Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Watumishi ni kama mbwa wasio na meno, ni kama hizo haki zao ni fadhira tu.

Hizo haki zao Ni fadhira.... Hapa umekosea Sana. Hizo haki zipo kisheria na sio kutegemea utashi wa mtu au leo huyo mtu ameamkaje au ameshauriwa nn na mkewe...

Watumishi Ni Kama mbwa....
Haya Ni matusi makubwa kwa watumishi...

Wakati mwingine usitoe comment pasipo kuangalia mantik, wapo watu wako wa karibu nao Ni watumishi...
 
Pole sana mtumishi.

Naona hata kusoma sentensi moja tu ni shida, unaikata vipande ili upate unachokusudia kwa mawazo yako.

Sijasema watumishi ni mbwa, bali ‘toothless dogs’... mbwa wasio na meno.

Ingekuwa wanajua kuwa ni haki zao kisheria wangepaza sauti na kuzidai, kwa sasa wanachukulia ni utashi wa mamlaka ndiyo haishangazi kuwaona watumishi wakisifu na kuunga juhudi hadharani.

Nawajibika kwa maneno yangu, lakini si kwa tafsiri yako mlamu.
 
Ficha upumbavu wako!!!mjinga mtupu!
 
-Annual increments kwa miaka mitano holaaaaaa!
-Nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano holaaaaa!
-Kupandisha madaraja baada ya miaka Sita au mitano.
-Kikokotoo hicho kinakuja, mstaafu utapangiwa matumizi na serikali hahaha, hela ni yako lakini utapangiwa matumizi,cjawah ona.
-Fao la kujitoa holaaaaaa, limeshafutwa
-Wanasiasa wa CCM kuingilia professional zenu
Halafu unakuja kuniambia utapandisha mishahara nikikaribia kutoka madarakani si ndio kipind hiki unatoka, Kwan una uhakika gani unarudi. Wafanyakazi wa umma uliyeumizwa na serikali hii usiku Ali tena upate maumivu, Sema basi CCM.
 
niikatae ccm kwa kisa gani?
 
Na wakimchagua tena kikokoto kinawasubiri
 
Hakuna mfanyakazi wa umma atawapa kura Ccm mwaka huu ndugu. Hakuna kundi lililoteseka miaka hii 5 kama kundi hili la wafanyakazi wa umma then kufuatiwa na wafanyabiashara na mwisho wakulima na vijana!
 
Je, Rais Dkt. Magufuli akishinda na Kurejea zake tena 'Madarakani' na 'akiyatekeleza' yote haya uliyoyataja hapa 'Kikamilifu' kabisa utasemaje tena?
 
Sisi wafanyakazi wa uma ndo tunaelewa usitupangie na usitufokee.
 
Hivi wafanyakazi wa ufipa wamelipwa ujira wao??
 
Umesema jambo muhimu sana na tutalifanyia kazi October.
 
Je, Rais Dkt. Magufuli akishinda na Kurejea zake tena 'Madarakani' na 'akiyatekeleza' yote haya uliyoyataja hapa 'Kikamilifu' kabisa utasemaje tena?
Anashindwa nini sasa mpaka asubiri apite
 
Acha kutusemea sisi wengine tutamchagua

Yaani kufanya kazi tu ya kufagia na kumwagilia maua ya hapo kwenye ofisi zenu za Lumumba, unajiona na wewe eti ni mfanyakazi wa nchi hii!!
Wewe ni mfanyakazi wa ccm, hivyo huwezi kuwa na uchungu wa aina yoyote ile.
 
Je, Rais Dkt. Magufuli akishinda na Kurejea zake tena 'Madarakani' na 'akiyatekeleza' yote haya uliyoyataja hapa 'Kikamilifu' kabisa utasemaje tena?
Hakuna uhakika wa kuyafanya kwa hio hakuna kubahatisha. Watanzania kwa umoja wetu tuikatae CCm kwa maslahi mapana ya taifa hili. Miaka 60 imetosha!
 
Hata wakiikataa CCM hawana impact yoyote maana hawazidi laki tano nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…