BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Ukaenda zako kujiajir.Nilikuwa nimevamia fan uwalimu ni wito. Mimi niliacha. Kama mkeo ana wito mwache afundishe. Unataka utumie nguvu ya pesa kivipi? Abadilishiwe kituo? Kama ni hilo sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukaenda zako kujiajir.Nilikuwa nimevamia fan uwalimu ni wito. Mimi niliacha. Kama mkeo ana wito mwache afundishe. Unataka utumie nguvu ya pesa kivipi? Abadilishiwe kituo? Kama ni hilo sawa.
KambaMkuu kuna vijiji upatikanaji wa kila kitu ni mgumu mfano maji,huduma za fedha,chakula, na kadhalika.
Hali hiyo ndio huwa fursa kwa wenye akili za kujiongeza.
Ukiwa ni mtumishi uliyepangwa kijiji cha aina hiyo na ukalalamika maisha magumu nitakushangaaa!.
Mwaka 2012 nilipangwa kazi kijijini yaani ni kijiji chenye changamoto za kila aina -:
1.Hakuna duka linalouza unga wala mchele.
2. Hakuna huduma ya mgahawa ,badala yake kuna vilabu vya ULABU tu!
3.Hakuna huduma za kifedha zote
4. Mshahara ukiingia Watumishi wa sekta fulani mnajichanga mnampa mwenzenu kadi akawatolee pesa.
5. Hakuna maji kabisaaaa hasa msimu wa kiangazi maji pekee yaliyokuwa yakipatikana ni maji ya MVUA!
5. Hakukuwa na maduka wala magenge hata ya kuuza nyanya!
6.Hakukuwa na migahawa wala Mama na Baba lishe
7. Mboga pekee salama ya kula ni kununua kuku na kuchinja tofauti na hapo utakula chakula bila mboga !
SASA MSWAHILI MIYE NIKASOMA MAZINGIRA NIANZE NA MRADI GANI.? Maana FURSA NI NYINGI NA WALIOPO HAWAZIONI!
Watumishi walikua wakipangwa mahala hapo walikuwa ama wanahama fasta na wengine huamua kuacha kazi kabisaaa.
MRADI WA KWANZA UKAWA KISIMA CHA KIENYEJI CHA MAJI NIKAWEKA WEKA PAMPU NIKAFUNGA BOMBA NA KUANZA KUUZA MAJI.
MRADI WA 2. DUKA
Huduma ya pesa.
Mahitaji yote muhimu
Mbogamboga na nyama .
Kiukweli namshukuru MUUMBA niliweza kuanzisha miradi mingi kidogo kidogo na hatimae nikawa na miradi mikubwa ya biashara, kilimo na kadhalika .
Na bado ninaishi huku na maisha ni murua kabisaa sikumbuki ni lini mara ya mwisho kutumia mshahara wangu kwa kununua chakula mavazi na mambo madogomadogo.
KIUKWELI,
KUISHI VIJIJINI NIFURSA !
SHARTI KUU "USIFANANE NAO"!
Acha aka report mkuu walau mwaka kupata barua ya uthubitisho Cheti Cha ndoa Kiko???????? Unaweza piganisha unaumwa unahitaji support yake now huduma inafanyika onlineChief hivi nikiweka 5 million siwez fanikisha uhamisho wa wife.. ndo kwanza amepangiwa huko kijijini.. ila nataka nitumie nguvu ya pesa nimrudishe nilipo.. japo sio jijiji ila kwenye halmashauri ya mji
Nilikuwa namjibu mkazi wa Momba ccChazaUmeelewa point yangu bro.
Nyie wakina nani?
Soma Tena we kada wa CCM.
#YNWA
Huyo Covax na mleta mada wanabisha siyo Ili waelimike bali for the sake of it,Acha uongo mateso gani? Maisha ya Kijijini ni mateso tuu ikiwa uko Vijiji ambavyo fursa ni chache na hasa vyenye Hali ya ukame ukame
Acha uongo broKwani wanaka kwa miaka mingapi au miezi tu? Wewe unajilinganisha na watu wanao lipwa mshahara na allowance inao zidi kipato chote cha kijiji wewe unaota, kijijini ni nusu jahanamu unaishi kama mnyama wakufuga.
Nipo tu mitaani🤣Ukaenda zako kujiajir.
Shida ilikuwa nyumba ?Asilimia 90 ya mabwana shamba/Mifugo wanaishi Mijini Sasa mwaka ujao wa Fedha Serikali imesema inaenda kujenga nyumba 4,000 Ili wajae huko huko kwenye kata zao na kumbuka wanariooti Kwa Mtendaji Kata so hatua Kwa hatua wowote wataishi Vijijini
Huko sijii hata kwasababu gani sijiiii...Njoo uishi huku
Watu wanakula maisha
tu
Siwezi ng'oka MOMBA DC
[emoji16]
Duu pengine ni motisha ya kazi but pia Serikali Iko kwenye mkakati wa kuanzisha irrigation schemes huko Vijijini xinahitaji usimamizi wa karibu wa watu ambao wako site mda wote sio wanaokaa mjini Hadi wapigiwe simu Waseme hawana usafiri nkShida ilikuwa nyumba ?
Kama kuna shida na ajira na leo ukitangaza nafasi ya Mabwana Shamba watakuja lukuki kuomba au kama watu ambao wapo vijijini wanaweza kupata crash course; kwanini tusubiri kodi zetu ziende kufanya vitu ambavyo huenda mwisho wa siku ni miradi ya watu....
Okay huyu Bwana apange nyumba ya Serikali ambayo atakuja mtu kesho au keshokutwa aseme ku-manage nyumba ni gharama hivyo ziuzwe...., Kwanini hawa watu wasiende leo kwani kwenye mishahara yao hakuna house allowance !????
Mbona uli survive siku zote hizo ulizonunua mazao? Uliishije? Acha kutosha watu broo.Huko sijii hata kwasababu gani sijiiii...
Nilikujaga kununua ufuta 2020
Kikajiuliza, ambapo na wewe nakuuliza....
"Hivi watumishi wa huko bondeni nilikonunua ufuta (Chitete, Chilulumo, Mkulwe, Mpapa na Hadi kule chinii kwenye mpunga mwingii) HAYO MAISHA WANAKULA WAPI?""
Ukiajiriwa sehemu kama hizo we ujue CONNECTION YA DUNIA HUNAAAA, Kazi yako itakuwa ni kulima, kufuga huna fursa nyengine.
#YNWA
Acha uongo labda huko kwenu ukereweTena ukiwa tofauti nao kimtazamo na wakiona una akili za maendeleo, hapo kila rangi hutoacha kuiona.
Halmashauri za Vijijini ndio Halmashauri gani? Sema kuishi Vijijini sometimes ndio mtihani lakini Ukiwa Wilayani Kuna shida gani Huduma zote zipo..
Sasa huyo ndio raha anaenda Kwa boss wake ampangie zahanati ya jirani harafu itakuwa maxima maana hiyo Hadi ije kuishi ni mwaka wa Fedha Mwingine Ajira Mpya wengine ndio wataanza nayo 🤪🤪Kuna jamaa kapangiwa kakuta zahanati ipo kwenye lenta hakuna maji hakuna umeme.
Kada kwenye ubora wako.Mbona uli survive siku zote hizo ulizonunua mazao? Uliishije? Acha kutosha watu broo.
Harafu Kwa Sasa mambo yamebadikika sana ,ulikuja wakati Samia sio Rais Toka ameingia amejaza pesa nyingi sana kwenye Barabara za Vijijini,maji Vijiji,Huduma za Afya ,umeme nk kiasi kwamba mabadiliko ni makubwa sana kama ukienda Leo.
[emoji1787][emoji1787] kiatu Cha udongo u nailed it.Kuna mwanetu alipangiwa kufundisha sekondari huko ndani ndani alienda kuripoti halmashauri wakaaanza kupelekwa na landcruiser kila mtu shule anayoenda kufika kwake wanamshusha kwamba wew utafundisha hapa mwamba aligoma kushuka kwenye gari baada ya siku 3 akarudi kitaa kwa Sasa anajiendeshea tipa la mchanga,,vijijini kusikieni tu wajomba
Umeshawah kwenda huko kweli au unaropoka tu hapa!Kijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).
Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.
Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.
Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.
In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
Fasta unakuwa tajiri!! asikudanganye mtu mkuu, kijijini paskie tuuuuNi ujinga tuu unakusumbua,Cha maana ulichofanya hapo mjini ni kipi? Kwa kuwa unaunga unga ndio maana uliomba kazi ya chini ya 800k Kwa mwezi.
Sasa wenye akili wanataka wapangiwe Vijijini maana ni fasta unakuwa Tajiri..
Harafu mlivyo mbumbumbu mnadhani Vijiji vya Leo ni sawa na vya zamani,Kwa taarifa yenu Vijijini karibu vyote vina umeme,Barabara na issue ya Maji Ruwasa wako kazini..
Ukiniuliza Mimi Vijiji vigumu labda ni vile ambavyo Kilimo,uvuvi na ufugaji havifanyiki..vyenye Hali ya ukame
Kote huko nakufahamu Mimi ni WA huko na mzazi wangu alikuwa Mwalimu hizo Wilaya amehanishwa sana hata kabla Momba haijazaliwa..Hii kauli yako UMEITHIBITISHA?
Umefika Momba, Ileje na Tanganyika?
1. Momba huduma zao za financial na social wanazipatia Vwawa na Tunduma
2. Ileje wao ni Mpemba au Tunduma.
Hebu fanya research ndio uje kuongea.
#YNWA