Kuanda daraja ni hatua ya juu sana ya kuongeza mshahara, kuliko zile nyongeza za mshahara (salary increment).
Tutamnyosha mwaka huu huyu mkoloni mweuzi maguKikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.
Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.
Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.
Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.
Agenda.
1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.
2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa Umma.
3. Mengineyo.
Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.
View attachment 1530815
Mwongo sana ameshindwa kwa miaka mitano kuongeza japo mara moja tu kwa mwaka mmoja katika hiyo ataweza vipi?Mchagueni tena atawawaboreshea maslahi yenu
Mko laki tano tu,Hamna impact yoyote. Ni JPM tu hadi 2025Eti Tanzania iwe kama ulaya.. nani alikwambia maisha ya ulaya ni bora kuliko maisha yetu..
Tena africa tinaishi maisha marefu zaidi
Msimamo wetu Sisi Wafanyakazi wa Uma unajulikana wazi hata bila ya hiki kikao Ndugu Mjumbe. Story za eti akupigae shavu la Kushoto sijui mgeuzie na la kulia zilishapitwa na wakati, ni Uzwazwa huo.Kikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.
Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.
Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.
Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.
Agenda.
1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.
2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa Umma.
3. Mengineyo.
Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.
View attachment 1530815
Tatizo la watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea na nchi hii tuliigeuza shamba la Bibi
Angalia huyu Mwalimu anazungumzia Habari za 2015
Mwalimu Ukitaka kuishi vizuri lazima ujifunze kutii sheria na kulipa kodi
Hii serikali makini sana nyie waalimu wajanja wajanja na wapiga dili wenzenu lazima muumie
Una uhakika huyu mwalimu halipi kodi mkuu?Tatizo la watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea na nchi hii tuliigeuza shamba la Bibi
Angalia huyu Mwalimu anazungumzia Habari za 2015
Mwalimu Ukitaka kuishi vizuri lazima ujifunze kutii sheria na kulipa kodi
Hii serikali makini sana nyie waalimu wajanja wajanja na wapiga dili wenzenu lazima muumie
Sijui kama umemuelewa jamaaMi CCM bwana[emoji79]
Hata hivo walimu acha muumie na bado, mnayoyafanyaga nyakati za uchaguzi ipo siku.
Mkuu unaposema ustawi wa nchi haina maana kila kukicha basi wafanyakazi waongezewe mishahara na kupandishwa madarajaUna uhakika huyu mwalimu halipi kodi mkuu?
Sasa ujanja ujanja wake huyu mwalimu uko wapi hapo, anakwambia kawasilisha vielelezo vyote zaidi ya mara mbili au tatu na amesainiwa
Kuna mahali huyu mwalimu hajatii sheria mkuu?
Katika haki yake ya kupandishwa daraja na kupata stahiki zake imekuwaje umeona anapiga dili?
MKUU NGOJA NIKUSHAURI KITU, PAMOJA NA MAHABA NA MAPENZI KWA SEREKALI YETU NA RAIS WETU HEBU JARIBU KUWA UNASOMAGA UZI NA KUELEWA VIZURI. JARIBU SANA KUACHA WENGE LA KUKIMBILIA KUTETEA KILA KITU BILA HATA KUJIRUHUSU KUFIKIRIA. SIO KILA SAA UNAWAZA LIGI ZA CHADEMA NA CCM TU. KUNA KIPINDI KAMA TAIFA NI LAZIMA KUANGALIA USTAWI WA TAIFA NA WANANCHI WAKE.
Kwa maandishi haya uliyoandika hapa, naomba niishie hapa. I rest my case.Nchi hii haina haja ya kuongeza mshahara maana imedhibiti mfumuko wa bei kabisa
Kila kitu kimeshuka bei na pesa imepanda thamani