Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Mkuu nchi hii Ina wataalamu na wasomi waliobobea katika kila nyanja Ndio maana Watanzania kwa sasa tunamaisha bora kuliko wakati wowote kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha bora kabisaHawa ndio aina ya watu waliomzunguka rais wanamshauri, kwa mtindo huu watanzania wana safari ndefu, hivi ni kitu gani kimeshuka bei Tz?
Ndg peleka ushauri wako kwa familia yako! Muache mwalimu atoe ya moyoni kama hajalipwa unataka aje kusifia hapa ujinga’Gademitti
Ukweli mchungu huoKaz ya shimha hiyo
Mkuu mie nipo hapa Ruvu ninalima mboga na mahindi ya kuchoma kila mara magari yanakuja kuchukua bidhaa Nalipa kodi na ushuru kihalali Naishi kama sultaniUkiwa kula kulala au unalelewa na shemeji,huwezi juona ugumu wa maisha,waulize wanaokuhudumia na kukutunza watakuambia,
Wewe hujui hata bei ya kilo ya sukari au sembe.
Ukweli mchungu nyie wapiga dili poleni lazima mumchukie maana ameziba mianya na mtaumia mpaka mkubali kuacha maisha ya ujanja janjaKwa watanzani wote ,naomba niwe wa mwisho kuamini komenti yako.
Pia wakati nalizimishwa kuamini, SMG na Bomu viwe pembeni kwa ajili ya kunishughulikia akati naendelea kupinga komenti yako.
Simba zee una zeeka vibaya ,vitu ambavyo viko kikatiba,na unapojaza mkatataba viko wazi kabisa.Una kaa unasema wamezoea kuishi kiujanja ,ivi kuishi kiujanja ndo kuishi gani?.Unamihemko ya kuchanganganyikiwa na maisha ,acha watu wapambanie haki zaoKweli mtumishi hua anakatwa kodi
Lakini Tatizo waalimu na watumishi mbali mbali walikua wamezoea kuishi kiujanja
Sasa hii serikali makini inayoongozwa na Rais mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA Ndio ngumu kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu mpaka wajirekebishe hakuna jinsi
Yaani nchi hii kwa sasa tangu ipate Rais mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake mambo ni swafi sana Watanzania tunaishi kama masultaniSimba zee una zeeka vibaya ,vitu ambavyo viko kikatiba,na unapojaza mkatataba viko wazi kabisa.Una kaa unasema wamezoea kuishi kiujanja ,ivi kuishi kiujanja ndo kuishi gani?.Unamihemko ya kuchanganganyikiwa na maisha ,acha watu wapambanie haki zao
Yaani kukuelewa kazi Sana ,sijui una umri gani?.mwalimu anapiga dili kivipi?Miaka ya nyuma izo stahiki hazikuwepo?.Moyo wa huruma kwa raia wake,uyo mwalimu anedai sio raia?.Yaani nchi hii kwa sasa tangu ipate Rais mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake mambo ni swafi sana Watanzania tunaishi kama masultani
Tatizo lipo kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu mpaka wajirekebishe mianya ya ujanja janja imeziba kabisa
Ameziba mianya yako.Ukweli mchungu nyie wapiga dili poleni lazima mumchukie maana ameziba mianya na mtaumia mpaka mkubali kuacha maisha ya ujanja janja
Kama Rais wetu angekua ana dosari dunia ingesemaAmeziba mianya yako.
Yeye mwenyewe (Magufuli) ni mjanja mjanja ktk suala zima la upigaji. Kakuacha njiapanda mwanalumumba hata usijue cha kufanya alafu yeye mwenyewe akizidi kupiga dili za matrilioni. Unabisha?
Mkuu waalimu na watumishi wa serikali kwa ujumla waache kuishi kwa mazoea lazima wafuate sheria za nchi bila shuruti na walipe kodi la sivyo wataendelea kuumia tu maana mianya ya madili imeziba kabisaYaani kukuelewa kazi Sana ,sijui una umri gani?.mwalimu anapiga dili kivipi?Miaka ya nyuma izo stahiki hazikuwepo?.Moyo wa huruma kwa raia wake,uyo mwalimu anedai sio raia?.
Ebu punguza shobo za kishamba bro ,ayo mahaba ukiyapeleka kwa familia yako itakuwa afadhari sana
Mwalimu yupi halipi Kodi au mtumishi wa serikali?,hata ujui kuwa Kodi za watumishi zinakatwa automatically kwenye mshahara.Siasa unaonekana huijui,impacts za kutokupandishwa vyeo huzijui ,ila wastaafu watakusaidia kujua.Vilevile usiwe mlevi wa nyimbo za mapambio hata kwenye dhuruma.Huyo rais kwenye mazuri mbona tunamsifia,kwa iyo ulitaka akiharibu napo tumpe pongezi?.Busara ya mtu mzima ni kuchambua mambo kwa kina ,sio shobo za kijinga na mapambio yasio na tija.Mkuu waalimu na watumishi wa serikali kwa ujumla waache kuishi kwa mazoea lazima wafuate sheria za nchi bila shuruti na walipe kodi la sivyo wataendelea kuumia tu maana mianya ya madili imeziba kabisa
lazima tujue hii nchi inaendeshwa na mtu muadilifu anaepata ushauri kutoka kwa wataalamu waliobobea na wasomi mahiri sanaMwalimu yupi halipi Kodi au mtumishi wa serikali?,hata ujui kuwa Kodi za watumishi zinakatwa automatically kwenye mshahara.Siasa unaonekana huijui,impacts za kutokupandishwa vyeo huzijui ,ila wastaafu watakusaidia kujua.Vilevile usiwe mlevi wa nyimbo za mapambio hata kwenye dhuruma.Huyo rais kwenye mazuri mbona tunamsifia,kwa iyo ulitaka akiharibu napo tumpe pongezi?.Busara ya mtu mzima ni kuchambua mambo kwa kina ,sio shobo za kijinga na mapambio yasio na tija.
Wewe ni mpumbavuuu usie jielewa,yaani raisi wako unamuona kama Mungu asie weza kukosea na kushauriwa.Wewe mwananchi una haki ya kumkosoa raisi sio kumsifia kila kitu .Unasema vitu vineshuka bei unajua sukari ni sh ngapi,mfuko wa simenti sh mgapi ,bati sh ngapi ,mafuta ya kula sh ngapi lita? Unaropoka tu hujui unalo liongea.Mkiu
lazima tujue hii nchi inaendeshwa na mtu muadilifu anaepata ushauri kutoka kwa wataalamu waliobobea na wasomi mahiri sana
Swala la eti kuongeza mshahara wakati serikali inadhibiti mfumuko wa bei Haiwezekani kwa sasa pesa yetu inathamini sana na maisha yapo chini mnoo
Kila bidhaa imeshuka bei kabisa
Kweli tuwe wakweli nchini kwetu afadhali mishahara ishushwe sio kuongezwa
Tena ujue mimi na wewe hatuna hadhi ya kumshauri Rais maana anae Washauri wazuri na wataalamu kweli kweli
Mkuu Sijasema Rais ni Mungu Bali nimesema Sisi raia wa kawaida hatuna hadhi ya kumshauri Rais kwa sababu yeye ni muadilifu na Ana Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake vile vile kuna wataalamu ambao ni wasomi waliobobea Ndio wanamshauri tena kwa hekimaWewe ni mpumbavuuu usie jielewa,yaani raisi wako unamuona kama Mungu asie weza kukosea na kushauriwa.Wewe mwananchi una haki ya kumkosoa raisi sio kumsifia kila kitu .Unasema vitu vineshuka bei unajua sukari ni sh ngapi,mfuko wa simenti sh mgapi ,bati sh ngapi ,mafuta ya kula sh ngapi lita? Unaropoka tu hujui unalo liongea.
Nchi hii Kuna watu wapumbavu sijawahi kuona,familia yako ina hasara kupata kiongozi wa familia usie jitambua Kama wewe.Mkiu
lazima tujue hii nchi inaendeshwa na mtu muadilifu anaepata ushauri kutoka kwa wataalamu waliobobea na wasomi mahiri sana
Swala la eti kuongeza mshahara wakati serikali inadhibiti mfumuko wa bei Haiwezekani kwa sasa pesa yetu inathamini sana na maisha yapo chini mnoo
Kila bidhaa imeshuka bei kabisa
Kweli tuwe wakweli nchini kwetu afadhali mishahara ishushwe sio kuongezwa
Tena ujue mimi na wewe hatuna hadhi ya kumshauri Rais maana anae Washauri wazuri na wataalamu kweli kweli
Mkuu ukweli utabaki pale paleNchi hii Kuna watu wapumbavu sijawahi kuona,familia yako ina hasara kupata kiongozi wa familia usie jitambua Kama wewe.
bora nyinyi barua mmepewa si wengine April 1 tunafikisha miaka 7 tangu tuajiriwe na hamna hata hiyo barua ya kuzugia we komaa tu hamna cha maana hapoHabarini Wadau,
Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili.
Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko ya mishahara ni kama kuna ubaguzi kwa watumishi.
Kwa Mkoa wa Kilimanjaro kuna ambao wamebadilishiwa mishahara na wengine wenye barua kabisa za kupanda daraja mishahara yao haijabadilika.
Mimi nina miaka 7 tangu kuajiriwa, huu ni wa 8. Nilipoajiriwa baada ya miaka miwili nikapata ruhusa rasmi ya kwenda masomoni, nikarudi kazini tangu 2017 na kufanya kazi kwa miaka miwili na huu wa 2020 ni wa tatu.
Nimepata barua ya kupandishwa daraja mwaka jana lakini leo Afisa Utumishi wilaya ananiambia kuwa sina sifa ya kubadilishiwa mshahara hata kama barua imekuja.
SABABU: Afisa Utumishi anasema kuwa kuna Mwongozo umekuja ambao hautambui ule muda wa mtumishi kuwa masomoni kuwa upo ndani ya Utumishi hata kama alienda kwa barua rasmi bila kutoroka.
SWALI: NI KWELI HUO MWONGOZO UPO? JE, NI RASMI ?
Au upo kwa Mkoa wa Kilimanjaro tu?
Naombeni Msaada wenu.
=======
Soma pia:
1) Je, watumishi wa umma watarajie nyongeza ya mishahara 2019/2020? - JamiiForums
2) Serikali: Mishahara minono yaja kwa watumishi wa umma - JamiiForums
3) Mwaka wa 4 watumishi wa umma bila nyongeza ya mshahara - JamiiForums
4) Kama Serikali itashindwa kuwaongezea mishahara watumishi wa umma 2020 vyama vya wafanyakazi vifutwe - JamiiForums
5) Maadhimisho ya Siku ya Sheria: Rais Magufuli adai hata yeye mshahara haumtoshi, awaasa wapelelezi kuharakisha upelelezi - JamiiForums
6) Mei Mosi 2019: MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira - JamiiForums
Mkuu Ukitaka kufaidi nchi hii lazima utii sheria bila shuruti na ulipe kodibora nyinyi barua mmepewa si wengine April 1 tunafikisha miaka 7 tangu tuajiriwe na hamna hata hiyo barua ya kuzugia we komaa tu hamna cha maana hapo
TOA mfano wa huo ujanjaujanja, otherwise blaablaa.Kweli mtumishi hua anakatwa kodi
Lakini Tatizo waalimu na watumishi mbali mbali walikua wamezoea kuishi kiujanja
Sasa hii serikali makini inayoongozwa na Rais mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA Ndio ngumu kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu mpaka wajirekebishe hakuna jinsi