wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Watumishi ni kama mbwa wasio na meno, ni kama hizo haki zao ni fadhira tu.
Hizo haki zao Ni fadhira.... Hapa umekosea Sana. Hizo haki zipo kisheria na sio kutegemea utashi wa mtu au leo huyo mtu ameamkaje au ameshauriwa nn na mkewe...
Watumishi Ni Kama mbwa....
Haya Ni matusi makubwa kwa watumishi...
Wakati mwingine usitoe comment pasipo kuangalia mantik, wapo watu wako wa karibu nao Ni watumishi...