Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Lindi pa kichoko sanaa 😀😀😀
 
ACHA kupotosha watu,mi mzawa wa shinyanga na nafanyia KAZI shinyanga Kuna wakulima huku wanalima tumbaku wanapiga zaidi ya milioni 20 Kwa msimu ,Sasa watamuonea wivu Gani mtumishi asie na pesa hata mambo ya waganga huo ni uongo 100%.
Tena vijiji kama Kahama huko watu wanapesa sana tu! Ila kuna wajinga humu wanawaaminisha kuendelea kukaa Dark huku ukipata hela ya kula na kubanana kwenye daladala na mijasho!
 
Huyo jamaa Liverpool VPN
Huyu kaja na Uzi wake ambao unaonesha tabu alizopata na hii kwa sababu ya ufinyu wa akili
Kumbuka Ametoka mjin kuja kijijin kufata fursa za kununua mazao
 
@ChoiceVariable huduma tunapata tunduma
Na Kuna sehemu moja inaitwa LAELA
 
Huyo jamaa Liverpool VPN
Huyu kaja na Uzi wake ambao unaonesha tabu alizopata na hii kwa sababu ya ufinyu wa akili
Kumbuka Ametoka mjin kuja kijijin kufata fursa za kununua mazao
Kwanza mwanaume kuwaza Ugumu wa Maisha ni upuuzi,hao ndio Huwa wanakuja kuwa machoko huko Mjini.

Anaweza ishi machimboni kweli huyo? Anaongea hayo wakati usafiri ,maji,makazi alipata Sasa sijui Ugumu upi ikiwa basic needs zipo..

Kuna Kijiji nilienda shule inatenganishwa na Kijiji Kwa mkondo mkubwa wa Maji ya Ziwa na mto kiasi walimu au Watoto au wanakijii wakitaka kusafiri lazima wavuke Kwa mtumbwi na hiyo ni daily life Sasa huko angesemaje?

Niliwakuta Watumishi wa Serikali wako poa tuu na maisha yanaendelea,uvuvi ndio shughuli kuunya uchuyna pesa watu wanapata.
 
Huko ndio utajiri ulipo, na mahali panapokimbiwa ndio penye mafanikio

Lavish lifestyle
 
Changamoto pekee ya Kijijini ni uhaba wa pisi Kali na hatari ya Magonjwa Kwa kubadilishana wanawake au kuvamia wale makonki walioshindikana mjini Huwa wanakuja msimu wa mazao nk.
 
Momba ipo mkoa gani?
 
Tanganyika ni Wilaya nzuri Kwa kilimo na inafikika vizuri,Tarura imefungua mawasiliano kufika kusiko fikika ,pia umeme upo karibu Vijiji vyote Kwa Sasa.
Acha uongoo, unachokiandika hukielewii, umeandika nini sasa?
Kijana mdogo unakua mshirikina unaroga mpaka mifugo.
Empty set kabisa, kichwani umebeba uono.
 
Vijijini kuna fursa sana mjini maisha gharama kama kusoma online classes inawezkana ukiwa popote kwa sasa mitandao ipo kua tajiri kijijin ni rahisi sana.
 
Umeona sasa, katoto kadogo unawaza ngono tuu,
Rubish kabisa, kichwani umebeba mifuko ya rambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…