible Father).

Kuna wanaume wanatelekeza watoto wao wa kuwazaa na kuwakimbia bila msaada wowote, alafu unategemea huyo mtoto/ watoto akue/ wakue huku akikupenda. Hapo mtakuwa mnajidanganya tu.

Hata kama ningekuwa mimi nisingempenda huyo Baba yangu wa mchongo aliyejua kunikojoa tu bila matunzo.
 
Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.

Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Dgo kazingua huwezi kumjibu Mzee hivi mambo Yao na mama Yao walipaswa kutokuingilia hayo ni malezi mabaya ya mama Yao mshure ni mshure Tu ata angekuwaje

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Na bado umeweka kambi kwenye thread ya umbea.

Declare interest, maana na wewe upo New York na Neema yupo New York.
 
It's the life you chose.

Wote. Hao maarufu, na nyie mnaowasengenya na kueneza fitna.

Mimi kwa kweli nikifikiri sana, kuanza kumuongelea Le Mutuz na familia yake inakuwa ngumu.

Simjui kihivyo, kumsoma social media si kumjua, mambo ya familia mengi sana, na hata ningemjua ningeongea naye mwenyewe. Nisingekaanga mbuyu mitandaoni.

Siwezi kujipa umuhimu sana katika shauri nisilolijua, kumhusu mtu ambaye simfahamu, ambaye hata hajaniomba ushauri.

Kujipa umuhimu hivyo ni dalili ya emptiness katika maisha ya mtu. Ni kama vile mtu hana familia yake kuiangalia, hana kazi zake za kufuatilia, anaishia kuishi maisha yake kwa kumfuatilia Le Mutuz.

Yani mtu anakuwa na maisha empty mpaka anajitengenezea ukaribu wa kufikirika na Le Mutuz anajiona na yeye kama mwanafamilia wa familia ya Le Mutuz vilee.

Ni aina fulani ya emptiness.
 
Dgo kazingua huwezi kumjibu Mzee hivi mambo Yao na mama Yao walipaswa kutokuingilia hayo ni malezi mabaya ya mama Yao mshure ni mshure Tu ata angekuwaje

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Kabisa kama CHAPUTA tumelaani vikali tukio hili ntamani Lemutuz angekuwa Chaputa huyo dogo asingekuwepo leo [emoji23]
 
Mzee hii habari yako mbona haina receipts? Wengine hatujaona hiyo sakmy d...
 
Mbona na wewe una conclude character za watu kwa maneno machache tu ya humu. Basi na sisi tutaongelea familia ya lemutuz kwa yale machache wanayoyaleta mitandaoni.
 
Hawa wote hawana adabu.
 
Mbona na wewe una conclude character za watu kwa maneno machache tu ya humu. Basi na sisi tutaongelea familia ya lemutuz kwa yale machache wanayoyaleta mitandaoni.
Mimi najadiliana na hao watu wenyewe. Tena mara nyingi naongelea hoja, si mtu.

Nyie mnamjadili Le Mutuz. Anaishi rent free vichwani mwenu.

Mwenyewe hata hawajui na kwa akili yake isiyo soni hata hawajali mnasema nini.
 
Kwani lemutuz ametoa ushahidi wa kuwapa milioni kila siku halafu bado hayo yakatokea!?
Tusitafute excuses kwa kutowajibika
Kwa comment hii Nina uhakika wa 100% hujawahi kupata ukweli wa upande wa Pili.

Wengi tumetokea kumchukia William kwa vitabia vyake binafsi, lakini kuhusu family ameandika vizuri sana tena very clear historia ya maisha yake Marekani.

Utoto unaouona anafanya ni kama kujitafutia Tiba mbadala kwa maumivu aliyofanyiwa na Neema.

Tatizo letu Wabongo hata mtu akiandika kitabu cha historia yake hamtaki kusoma mnataka negativity za Mange tu.
 
Mambo ya kifamilia haya tuwaachie wenyewe...

Le Mutuz na huyo mkewe hawajaanza leo kunangana kwenye mitandao...

Unajua nini mzee baba, watu wengi wanasahau kuwa mwisho wa siku tunakuja kufa tu pamoja na mbwembwe zote za huyu kumchukia yule n.k
Kufuatilia sana mambo ya familia ya mtu baki ni dalili ya mtu kukosa kazi na kukosa kufuata hamsini zake.

Ni dalili ya mahusiano ya jamii za kijima.
 
Njia inayomuingizia pesa mbona inaeleweka !! Huyu mzee ni mshamba tu wa wanawake
 
Naijua, ndio maana nimesema ukizaa uwe tayari kuwajibika kwa watoto wako. Huwezi Acha!
Kutokutimiza wajibu kama mzazi ndio matokeo ya matatizo yote haya
Kama thinking capacity yako iko hivi basi Wewe ni follower mzuri wa Mange.

Yani Wewe ni Mtanzania na Mimi Mtanzania, halafu unizinguwe tupeane divorce uniingize kwenye mfumo wa Marekani?

Nani anakubali huu ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…