Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kutetea wanyonge ni pamoja na huyu mwalimu unaposema ana agenda iliyojificha ulitakiwa ufafanue.

Ila yeye kaweka wazi hoja tusiongee tu ili kutafuta sifa jaribu kugeuza shilingi upande wa pili ingekuwa wewe je?
 
Na bila shaka wewe mtoa hoja pia ulishiriki kuhesabu kura za wizi, tulia na kuwa mpole 5 mingine.
 
Kutetea wanyonge ni pamoja na huyu mwalimu unaposema ana agenda iliyojificha ulitakiwa ufafanue.
Ila yeye kaweka wazi hoja tusiongee tu ili kutafuta sifa jaribu kugeuza shilingi upande wa pili ingekuwa wewe je?
Kwa sababu mimi ni mzalendo na Nina imani na serikali pamoja na Rais ningekua Mwalimu ningetii na kuheshimu serikali bila shuruti.

Tatizo wafanyakazi wengi wanataka kubenbekezwa nchi hii sio tena ya lele mama.
 
Mlijua wataisoma namba chadema na lissu ndugu mwalimu?

KULA TANO TENA
 
Mkuu hii nchi imepata kiongozi mwema na mwenye roho ya upendo na huruma kwa wananchi wake
?
Kwa watanzani wote ,naomba niwe wa mwisho kuamini komenti yako.
Pia wakati nalizimishwa kuamini, SMG na Bomu viwe pembeni kwa ajili ya kunishughulikia akati naendelea kupinga komenti yako.
 
Kwa sababu mimi ni mzalendo na Nina imani na serikali pamoja na Rais ningekua Mwalimu ningetii na kuheshimu serikali bila shuruti
Tatizo wafanyakazi wengi wanataka kubenbekezwa nchi hii sio tena ya lele mama
Ukiwa kula kulala au unalelewa na shemeji,huwezi juona ugumu wa maisha,waulize wanaokuhudumia na kukutunza watakuambia,
Wewe hujui hata bei ya kilo ya sukari au sembe.
 
Kaz ya shimha hiyo
 
Serikali Sikivu Ya Ccm Inayafanyizia Kazi Yote Hayo
Tuiunge Mkono Tuchape Kazi
 
Hawa ndio aina ya watu waliomzunguka rais wanamshauri, kwa mtindo huu watanzania wana safari ndefu, hivi ni kitu gani kimeshuka bei Tz?

Ndg peleka ushauri wako kwa familia yako! Muache mwalimu atoe ya moyoni kama hajalipwa unataka aje kusifia hapa ujinga’Gademitti
 
Kazi ya msingi imekamilika,Subira ya vita kheri, ni swala la muda hilo litatekelezeka msiwe na wasiwasi.
 
As were...
 
Ila mshkaji unakera kishenzi. Yaani imebidi nicheke tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtaikumbushia hiyo wakati wa Kampeni za 2025! Laptop zenyewe mlizoahidiwa wakati wa Kampeni za 2015 mlishapewa?
 
..Yani nyie waalim hata msipoliowa Maisha ni Sawa Tu...naomba serikali isiwalipe kabisa maslahi yenu ili mpate akili...Yani chokeni Hadi mkome..
 
Una akili timamu kweli?Unajua maana ya kupanda daraja?Kuna uhusiano gani na kutolipa kodi kwa mtumishi husika?Hujui kuwa mtumishi hulipa kodi automatically kila mwezi?
 
Ukiwa kula kulala au unalelewa na shemeji,huwezi juona ugumu wa maisha,waulize wanaokuhudumia na kukutunza watakuambia,
Wewe hujui hata bei ya kilo ya sukari au sembe.
Achana naye huyo jamaa,ni mjinga sana.Hawa ndio std 7 wanaotuvurugia JF.
 
Una akili timamu kweli?Unajua maana ya kupanda daraja?Kuna uhusiano gani na kutolipa kodi kwa mtumishi husika?Hujui kuwa mtumishi hulipa kodi automatically kila mwezi?
Kweli mtumishi hua anakatwa kodi
Lakini Tatizo waalimu na watumishi mbali mbali walikua wamezoea kuishi kiujanja
Sasa hii serikali makini inayoongozwa na Rais mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA Ndio ngumu kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu mpaka wajirekebishe hakuna jinsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…