Hata na wewe ukiajiriwa ktk serikali hii mshahara haukizi maitaji na utaomba ongezeko la mshahara.Kama mnaona mishahara ni midogo si muache kazi mje mtaani vijana kibao tupo mtaani jobless tunatamani japo icho kidogo mnachopata.
Mgejua mitaa ipoje haki ya mungu mngeuabudu huo mshahara wenu mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo nyie wa kikeni mnajinenepea tu metuachia sisi akina kalubandika zigo lote la majukumu? 😀 😀 😀
Sio kama unavyofikiria, Ulipoenda masomoni uliendelea kulipwa mshahara pasipo kufanya kazi, hivyo ukirudi unafidia.Huu ni uonevu na uvunjifu wa haki za kibinadamu. Yaani mtu kaenda kusoma kuja kusaidia taasisi/ taifa halafu bado ananyongwa, kwa kweli Tanzania ni nchi ya vituko.
Hata na wewe ukiajiriwa ktk serikali hii mshahara haukizi maitaji na utaomba ongezeko la mshahara.
Hujui changamoto wanazo zipata hawa watumishi wa mishahara midogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulikuwa masomoni huwez kupandishwa , standing oder inasema utatumikia cheo kipya cha kimuundo kwa muda wa miaka 3 ndio upandishe tena , nimesugua bench miaka 7 lkn mwaka jana nilipanda kwenda F kidogo at leat naenjoy maisha
Ipende nchi yako kwanza hizo ela zenu ndo zinajenga nchiKikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.
Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.
Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.
Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.
Agenda.
1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.
2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa umma.
3. Mengineyo.
Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.
View attachment 1530815