Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Ndo maana nikasema familia iwe mjin, kila baada ya miez 2 hivi nenda mjin bila hivyo kuishi na familia kijijin lazima uwe bogus kias fulan
Asante sana mkuu 😂😂😂😂😂 upo sahihi sana, ukiishi kijijini hata akili zako baada ya muda zitakuwa sawa na za mbuzi, pili kijijini hakuna maisha ndio maana naomba serikali iwaongezee mishahara watu walioamua kuwa mandondocha.
 
Huwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku hizi Kuna solar ndugu yangu Mambo yamebadilika Kama mtumishi utaenda na wewe kutumia kibatari Basi elimu yako haikusaidiii kitu
 
Hivi wewe umewahi Fanya kazi kijijini? Unavifahamu vijiji vya mkoa wa Simiyu au shinyanga? Huku wenyeji hawataki muona mgeni akifanikiwa uchawi Kila Kona tena hadi watumishi wanatumia ndumba hasa wenyeji wa huko unakuta Kijiji kina kaya 400 katika hizi kaya 97 ni za waganga wa kienyeji kaya 250 ni wachawi kaya zilizobaki ndo Zina ahueni umasikini ni WA kutupa halafu kuna mtu anasema vijijini kuna fursa ninawasi wasi utakuwa umetembelea vijiji vya DSM pekee! Kuna vijiji huku greda halijawahi fika kuna Barbara za ng'ombe tu usiombe upate dharula wakati wa masika utajuta.
Noma sana hii
 
Mtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.

Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.

Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.

Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.

Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?

NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Tukisema Serikali iongeze Kodi mjini haielewi ona Sasa nyumbu kama Hawa wanavyoleta dharau
 
Siku hizi Kuna solar ndugu yangu Mambo yamebadilika Kama mtumishi utaenda na wewe kutumia kibatari Basi elimu yako haikusaidiii kitu
Hata uwe na solar kama mazingira yanayokuzunguka ni watupori lazima na wewe uwe pori
Pengine hujafika hivyo vijiji ninavyomaanisha unadhani nikisema kijiji namaanisha kijiji cha Makumbusho Dar[emoji1787]
 
Mtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.

Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.

Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.

Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.

Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?

NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
I wish ungejuwa faida kubwa yakupangiwa Kijijini nadhani watu wengi wangetamani kupangiwa Kijijini tatizo kubwa vijana wengi hatuna elimu ya ujasiriamali uwezo wakuiona fursa Kuna walimu wamepangiwa vijijini leo maisha yao mshahara wala hawaugusi. Unaweza kujikuta umepangiwa Kijiji hakuna duka hakuna machine hakuna huduma zakijamii badala yakulalamika kama tunavyolalamika kwa DPW tafuta fursa Kuna watu wanaimaisha mazuri na mikwanja vijijini mpaka huwamini alafu unakuta analipwa sawa na wewe 500,000 / = vijana Hamna maono vijana mnapenda mjini kula Bata badala yakuja vijijini na kufanya maendeleo leo Kuna Mwlm namjuwa anauza barafu peke yake Kijijini ametumia fursa ya rea kufanya mabadiliko. So unaweza kizee wala sio vision
 
Hata uwe na solar kama mazingira yanayokuzunguka ni watupori lazima na wewe uwe pori
Pengine hujafika hivyo vijiji ninavyomaanisha unadhani nikisema kijiji namaanisha kijiji cha Makumbusho Dar[emoji1787]
Hapana mkuu.

Formular ya kuishi kijijini na watu pori USIFANANE NAO
 
Tukisema Serikali iongeze Kodi mjini haielewi ona Sasa nyumbu kama Hawa wanavyoleta dharau
Yani umesema kweli jitu kama hili mawazo yake nikuwa mjini ndio ujanja na kupata shahada ndio ujanja wakati mwenzake anafuga na kilima kesho anazeeka na lishaada lake lauvumbivu hana kitu hata Pssf analipwa anaenda nunua gari anawapa watoto anaumwa presha na kisukari kwaheri mwenzake alie kuwa Kijijini akistaafu hana kazi na mafao maana nitajiri wa mashamba, kilimo na biashara nyingine haanzi biashara anajuwa biashara. Kiukweli Kodi kubwa mijini ndogo Kijijini watu wapate akili.
 
Upo sahihi kabisaaa

Wale wa Halmashauri za Wilaya zile ngumuuu kama

1. Ukerewe
2. Momba
3. Mpimbwe
4. Mlele
5. Tanganyika

Watakuelewa vizuri sanaaa. Ukiwa halmashauri hizi Kutoboa ki exporure, academic na financially ni taabu sanaaaaaa.

Raia wa humo huwaza kulima na kufuga tu.

#YNWA
Ukerewe si karibu kabisa na mwanza ni kilomita 45 unaingia mza sasa kwanini usiishi mza mjini huku unafanya ukerewe
 
Huwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikweli ila hana maono pia. Huwo ndio ukweli. Akili nikuona matatizo yanawakabilk watu nakuyapatia ufumbuzi. Unaweza olewa na mwanakijiji smart ukiwa na akili ya maendeleo.
 
Eee nshawahi kuwa mwalimu bana sisee hapakuwa mbali na mjini ila vimbi kha!

Ukisikia mtu ni mwalimu mpe heshima zake mimi yalinishinda.

Sijui mnanielewa ama? Ati wanafunzi wakifunga mimi nibaki maeneo ya shule yaani siwezi kwenda nyumbani kama sina likizo ati nibaki nareport shulen kila siku 🤣

Kubwa kuliko yote nikibaki shulen kumbuka wanafunzi wako likizo shulen nakutana na mbuzi ndo zinakuwa zinazunguka viwanjani nyieeee!

Kuandaa sijui assessment sijui ya mwaka sijui nini dah!
Kunifanyia eti kukaguzi wa kustukiza tena niko darasani, siku hiyo nilimuacha darasani nikawaaga wanafunzi nikawaambia sijiskii vizuri.

Bado kufika kazini ikishafika saa 7:30 kitabu cha kusaini kusharudishwa kwa HM

Vumbi la barabarani nikiwa naenda kazini nyieeee!

Wachawi kulala wananiniga usiku!

Niliandika barua ya kwenda masomoni na ndo ukawa mwisho wa ualimu.

Nyie heshimuni watumishi walioko vijiji hasa walimu dah.
Utakuwa umekulia mboga saba, mi binafsi dar palinishinda,
 
Kwa wapenda bata vijijini hakuwafai.
Ishu ya internet ni vijiji vichache havina labda vile vidogo ambavyo Serikali haijapeleka uhitaji wa huduma za kijamii sababu hakuna watu, kampuni za simu zinashindana kupeleka minara hata pasipo na umeme wanatumia sola.
Popote penye watu Pana pesa ni wewe kichwan mwako tu hata mjini watumishi wengi wanapigika maisha ni Ile tu kusafisha macho mjini at the end wengi uishia kuwa masikini mbwa baada ya kusataafu
Ujue ukiropoka uwe na data

Hujui ni mwaka huu ndiyo serikali imeingia mkataba wa ujenzi wa minara 700 sehemu ambazo hakuna mawasiliano.

Vijiji asilimia 99 havina 4G wala 3G bado wako Edge
 
Kupangiwa kazi vijijini kunapoteza ndoto za wengi katika hali tofauti tofauti

Masista duu wengi hasa walimu waliokuwa wanawaza kuolewa na washikaji zao wa Dar wenye vibunda, kila wakihangaikia uhamisho serikali inabana umri unaenda wameishia kuolewa na walimu wenzao au wakulima wa vijijini.
Nimekaa Kijijini kwa Miaka 2 ila hakuna cha maana nilichofanya, maaana watu ni wale wale, vitu ni vile vile.
Kila kitu kibaya kuanzia maji ya kuogea hadi chakula

Mtu anayesema kijijini kuna fursa za kulima hajui wanavyopitia tabu
 
Eee nshawahi kuwa mwalimu bana sisee hapakuwa mbali na mjini ila vimbi kha!

Ukisikia mtu ni mwalimu mpe heshima zake mimi yalinishinda.

Sijui mnanielewa ama? Ati wanafunzi wakifunga mimi nibaki maeneo ya shule yaani siwezi kwenda nyumbani kama sina likizo ati nibaki nareport shulen kila siku [emoji1787]

Kubwa kuliko yote nikibaki shulen kumbuka wanafunzi wako likizo shulen nakutana na mbuzi ndo zinakuwa zinazunguka viwanjani nyieeee!

Kuandaa sijui assessment sijui ya mwaka sijui nini dah!
Kunifanyia eti kukaguzi wa kustukiza tena niko darasani, siku hiyo nilimuacha darasani nikawaaga wanafunzi nikawaambia sijiskii vizuri.

Bado kufika kazini ikishafika saa 7:30 kitabu cha kusaini kusharudishwa kwa HM

Vumbi la barabarani nikiwa naenda kazini nyieeee!

Wachawi kulala wananiniga usiku!

Niliandika barua ya kwenda masomoni na ndo ukawa mwisho wa ualimu.

Nyie heshimuni watumishi walioko vijiji hasa walimu dah.
Vijiji asilimia 99 havina barabara

Vijiji asilimia 99 maji ya shida

Vijiji asilimia 99 hospital ni tatizo
 
Nimekaa Kijijini kwa Miaka 2 ila hakuna cha maana nilichofanya, maaana watu ni wale wale, vitu ni vile vile.
Kila kitu kibaya kuanzia maji ya kuogea hadi chakula

Mtu anayesema kijijini kuna fursa za kulima hajui wanavyopitia tabu
Kuna baadhi ya vijiji hapa Tanzania unaweza kufanya jambo
 
Back
Top Bottom