Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #141
Mzee hii habari yako mbona haina receipts? Wengine hatujaona hiyo sakmy d...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee hii habari yako mbona haina receipts? Wengine hatujaona hiyo sakmy d...
"Boma Yee, Boma Liwanza " nyiiiingiiii, kumbe zero brain...Why lemutuz , hakui ujanja Mwingi mbele giza
Siamini kama ni mshamba, nadhani ni drama zake tu kumuumiza Neema.Njia inayomuingizia pesa mbona inaeleweka !! Huyu mzee ni mshamba tu wa wanawake
Majority sumu ni lazima hata ukiishi nae
This is too bad.Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.
Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Narudia tena sio lemutuz tu, mtu yeyote maarufu jambo lake likija public lazima liongelewe.Mimi najadiliana na hao watu wenyewe. Tena mara nyingi naongelea hoja, si mtu.
Nyie mnamjadili Le Mutuz. Anaishi rent free vichwani mwenu.
Mwenyewe hata hawajui na kwa akili yake isiyo soni hata hawajali mnasema nini.
Mitoto mingine unakuta umebambikiwa mkuu, sio toto lako ndo linajibu hivyoUnaweza muambia baba yako kama hivi ?View attachment 2590640
Kwa comment hii Nina uhakika wa 100% hujawahi kupata ukweli wa upande wa Pili.
Wengi tumetokea kumchukia William kwa vitabia vyake binafsi, lakini kuhusu family ameandika vizuri sana tena very clear historia ya maisha yake Marekani.
Utoto unaouona anafanya ni kama kujitafutia Tiba mbadala kwa maumivu aliyofanyiwa na Neema.
Tatizo letu Wabongo hata mtu akiandika kitabu cha historia yake hamtaki kusoma mnataka negativity za Mange tu.
Hili tukio sio kabisa hila Bora Tu angepiga Nyeto kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisa kama CHAPUTA tumelaani vikali tukio hili ntamani Lemutuz angekuwa Chaputa huyo dogo asingekuwepo leo [emoji23]
Labda tuanze na mama mtu, unajuwa anafanya kazi taasisi ipi na kwa influence ya nani!Angeishi nae halafu aseme
Mwanaume asiyejua mtoto anakula nini, analala wapi, anasomaje sio wa kutetea hata kidogo
Halafu wanaume muonage haya kwenye hili
Sijasema Le Mutuz tu, sijasema lisiongelewe.Narudia tena sio lemutuz tu, mtu yeyote maarufu jambo lake likija public lazima liongelewe.
Kweli kabisa, damu yako kabisa haiwezi toa lugha mbaya kama hiyoMitoto mingine unakuta umebambikiwa mkuu, sio toto lako ndo linajibu hivyo
Kama thinking capacity yako iko hivi basi Wewe ni follower mzuri wa Mange.
Yani Wewe ni Mtanzania na Mimi Mtanzania, halafu unizinguwe tupeane divorce uniingize kwenye mfumo wa Marekani?
Nani anakubali huu ujinga?
Ahaaaa mbona hapo unaiongelea character ya mange [emoji3] halafu huo uwingi unaoutumia na wewe umo sema hujijui tuSijasema Le Mutuz tu, sijasema lisiongelewe.
Nawaeleza hiyo ni dalili ya emptiness.
Ni kama vile watu wameshindwa maisha yao, wanafurahi kuona matatizo ya wengine.
Yani mtu mwingine kupata matatizo yakajulikana public inawapa nafuu fulani.
Wanajiona afadhali wao pamoja na matatizo yao yote, hawajadhalilika hivi publicly.
Ni aina fulani ya saikolojia inayoonesha maisha yaliyo very empty.
Watu wengi wako hivyo. Si wewe tu.
Wajerumani wana neno kabisa katika lugha yao kuelezea hili.
Schadenfreude.
Hiyo historia yake ipo wapi tukaisomeHuwezi kuwageuza Watoto kama fimbo ya kumchapia mtalaka wako, hasa kwakuwa Wewe ndio mwenye custodian.
Pamoja na upuuzi wote wa Le Mutuz lakini alifanya jambo la maana sana kuandika historia yake kwa mkono wake kabla hajafa.
Kama unaujuwa upande wa Pili wa shilling wa William pamoja na mapungufu yake yote ambayo wengi tunayajuwa lakini hakuwa mbaya kihivyo kama tunavyotaka kuaminishwa.
Hizi tabia za kuwatumia Watoto kuwachapia baba zao kwa ugomvi wenu binafsi hazifai.
Leo hii Watoto hawajui kama mama yao alikuwa anakazwa hovyo ndio ugomvi ulipoanzia lakini hayo yote mnayaficha, je Le Mutuz naye awaambie mama yao Malaya?
Labda tuanze na mama mtu, unajuwa anafanya kazi taasisi ipi na kwa influence ya nani!
Mange hajaanzisha thread JF.Ahaaaa mbona hapo unaiongelea character ya mange [emoji3] halafu huo uwingi unaoutumia na wewe umo sema hujijui tu
[emoji23][emoji23]yule mzee bana et boma liwanza sjui gadem sjui American spirit!! Alafu ni mbishi yaani ukimkosoa kidogo tu anachokifanya sio sahihi anakuwashiaLemutuz, Limbebezi, li akili mingizi, American spirit, Boma liwanza ndio wakuambiwa sak my dik? Gademit these mama's boys siku hizi ni shida aiseee
@Mrs Van Unaona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo historia yake ipo wapi tukaisome
TMZ ni ya bongo?Mange hajaanzisha thread JF.
Mimi naonesha jinsi Wabongo walivyo na tabia za kufuatiliana tu.
Yani mtu anaona bora akose hela kuliko kukosa kufuatilia maisha ya mtu baki!