Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kama mnaona mishahara ni midogo si muache kazi mje mtaani vijana kibao tupo mtaani jobless tunatamani japo icho kidogo mnachopata.
Mgejua mitaa ipoje haki ya mungu mngeuabudu huo mshahara wenu mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata na wewe ukiajiriwa ktk serikali hii mshahara haukizi maitaji na utaomba ongezeko la mshahara.

Hujui changamoto wanazo zipata hawa watumishi wa mishahara midogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo nyie wa kikeni mnajinenepea tu metuachia sisi akina kalubandika zigo lote la majukumu? 😀 😀 😀

Uzuri sasa hivi wote ni watafutaji kwa nyumba nyingi...sema nyie mkikosa mnakuwaga na stress za ajabu ajabu...wanawake hata akikosa life goes on
 
Huu ni uonevu na uvunjifu wa haki za kibinadamu. Yaani mtu kaenda kusoma kuja kusaidia taasisi/ taifa halafu bado ananyongwa, kwa kweli Tanzania ni nchi ya vituko.
Sio kama unavyofikiria, Ulipoenda masomoni uliendelea kulipwa mshahara pasipo kufanya kazi, hivyo ukirudi unafidia.

Hii ni huruma katika nchi zinazoendelea, kwenye nchi zilizoendrlea, uendapo masomoni, unaondolewa kabisa katika payroll, ukirudi unaanza upya.

Kama hupendi mwongozo huu, ungesoma kabisa utosheke ndipo utafute ajira
 
Daaa mm nlikuwa nasubir mkopo wangu uishe niende nkasome but naona ctanufaika na chochote

2022 mkopo utakapoiaha bora niruke zangu ulaya tu huko Portugal nkaombe asylums niishi maisha mengine sio kwa uncle kwa ubahili huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi, good afternoon, I tried many tools for extracting business emails and unfortunately was not satisfied. I really need a powerful tool which finds correct emails fast
 
Hata na wewe ukiajiriwa ktk serikali hii mshahara haukizi maitaji na utaomba ongezeko la mshahara.

Hujui changamoto wanazo zipata hawa watumishi wa mishahara midogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kupata kidogo ni bora kuliko kukosa kabisa kama mishahara ni midogo si waache kazi majobless kibao tupo tunapiga huo mzigo hata kwa mshahara nusu poa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mc gregor,
Hii ni hoja huwa naisikia kwa Watanzania tu ndiyo tuna vinasaba vya 'wivu'
na woga wa mapambano na kutopenda kuelew mambo.

Maswala ya kazi yapo hivi, unaweza kuwa unalipwa mshahara mkubwa lakini ukagundua unadhulumia buku tu (1,000) katika mshahara wako tena kwa makusudi, ujue hiyo kazi hainogi tena maana hilo ni jasho na haki yako.

Mstaarabu yeyote au mtu aliyeelimika anayeelewa haki na wajibu wa mwajiri na mwajiriwa hawezi kutoa hoja kama hii ila hutolewa na watu wanaowaza kupata na kuhisi watumishi wanafaidi sana.

Ni hivi; Unapoanza ajira yoyote kuna mkataba wa ajira unapewa na sheria zitakazotumika katika maslahi yako, mwakilishi wa mwajiri na mwajiriwa wanasaini ikiwa ni ishara ya kukubaliana na huo mkataba. Ambapo serikalini mwakilishi wa serikali huwa ni mkuu wako wa kazi pale unapoajiriwa.

Mojawapo ya vipengele vya mtumishi wa umma ni hivi vinavyolalamikiwa.

Mwenzio anapolalamikia ajira siyo kumwambia kwa kejeli eti si uache kazi la hasha! kuacha kazi nako ni process unaweza kupoteza haki zako zote au kuishia jela! Kama kuna sintofahamu ni kumshauri namna nzuri ya kuendeleza mapambano au kama huelewi chochote ni kukaa kimya!
 
Hivi hili agizo la walimu kwenda kupiga kazi kisirisiri ni wilaya ya Lushoto tu au na maeneo mengine?
inasemekana walimu wanatakiwa kuwafuata watoto kitaa wawape mazoezi ya kutosha ili kuwakeep busy walimu na wanafunzi.
 
Kama ulikuwa masomoni huwez kupandishwa , standing oder inasema utatumikia cheo kipya cha kimuundo kwa muda wa miaka 3 ndio upandishe tena , nimesugua bench miaka 7 lkn mwaka jana nilipanda kwenda F kidogo at leat naenjoy maisha
 
Sasa hivi sio miaka 3 tena ni 4. Hata walioenda masomoni wakiwa wametumikia miaka 4 kasoro kabla ya marekebisho ya sheria hawajapandishwa kwa zile halmashauri ambazo zilichelewa kupandisha kabla ya zuio. Wale ambao walikuwa wamepewa barua zikazuiwa wamepandishwa hata km walikuwa masomoni.
 
Kikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.

Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.

Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.

Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.

Agenda.

1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.

2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa Umma.

3. Mengineyo.

Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.

1596828460153.jpeg
 
Kikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.

Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.

Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.

Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.

Agenda.

1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.

2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa umma.

3. Mengineyo.

Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.

View attachment 1530815
Ipende nchi yako kwanza hizo ela zenu ndo zinajenga nchi
 
Back
Top Bottom