YEGO MLA
Senior Member
- Dec 4, 2019
- 196
- 200
Hata na wewe ukiajiriwa ktk serikali hii mshahara haukizi maitaji na utaomba ongezeko la mshahara.Kama mnaona mishahara ni midogo si muache kazi mje mtaani vijana kibao tupo mtaani jobless tunatamani japo icho kidogo mnachopata.
Mgejua mitaa ipoje haki ya mungu mngeuabudu huo mshahara wenu mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui changamoto wanazo zipata hawa watumishi wa mishahara midogo.
Sent using Jamii Forums mobile app