Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hawana kazi ndio maana wanapiga umbeaAaah and most of them ni wanawake . Nadhani the reason ni Kwamba hatupo busy na maisha ya utafutaji
Ungemtafuta Neema uongee naye kama unamjua kihivyo na kujali sana familia yake.
Otherwise umeikuta familia inawekana uchi, na wewe ukasambaza zaidi hizo habari mitandaoni.
Mtu mwingine anaweza kuona unafurahia hivi visa huku ukijifanya unasikitika.
You are making a very bad situation worse by spreading this horrible saga further online.
Ukiitwa mwanamme mmbeya siwezi kukutetea.
Siyo "chart" ni chat.Lakini, siku hizi Kuna 'whatsapp chart generators' , isijekuwa huyo Mange katumia technology hiyo.
Najaribu kutafuta innocence ya mtoto wetu.
Rekebisha, Siyo "chart" ni chat.Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.
Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.
Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.
Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?
Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?
Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.
Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.
View attachment 2590739
Nimemaliza.
Wewe ni jamii ya watu wanaohalalisha msemo wa "Wabongo wape picha tu, habari watajaza wenyewe".Kuna dalili hapa Bwana mkubwa kiranga uko karibu na bi Neema. Mana hueleweki unaongea nini. Kwa level za nguvu za hoja Zako na hiki unachotetea inaleta picha moja Tu kuwa unahusika kwa namna fulani na inakufanya kushindwa kukakaa kimya ( Kama mada Ni ya umbeya Kama ulivyomalizia) au ku comment neutral kwa maana ya kusimamia maadili Tu kwa kutumia common sense.
Sawa Binti 'mwera' kwa sahihisho. Nadhani nimekuwa nikitumia hay mane kw kuyakosea. Nasema bado natafuta innocence kwa mtoto.Siyo "chart" ni chat.