Kupangiwa muda wa kula ni utumwa

Kupangiwa muda wa kula ni utumwa

Utumwa ni hali ya kutumikishwa na kunyang'anywa hiari yako.

Utumwa mbaya ni ule wa kifikra, ambapo mtu mmoja au kundi la watu linawaburuza kiasi watacho.

Kupangiwa muda wa kula iwe kazini kwako au popote pale huo ni utumwa.

Jikwamue na utafute uhuru wako wa mwili na fikra.
sio utumwa ni utaratibu tu, au ndio utamaduni, mila na desturi ya familia au Taasisi hiyo 🐒

na hata wew mwenyewe ni Lazima ujiwekee utaratibu wa kula, kunywa kulala, kuamka, kufanya ibada na Maombi, kupangilia vema makazi, mavazi, malazi na malezi ya familia yako nakadhalika, nakadhalika 🐒

utaratibu wa zigzaga bila mpangilio ni kujiyumbisha mwenyewe, familia na labda Taasisi yako🐒
 
Yeah
 
Wale ninaowatumikisha nimewawekea taratibu zangu. Hivyo ni watumwa wangu. Kwakuwa wananitumikia mimi.
 
Back
Top Bottom