Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Rest In Peace Lemutuz nimeumia nilkua nakuona ni Mzee mkweli sana
 
Ningeelewa sana comment hii ingeandikwa na mtu mwingine lakini siyo wewe.

Unamjuwa Neema vizuri iwe individual au kupitia hapa JF,

Bahati nzuri Bill ameelezea kwa ufasaha historia yake ya maisha Marekani, nampongeza kwa kuandika historia yake yeye mwenyewe na siyo kuandikiwa.

Inawezekana kutokana na mitkasi ya maisha basi hujui vingi na hata ukupata muda wa kumsona Willy.

Mwisho sihitaji utetezi wako, kuitwa umbea kwenye fact kwangu sioni tatizo lolote.

Saki my diki.
Kumbe wewe na huyo mtoto lugha moja? Umarekani huu!!
 
Hao watoto ni wakubwa wanamiliki sim sasa sasa unashangaa vp?

Simpendi huyo mange ila huyu lemutuz ni mjinga sana umri wote huo anabishana na kudhalilishana na mwananke!!

Sitoi hukumu ila mwisho utakua mbaya
We jamaa,huu mwisho uliujua?
 
Chanzo ni yeye mwenyewe
Mume au mke Ukimshindwa mwanamke au mwanaume hakikisha unawajibika kwa watoto wako. Uspofanya hivyo ndo hayo sasa

Ila nawaonea huruma hawa watoto maana washapoteza baraka zao toka Mungu. Baraka za Mungu zinapita kwa baba mzazi ndio zishuke kwa mtoto
Yap, hili nililiwaza sana hasa kwa yule mtoto wa kiume, sijui maisha yake yatakuwaje? Ila sishangai jinsi watoto wetu wa kiume wanavyobehave siku hizi!!! sijui tumekosea nini?
 
Hii ndiyo furaha ya Mange kugombanisha watu huku watu wakimuongela yeye. Mange ni mwanamke aliyelaanika, ana wivu na wenzake na hapendi kuona wenzake wana furaha kwa sababu yeye mwenyewe hana hiyo furaha na HAKUNA mwanamme anayemtaka zaidi ya wazungu waliochoka. Ukiangalia kiundani utagundua karibu ya wanawake ama watu wengi wanaoshirikiana na Mange ni wale walio na matatizo, hawana furaha maishani.
Kuna mwingine yupo huku kazini kwetu. Yupo kama mange. Yaani yoote uliyoandika yana mhusu
 
Kitanzania ni aibu na pia Inasikitisha sana kuona mtoto anamtukana mzazi tusi kubwa hivyo.
Ila kwa malezi ya sasa ya kimtandao...wala haishangazi.

Tutegemee makubwa zaidi kwa siku zijazo.
Hiyo tayari wameshajichumia rahana kubwa sana,mzazi wako Ndo mungu wako apa duniani
 
wanasema hakuna aliekamilika na ndvyo ilivyo hakuna anaeweza kufanya kila kitu kwa ufanisi lazima kuna vingine atafeli tu.

Ukisoma historia yake utaona tangu utotoni mambo ya kifamilia yalikuwa magum kwake "inasemekana ni mtoto wa nje ya ndoa"
hvyo hata yeye hakupata malezi straight ya baba na mama

ukija kwenye suala la ndoa kukosa maelewano hadi kufikia kutalikiana ni kawaida katika jamii
Haijalish wew ni tajiri au maaruf au msomi au unaish majuu ama kijijin yaweza kukuta na ukashindwa kuinusuru ndoa yako.

hivyo lemutuz katika mambo aliyofeli moja wapo ni hili la kushindwa kujenga Familia yenye maelewano
 
Dah, nimeandika on the other post jinsi baba yangu alinikosea lakini mimi ndo nimejishusha. How i love him. Nampendaa. I call him, tunabonga hata 3 hrs. We meet. Na namuambiaga nampenda sana na najisikiaga sana furaha nikiongea nae ananipa furaha. He was very happy aisee. Yaan sitaki ajutie kabisa kije muua bure. Upendo ni tiba. Agapeo alimkosea sana baba yake. That was very bad. Mungu nilindie baba yangu na unisamege tu kwa kumkasirikia. Maisha yenyewe hayatabiriki. Hizi chuki jaman wamama tunakosea sana. Some men are spoilt brats. Tuliwakubali na madhaifu yao.
Ni kipi kikubwa hivyo Lemutuz alikikosea?

Haya bana, mukalilie kaburini sasa.

RIP Le kokubangaz super mtindi
 
Wasingemfatilia wala asingepata kik

Tatizo watu wanamfatilia na maumbea yake,mtu yuko marekani
Amatumiwa stori yeye anajaza mauwongo yake kunogesha stori
Aliyotumiwa

Ova
Ni kweli mkuu. Halafu siku hizi anapiga fedha ndefu sana. Alikuwa ni choka mbaya, malaya anayekwenda kimahesabu lakini tangu aanze hii app anapiga fedha ndefu mno. Ila fedha yake sioni furaha tyake kwani inapatikana kwa kuumiza watu wengi. Atakuja kuwa na mwisho mbaya sana huyu mama.
 
Dah, nimeandika on the other post jinsi baba yangu alinikosea lakini mimi ndo nimejishusha. How i love him. Nampendaa. I call him, tunabonga hata 3 hrs. We meet. Na namuambiaga nampenda sana na najisikiaga sana furaha nikiongea nae ananipa furaha. He was very happy aisee. Yaan sitaki ajutie kabisa kije muua bure. Upendo ni tiba. Agapeo alimkosea sana baba yake. That was very bad. Mungu nilindie baba yangu na unisamege tu kwa kumkasirikia. Maisha yenyewe hayatabiriki. Hizi chuki jaman wamama tunakosea sana. Some men are spoilt brats. Tuliwakubali na madhaifu yao.
Ni kipi kikubwa hivyo Lemutuz alikikosea?

Haya bana, mukalilie kaburini sasa.

RIP Le kokubangaz super mtindi
Asante sana kwa kuwa na busara miss pablo . Unafanya vizuri mno. Kudos. Mzazi wako ni mzazi wako tu.
 
Ni kweli mkuu. Halafu siku hizi anapiga fedha ndefu sana. Alikuwa ni choka mbaya, malaya anayekwenda kimahesabu lakini tangu aanze hii app anapiga fedha ndefu mno. Ila fedha yake sioni furaha tyake kwani inapatikana kwa kuumiza watu wengi. Atakuja kuwa na mwisho mbaya sana huyu mama.
She is very smart. Very bright. Ila alikosa upendo huyu dada. Hilo tu. I know huwa haongopi ila sasa hayohayo yana athiri sana wahanga. Like 4 years back niliamua kuwa away from mitandao. Na unapata amani ya ajabu sana. Faiza na umafia wake woote unaona kbs pale amekwama. Na ningekua faiza ningetulia. Nisingejibu lolote. Unajua ukirespond to what its said ndo unakoleza moto. Maisha ya mitandao ni mabaya sana aisee
 
Asante sana kwa kuwa na busara miss pablo . Unafanya vizuri mno. Kudos. Mzazi wako ni mzazi wako tu.
Eeh mwaya, nampendaa. Nampenda sana. Hapa nikamnunulie shati kali kabisaaaa.... akiingia town tu tunaenda zetu date. Mke wake atajijua mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] baba mtamu jamani
Wapo wababa wabaya sana sana sana. Lkn baba anayetaka amani na family yake apewe jamani... ni hivi tu sina cha kumuoffer kikubwa ambacho hana. Nataka kumuoffer upendo na muda wangu... mpk mkewe aone wivu
 
She is very smart. Very bright. Ila alikosa upendo huyu dada. Hilo tu. I know huwa haongopi ila sasa hayohayo yana athiri sana wahanga. Like 4 years back niliamua kuwa away from mitandao. Na unapata amani ya ajabu sana. Faiza na umafia wake woote unaona kbs pale amekwama. Na ningekua faiza ningetulia. Nisingejibu lolote. Unajua ukirespond to what its said ndo unakoleza moto. Maisha ya mitandao ni mabaya sana aisee
True indeed. Maisha ya kufuatilia sana mtandao yanakuacha kwenye stress sana. Kilankitu ni kwa kiasi.
 
Back
Top Bottom