Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😳Tujiandae mara ngapi tushajiandaa siku nyingi ...hata kabla hili halijatokea
sent from HUAWEI
poleni sanawatakavyoamua mbona tumeishi miaka 5
😀😳
shukrani kwa niaba ya wahanga wenzangupoleni sana
[emoji24][emoji24][emoji24]Assume mtumishi alikopa kipindi awamu hii inaanza let say mkopo wa miaka 5 akibakisha 1/3 ya mshahara pekee.Baada ya kuanza biashara imekata, mkopo wa bodi umeingilia hiyo 1/3 na kufyeka mzigo.Kwa kipindi chote hichi anaugulia maumivu hatari.Hizo ulizotaja awali mshahara basic wa kuanzia hauzidi 950k uwe Mwalimu, Mhandisi, afisa utumishi,tawala, ict, ardhi, sheria n.k. Wakati kuna Taasisi kuna miamba inaanza na 1800k wakati wote mnamiliki degree.Fungua biashara wakuletee Mlolongo wa makodi (pango, manispaa, mamlaka-TMDA,TPRI,ASA, TRA,CROP CESS).Cha msingi ni kuomba uzima tuu kutoka kwa Mungu Baba Mwenyezi tuu.
👍shukrani kwa niaba ya wahanga wenzangu
jiandae mkuu usisubiri, utakuja kuzimiaNgoja tuisubiri Mei Moko tumsikie atatuambia nini
mbona unalia?
Yaani unawashauri wabaki shamba?
Binafsi huwa nawaonea huruma wafanyakazi wa vijijini. Huku Dsm ni kama kichwa chako hakitoshi utaumia. Wale wote waliochukua mkopo na kujengea nyumba, maumivu wanayopata ni kudharirika.
Kila siku nawaambia rafiki zangu ukiishi town jione mjasiriamali zaidi kuliko mfanyakazi. Sijawahi kujuta kuwa Dsm hata siku moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀huogopi kulogwa huko kijijini mkuu?Ngoja nirud katika kazi yangu ya awali ya utendaji wa kijiji, nikifulia tu nachukua migambo tunaanza msako wa gongo na bangi na wale wote wasio na vyoo na mazingira machafu. Kwa mwezi sikosi laki nane ya ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unawashauri wabaki shamba?
Binafsi huwa nawaonea huruma wafanyakazi wa vijijini. Huku Dsm ni kama kichwa chako hakitoshi utaumia. Wale wote waliochukua mkopo na kujengea nyumba, maumivu wanayopata ni kudharirika.
Kila siku nawaambia rafiki zangu ukiishi town jione mjasiriamali zaidi kuliko mfanyakazi. Sijawahi kujuta kuwa Dsm hata siku moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa watu take home 250k, upunguze nini mkuu?Kwanza mishahara ya watumishi wa umma ipunguzwe, tunahitaji hela kwa ajili ya kupambana na corona