Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Vipi watumishi wa vyuo vya umma. Kama veta, ud, udom, sua, mhimbili, lgti, ustawi, ifm, n.k
Wao vipi panga litawahusu au na wenyewe wapo pazuri
 
Vipi watumishi wa vyuo vya umma. Kama veta, ud, udom, sua, mhimbili, lgti, ustawi, ifm, n.k
Wao vipi panga litawahusu au na wenyewe wapo pazuri
hizi taasisi kuna zilizo choka, za afadhari/nafuu, nzuri na nzuri Zaidi kwenye maslahi… vyuo viko nafuu kidogo kulinganisha na nilizozitaja hapo mwanzo
 
magereza wanatia Zaidi ya huruma mkuu, wale jamaa ni bora wakawe walinzi wa kampuni binafsi kuliko kuajiriwa kule.
makunyazi wale ni fashion washazoea, wanapiga vizinga hadi vya buku
kuna mwamba ni askari magereza kitaani hapa yeye ni mwendo wa faru tuu nikasema daa mtumishi wa umma
 
Miaka 5 unadhani njaa hatujazoea mkuu? ye afanye anavyotaka si ndo mwenye nchi!..Mengine tutajiongeza wenyewe
 
Bonde la Baraka njoo hapa uoneshe ujuzi wako hapa wa kuwa serikalini, tuambie taasisi za watumishi wenye makunyazi hapa😀😀😀
 
Walimu wa primary vipi?

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Back
Top Bottom