Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Mkuu ni only 20% ya vijiji vyenye huduma muhimu 80% ni nusu jahanamu wewe nenda tu Lindi DC kuna sehemu inaitwa mulowa kata ni kama 30km kutoka mjini kuna kijiji kinaitwa mputwa, nilisha wahi kufika uko wakati tunatafuta watu wenye damu pure ambazo hazijawahi kutumia hizi dawa ya kizungu, kule sio rahisi kutofoutisha mtu na mnyama, tembo ni jirani wao kawaida akili zao Mungu ndo ana zijua hakuna maji safi barabara shida soko hamna zahanati moja shule moja, pale ukiwa unanilipa bila kazi kwa 1m kila wili sikae kabisa bora niende madale niuze genge.
Lindi pa kichoko sanaa 😀😀😀
 
ACHA kupotosha watu,mi mzawa wa shinyanga na nafanyia KAZI shinyanga Kuna wakulima huku wanalima tumbaku wanapiga zaidi ya milioni 20 Kwa msimu ,Sasa watamuonea wivu Gani mtumishi asie na pesa hata mambo ya waganga huo ni uongo 100%.
Tena vijiji kama Kahama huko watu wanapesa sana tu! Ila kuna wajinga humu wanawaaminisha kuendelea kukaa Dark huku ukipata hela ya kula na kubanana kwenye daladala na mijasho!
 
Mbona uli survive siku zote hizo ulizonunua mazao? Uliishije? Acha kutosha watu broo.

Harafu Kwa Sasa mambo yamebadikika sana ,ulikuja wakati Samia sio Rais Toka ameingia amejaza pesa nyingi sana kwenye Barabara za Vijijini,maji Vijiji,Huduma za Afya ,umeme nk kiasi kwamba mabadiliko ni makubwa sana kama ukienda Leo.
Huyo jamaa Liverpool VPN
Huyu kaja na Uzi wake ambao unaonesha tabu alizopata na hii kwa sababu ya ufinyu wa akili
Kumbuka Ametoka mjin kuja kijijin kufata fursa za kununua mazao
 
Hii kauli yako UMEITHIBITISHA?
Umefika Momba, Ileje na Tanganyika?
1. Momba huduma zao za financial na social wanazipatia Vwawa na Tunduma
2. Ileje wao ni Mpemba au Tunduma.

Hebu fanya research ndio uje kuongea.

SHAZ96 huko Momba benki mnapata wapi na huduma Bora za afya?

#YNWA
@ChoiceVariable huduma tunapata tunduma
Na Kuna sehemu moja inaitwa LAELA
 
Huyo jamaa Liverpool VPN
Huyu kaja na Uzi wake ambao unaonesha tabu alizopata na hii kwa sababu ya ufinyu wa akili
Kumbuka Ametoka mjin kuja kijijin kufata fursa za kununua mazao
Kwanza mwanaume kuwaza Ugumu wa Maisha ni upuuzi,hao ndio Huwa wanakuja kuwa machoko huko Mjini.

Anaweza ishi machimboni kweli huyo? Anaongea hayo wakati usafiri ,maji,makazi alipata Sasa sijui Ugumu upi ikiwa basic needs zipo..

Kuna Kijiji nilienda shule inatenganishwa na Kijiji Kwa mkondo mkubwa wa Maji ya Ziwa na mto kiasi walimu au Watoto au wanakijii wakitaka kusafiri lazima wavuke Kwa mtumbwi na hiyo ni daily life Sasa huko angesemaje?

Niliwakuta Watumishi wa Serikali wako poa tuu na maisha yanaendelea,uvuvi ndio shughuli kuunya uchuyna pesa watu wanapata.
 
Mtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.

Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.

Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.

Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.

Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?

NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Huko ndio utajiri ulipo, na mahali panapokimbiwa ndio penye mafanikio

Lavish lifestyle
 
Changamoto pekee ya Kijijini ni uhaba wa pisi Kali na hatari ya Magonjwa Kwa kubadilishana wanawake au kuvamia wale makonki walioshindikana mjini Huwa wanakuja msimu wa mazao nk.
 
Uko Momba sehemu gani?

Halmashauri nzima kuanzia DED wenu mpaka mtumishi wa mwisho WANAWAZA KUHAMA.

Katika halmashauri chaka yaani ile chakaaaaa Momba ipo kwenye top ten.

Nina mshkaji wangu yupo hapo HQ zenu huyu jamaa yeye kila wiki yupo Mbeya mjini.

Na siku nilikuja mtembelea huko nikajifunza mengiii

Momba....
1. Usafiri shida (gari chache Tena Kuna route ya Barabara ya HQ - Chitete kuelekea Vwawa, na ile ya kutokea kule sijui Mkulwe - Vwawa) gari ni moja tu. Ukilikosa hili UMELIWA panda fuso.

2. Barabara vumbiii
Ukienda mjini kutokea Momba lazima uwe na gheto town la kubadilisha Nguo zenye vumbi

3. Umeme shida, Kuna vijiji umeme wa REA umefika vijiji ukawekwa nyumba 2 tu.

4. Maji shida, walimu na watumishi wa mtaani mnaokolewa na mto Ikana.

5. Ofisi za Halmashauri zilipo, Mungu saidia .. ..!!!!!

Kuajiriwa huko Momba ni kukaribisha umasikini tu.

#YNWA
Momba ipo mkoa gani?
 
Tanganyika ni Wilaya nzuri Kwa kilimo na inafikika vizuri,Tarura imefungua mawasiliano kufika kusiko fikika ,pia umeme upo karibu Vijiji vyote Kwa Sasa.
Acha uongoo, unachokiandika hukielewii, umeandika nini sasa?
Kijana mdogo unakua mshirikina unaroga mpaka mifugo.
Empty set kabisa, kichwani umebeba uono.
 
Vijijini kuna fursa sana mjini maisha gharama kama kusoma online classes inawezkana ukiwa popote kwa sasa mitandao ipo kua tajiri kijijin ni rahisi sana.
 
Lazima umegewe na Afisa Elimu,Mwalimu Mkuu/Mkuu wa shule ,DED nk 🤣🤣🤣🤣

Unaweza pata uhamisho.kama. una Ndoa lakini ni uhamisho wa kumsogeza sehemu inayofikika kirahisi Kwa sababu ataambiwa tuu mjini nafasi hakuna ila ipo jirani na mjini chagua na hongo utatoa.
Umeona sasa, katoto kadogo unawaza ngono tuu,
Rubish kabisa, kichwani umebeba mifuko ya rambo.
 
Back
Top Bottom