Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Ungemtafuta Neema uongee naye kama unamjua kihivyo na kujali sana familia yake.

Otherwise umeikuta familia inawekana uchi, na wewe ukasambaza zaidi hizo habari mitandaoni.

Mtu mwingine anaweza kuona unafurahia hivi visa huku ukijifanya unasikitika.

You are making a very bad situation worse by spreading this horrible saga further online.

Ukiitwa mwanamme mmbeya siwezi kukutetea.

Kuna dalili hapa Bwana mkubwa kiranga uko karibu na bi Neema. Mana hueleweki unaongea nini. Kwa level za nguvu za hoja Zako na hiki unachotetea inaleta picha moja Tu kuwa unahusika kwa namna fulani na inakufanya kushindwa kukakaa kimya ( Kama mada Ni ya umbeya Kama ulivyomalizia) au ku comment neutral kwa maana ya kusimamia maadili Tu kwa kutumia common sense.
 
Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.

Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.

Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.

Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?

Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?

Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.

Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.

View attachment 2590739

Nimemaliza.
Rekebisha, Siyo "chart" ni chat.
 
Kuna dalili hapa Bwana mkubwa kiranga uko karibu na bi Neema. Mana hueleweki unaongea nini. Kwa level za nguvu za hoja Zako na hiki unachotetea inaleta picha moja Tu kuwa unahusika kwa namna fulani na inakufanya kushindwa kukakaa kimya ( Kama mada Ni ya umbeya Kama ulivyomalizia) au ku comment neutral kwa maana ya kusimamia maadili Tu kwa kutumia common sense.
Wewe ni jamii ya watu wanaohalalisha msemo wa "Wabongo wape picha tu, habari watajaza wenyewe".

Mkuu mimi Neema namsikia mitandaoni tu, ningekuwa namjua mimi ni mtu wa kufunguka hata kabla sijaulizwa, ningesema.

Kuhusu kutoeleweka, of course sieleweki kwa wengi, hata string theory na quantum physics havieleweki kwa wengi.

Ni kawaida kwa vitu/ watu complex kutoeleweka kwa wengi. It is quite possible you do not posses the minimum requisite wattage.

Zaidi ya yote hayo, una haki ya kikatiba ya kuamini chochote unachotaka kuamini kuhusu mimi, huwa sisumbuliwi na opinions za watu zilizojengwa bila hoja yoyote yenye kichwa wala mguu, yani mtu anakuja na feeling tu kwamba mimi namjua Neema, you are entitled to that hunch, but show us the receipts to make it anything more than that.

Kikubwa zaidi, William ndiyo kwanza kafariki, kumbe watu walikuwa katika magomvi yaliyokuwa karibu kabisa na familia kutenganishwa kwa kifo, all the more reason to leave this family mourn - or do whatever they want to do- in peace.

To all of you people who are quick to judge and opine where you hardly have a clue, next time, have some compassion. Else, you could very well be kicking a dying horse, just to satisfy your hoity-toity sense of whatever brand of self-righteousness you subscribe to.

I am not about to elongate a pointless festival in the tasteless Olympics of lacking social graces.

I have a modicum of savoir-faire.

RIP William.

One


Collie Buddz - Control
Lyrics

For all my failures
Please don't judge me
I'm trying my best, just to work it out
Me no beg no favours
Go on go grudge me
It don't affect me when you run your mouth
As I climb up the ladder
It's like me find me me long instead me move on
In this here time here
I learn my lesson
If I don't need it
Me cut it off

When your up it's hard to stay in control
(Yeah you know)
And it looks like this life is taking it's toll
'Cause everything
Have a price
And what you get is what you gotten'
Remember "life is a movie, I'm just playin' my role"

Yeah you have some bad mind people
Them no rate you
You know them still try an' feel you up
So I speak my mind
Without no filter
No one can chill with me a burn them out
I can't win every battle
So, me know where fi fight and what to leave alone yeah
They can't choose my words
Say what me feel
Because Jah know time is running out

When your up it's hard to stay in control
And it looks like this life is taking it's toll
'Cause everything
Have a price
And what you get is what you gotten'
Remember "life is a movie, I'm just playin' my role"

Them get red eye through me livin'
But them no know the percentage where me givin'
One hundred me a do it every time
In every song every beat every line
It's a them me find me
Me tell 'em stop cryin'
Then they work for nothin'
Then they'll know bout' the cryin'
When man a sleep in the studio a night time
Tell 'em fi suck pon sour lime
So

When your up it's hard to stay in control
And it looks like this life is taking it's toll
'Cause everything
Have a price
And what you get is what you gotten'
Remember "life is a movie, I'm just playin' my role"
When your up it's hard to stay in control
And it looks like this life is taking it's toll
'Cause everything
Have a price
And what you get is what you gotten'
Remember "life is a movie, I'm just playin' my role"
Source: Musixmatch

Corrections by Kiranga
 
Back
Top Bottom