Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe na huyo mtoto lugha moja? Umarekani huu!!Ningeelewa sana comment hii ingeandikwa na mtu mwingine lakini siyo wewe.
Unamjuwa Neema vizuri iwe individual au kupitia hapa JF,
Bahati nzuri Bill ameelezea kwa ufasaha historia yake ya maisha Marekani, nampongeza kwa kuandika historia yake yeye mwenyewe na siyo kuandikiwa.
Inawezekana kutokana na mitkasi ya maisha basi hujui vingi na hata ukupata muda wa kumsona Willy.
Mwisho sihitaji utetezi wako, kuitwa umbea kwenye fact kwangu sioni tatizo lolote.
Saki my diki.
Hawa Watoto wameshalaaniwa hawataipata amani kamwe.Keshaenda sasa waishi kwa furaha wamtumie tena mange sms za kufurahi. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu
We jamaa,huu mwisho uliujua?Hao watoto ni wakubwa wanamiliki sim sasa sasa unashangaa vp?
Simpendi huyo mange ila huyu lemutuz ni mjinga sana umri wote huo anabishana na kudhalilishana na mwananke!!
Sitoi hukumu ila mwisho utakua mbaya
Yap, hili nililiwaza sana hasa kwa yule mtoto wa kiume, sijui maisha yake yatakuwaje? Ila sishangai jinsi watoto wetu wa kiume wanavyobehave siku hizi!!! sijui tumekosea nini?Chanzo ni yeye mwenyewe
Mume au mke Ukimshindwa mwanamke au mwanaume hakikisha unawajibika kwa watoto wako. Uspofanya hivyo ndo hayo sasa
Ila nawaonea huruma hawa watoto maana washapoteza baraka zao toka Mungu. Baraka za Mungu zinapita kwa baba mzazi ndio zishuke kwa mtoto
Imetokea huko Mtera kwa WagogoHii imetokea wapi???
Kuna mwingine yupo huku kazini kwetu. Yupo kama mange. Yaani yoote uliyoandika yana mhusuHii ndiyo furaha ya Mange kugombanisha watu huku watu wakimuongela yeye. Mange ni mwanamke aliyelaanika, ana wivu na wenzake na hapendi kuona wenzake wana furaha kwa sababu yeye mwenyewe hana hiyo furaha na HAKUNA mwanamme anayemtaka zaidi ya wazungu waliochoka. Ukiangalia kiundani utagundua karibu ya wanawake ama watu wengi wanaoshirikiana na Mange ni wale walio na matatizo, hawana furaha maishani.
Hiyo tayari wameshajichumia rahana kubwa sana,mzazi wako Ndo mungu wako apa dunianiKitanzania ni aibu na pia Inasikitisha sana kuona mtoto anamtukana mzazi tusi kubwa hivyo.
Ila kwa malezi ya sasa ya kimtandao...wala haishangazi.
Tutegemee makubwa zaidi kwa siku zijazo.
Ni kweli mkuu. Halafu siku hizi anapiga fedha ndefu sana. Alikuwa ni choka mbaya, malaya anayekwenda kimahesabu lakini tangu aanze hii app anapiga fedha ndefu mno. Ila fedha yake sioni furaha tyake kwani inapatikana kwa kuumiza watu wengi. Atakuja kuwa na mwisho mbaya sana huyu mama.Wasingemfatilia wala asingepata kik
Tatizo watu wanamfatilia na maumbea yake,mtu yuko marekani
Amatumiwa stori yeye anajaza mauwongo yake kunogesha stori
Aliyotumiwa
Ova
Asante sana kwa kuwa na busara miss pablo . Unafanya vizuri mno. Kudos. Mzazi wako ni mzazi wako tu.Dah, nimeandika on the other post jinsi baba yangu alinikosea lakini mimi ndo nimejishusha. How i love him. Nampendaa. I call him, tunabonga hata 3 hrs. We meet. Na namuambiaga nampenda sana na najisikiaga sana furaha nikiongea nae ananipa furaha. He was very happy aisee. Yaan sitaki ajutie kabisa kije muua bure. Upendo ni tiba. Agapeo alimkosea sana baba yake. That was very bad. Mungu nilindie baba yangu na unisamege tu kwa kumkasirikia. Maisha yenyewe hayatabiriki. Hizi chuki jaman wamama tunakosea sana. Some men are spoilt brats. Tuliwakubali na madhaifu yao.
Ni kipi kikubwa hivyo Lemutuz alikikosea?
Haya bana, mukalilie kaburini sasa.
RIP Le kokubangaz super mtindi
She is very smart. Very bright. Ila alikosa upendo huyu dada. Hilo tu. I know huwa haongopi ila sasa hayohayo yana athiri sana wahanga. Like 4 years back niliamua kuwa away from mitandao. Na unapata amani ya ajabu sana. Faiza na umafia wake woote unaona kbs pale amekwama. Na ningekua faiza ningetulia. Nisingejibu lolote. Unajua ukirespond to what its said ndo unakoleza moto. Maisha ya mitandao ni mabaya sana aiseeNi kweli mkuu. Halafu siku hizi anapiga fedha ndefu sana. Alikuwa ni choka mbaya, malaya anayekwenda kimahesabu lakini tangu aanze hii app anapiga fedha ndefu mno. Ila fedha yake sioni furaha tyake kwani inapatikana kwa kuumiza watu wengi. Atakuja kuwa na mwisho mbaya sana huyu mama.
Eeh mwaya, nampendaa. Nampenda sana. Hapa nikamnunulie shati kali kabisaaaa.... akiingia town tu tunaenda zetu date. Mke wake atajijua mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] baba mtamu jamaniAsante sana kwa kuwa na busara miss pablo . Unafanya vizuri mno. Kudos. Mzazi wako ni mzazi wako tu.
True indeed. Maisha ya kufuatilia sana mtandao yanakuacha kwenye stress sana. Kilankitu ni kwa kiasi.She is very smart. Very bright. Ila alikosa upendo huyu dada. Hilo tu. I know huwa haongopi ila sasa hayohayo yana athiri sana wahanga. Like 4 years back niliamua kuwa away from mitandao. Na unapata amani ya ajabu sana. Faiza na umafia wake woote unaona kbs pale amekwama. Na ningekua faiza ningetulia. Nisingejibu lolote. Unajua ukirespond to what its said ndo unakoleza moto. Maisha ya mitandao ni mabaya sana aisee
Thank u mkuuTrue indeed. Maisha ya kufuatilia sana mtandao yanakuacha kwenye stress sana. Kilankitu ni kwa kiasi.
Yaani hawafai kabisa hawa watuKuna mwingine yupo huku kazini kwetu. Yupo kama mange. Yaani yoote uliyoandika yana mhusu