Asante sana mkuu πππππ upo sahihi sana, ukiishi kijijini hata akili zako baada ya muda zitakuwa sawa na za mbuzi, pili kijijini hakuna maisha ndio maana naomba serikali iwaongezee mishahara watu walioamua kuwa mandondocha.Ndo maana nikasema familia iwe mjin, kila baada ya miez 2 hivi nenda mjin bila hivyo kuishi na familia kijijin lazima uwe bogus kias fulan
Hahaha aiseKuna MPWAPWA pia.
Siku hizi Kuna solar ndugu yangu Mambo yamebadilika Kama mtumishi utaenda na wewe kutumia kibatari Basi elimu yako haikusaidiii kituHuwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noma sana hiiHivi wewe umewahi Fanya kazi kijijini? Unavifahamu vijiji vya mkoa wa Simiyu au shinyanga? Huku wenyeji hawataki muona mgeni akifanikiwa uchawi Kila Kona tena hadi watumishi wanatumia ndumba hasa wenyeji wa huko unakuta Kijiji kina kaya 400 katika hizi kaya 97 ni za waganga wa kienyeji kaya 250 ni wachawi kaya zilizobaki ndo Zina ahueni umasikini ni WA kutupa halafu kuna mtu anasema vijijini kuna fursa ninawasi wasi utakuwa umetembelea vijiji vya DSM pekee! Kuna vijiji huku greda halijawahi fika kuna Barbara za ng'ombe tu usiombe upate dharula wakati wa masika utajuta.
Tukisema Serikali iongeze Kodi mjini haielewi ona Sasa nyumbu kama Hawa wanavyoleta dharauMtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.
Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.
Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.
Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.
Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?
NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Hata uwe na solar kama mazingira yanayokuzunguka ni watupori lazima na wewe uwe poriSiku hizi Kuna solar ndugu yangu Mambo yamebadilika Kama mtumishi utaenda na wewe kutumia kibatari Basi elimu yako haikusaidiii kitu
I wish ungejuwa faida kubwa yakupangiwa Kijijini nadhani watu wengi wangetamani kupangiwa Kijijini tatizo kubwa vijana wengi hatuna elimu ya ujasiriamali uwezo wakuiona fursa Kuna walimu wamepangiwa vijijini leo maisha yao mshahara wala hawaugusi. Unaweza kujikuta umepangiwa Kijiji hakuna duka hakuna machine hakuna huduma zakijamii badala yakulalamika kama tunavyolalamika kwa DPW tafuta fursa Kuna watu wanaimaisha mazuri na mikwanja vijijini mpaka huwamini alafu unakuta analipwa sawa na wewe 500,000 / = vijana Hamna maono vijana mnapenda mjini kula Bata badala yakuja vijijini na kufanya maendeleo leo Kuna Mwlm namjuwa anauza barafu peke yake Kijijini ametumia fursa ya rea kufanya mabadiliko. So unaweza kizee wala sio visionMtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.
Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.
Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.
Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.
Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?
NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Hapana mkuu.Hata uwe na solar kama mazingira yanayokuzunguka ni watupori lazima na wewe uwe pori
Pengine hujafika hivyo vijiji ninavyomaanisha unadhani nikisema kijiji namaanisha kijiji cha Makumbusho Dar[emoji1787]
Yani umesema kweli jitu kama hili mawazo yake nikuwa mjini ndio ujanja na kupata shahada ndio ujanja wakati mwenzake anafuga na kilima kesho anazeeka na lishaada lake lauvumbivu hana kitu hata Pssf analipwa anaenda nunua gari anawapa watoto anaumwa presha na kisukari kwaheri mwenzake alie kuwa Kijijini akistaafu hana kazi na mafao maana nitajiri wa mashamba, kilimo na biashara nyingine haanzi biashara anajuwa biashara. Kiukweli Kodi kubwa mijini ndogo Kijijini watu wapate akili.Tukisema Serikali iongeze Kodi mjini haielewi ona Sasa nyumbu kama Hawa wanavyoleta dharau
Ukerewe si karibu kabisa na mwanza ni kilomita 45 unaingia mza sasa kwanini usiishi mza mjini huku unafanya ukereweUpo sahihi kabisaaa
Wale wa Halmashauri za Wilaya zile ngumuuu kama
1. Ukerewe
2. Momba
3. Mpimbwe
4. Mlele
5. Tanganyika
Watakuelewa vizuri sanaaa. Ukiwa halmashauri hizi Kutoboa ki exporure, academic na financially ni taabu sanaaaaaa.
Raia wa humo huwaza kulima na kufuga tu.
#YNWA
Nikweli ila hana maono pia. Huwo ndio ukweli. Akili nikuona matatizo yanawakabilk watu nakuyapatia ufumbuzi. Unaweza olewa na mwanakijiji smart ukiwa na akili ya maendeleo.Huwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe wati wanaposema kijijini we unachukulia vimji vidogo eeh, kuna vijiji shekhe.Hivi Kuna maeneo bado wanatumia mafuta taa?
Kwamba hata solar hamna?
Umaskini upo lakini sio kama ulivo-potray hapa
Utakuwa umekulia mboga saba, mi binafsi dar palinishinda,Eee nshawahi kuwa mwalimu bana sisee hapakuwa mbali na mjini ila vimbi kha!
Ukisikia mtu ni mwalimu mpe heshima zake mimi yalinishinda.
Sijui mnanielewa ama? Ati wanafunzi wakifunga mimi nibaki maeneo ya shule yaani siwezi kwenda nyumbani kama sina likizo ati nibaki nareport shulen kila siku π€£
Kubwa kuliko yote nikibaki shulen kumbuka wanafunzi wako likizo shulen nakutana na mbuzi ndo zinakuwa zinazunguka viwanjani nyieeee!
Kuandaa sijui assessment sijui ya mwaka sijui nini dah!
Kunifanyia eti kukaguzi wa kustukiza tena niko darasani, siku hiyo nilimuacha darasani nikawaaga wanafunzi nikawaambia sijiskii vizuri.
Bado kufika kazini ikishafika saa 7:30 kitabu cha kusaini kusharudishwa kwa HM
Vumbi la barabarani nikiwa naenda kazini nyieeee!
Wachawi kulala wananiniga usiku!
Niliandika barua ya kwenda masomoni na ndo ukawa mwisho wa ualimu.
Nyie heshimuni watumishi walioko vijiji hasa walimu dah.
Umewahi ishi kijijini?ila asikwambie mtu ukiwa mfanyakazi huko vijijini unatukuzwa vibaya sana unakuta hadi chakula unaletewa na mama nyumba ya jirani anamtuma binti yake
Ujue ukiropoka uwe na dataKwa wapenda bata vijijini hakuwafai.
Ishu ya internet ni vijiji vichache havina labda vile vidogo ambavyo Serikali haijapeleka uhitaji wa huduma za kijamii sababu hakuna watu, kampuni za simu zinashindana kupeleka minara hata pasipo na umeme wanatumia sola.
Popote penye watu Pana pesa ni wewe kichwan mwako tu hata mjini watumishi wengi wanapigika maisha ni Ile tu kusafisha macho mjini at the end wengi uishia kuwa masikini mbwa baada ya kusataafu
Nimekaa Kijijini kwa Miaka 2 ila hakuna cha maana nilichofanya, maaana watu ni wale wale, vitu ni vile vile.Kupangiwa kazi vijijini kunapoteza ndoto za wengi katika hali tofauti tofauti
Masista duu wengi hasa walimu waliokuwa wanawaza kuolewa na washikaji zao wa Dar wenye vibunda, kila wakihangaikia uhamisho serikali inabana umri unaenda wameishia kuolewa na walimu wenzao au wakulima wa vijijini.
Vijiji asilimia 99 havina barabaraEee nshawahi kuwa mwalimu bana sisee hapakuwa mbali na mjini ila vimbi kha!
Ukisikia mtu ni mwalimu mpe heshima zake mimi yalinishinda.
Sijui mnanielewa ama? Ati wanafunzi wakifunga mimi nibaki maeneo ya shule yaani siwezi kwenda nyumbani kama sina likizo ati nibaki nareport shulen kila siku [emoji1787]
Kubwa kuliko yote nikibaki shulen kumbuka wanafunzi wako likizo shulen nakutana na mbuzi ndo zinakuwa zinazunguka viwanjani nyieeee!
Kuandaa sijui assessment sijui ya mwaka sijui nini dah!
Kunifanyia eti kukaguzi wa kustukiza tena niko darasani, siku hiyo nilimuacha darasani nikawaaga wanafunzi nikawaambia sijiskii vizuri.
Bado kufika kazini ikishafika saa 7:30 kitabu cha kusaini kusharudishwa kwa HM
Vumbi la barabarani nikiwa naenda kazini nyieeee!
Wachawi kulala wananiniga usiku!
Niliandika barua ya kwenda masomoni na ndo ukawa mwisho wa ualimu.
Nyie heshimuni watumishi walioko vijiji hasa walimu dah.
Kuna baadhi ya vijiji hapa Tanzania unaweza kufanya jamboNimekaa Kijijini kwa Miaka 2 ila hakuna cha maana nilichofanya, maaana watu ni wale wale, vitu ni vile vile.
Kila kitu kibaya kuanzia maji ya kuogea hadi chakula
Mtu anayesema kijijini kuna fursa za kulima hajui wanavyopitia tabu