Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Alichokutana nacho Paskali ni zaidi ya alichokutana nacho Sauli na kubadilika kuwa Paulo.
Tamko analoliunga mkono ni sawa na kusema maadui watatu wa taifa UJINGA, UMASKINI NA MARADHI, vitadumu milele yote.
 
Ninaamini CCM Itazeeka. Itaishi umri wa mtu na itazeeka na kufa sijajajua kama itaishi ule umri wa agano la kale kama alivoishi Nuhu au agano jipya but lazima hayo yatokee because it contains the seed of its own destruction.
 
Inanikumbusha mbali sana kuhusu hawa viongozi
1. Gaddaf
2. Hosin Mubarak
3. Saadam Hussein
4. Idd Amin
5. Bokassa
6. Aldof Hitler
Hawa wote na vyama vyao hawakuwahi kujua kuwa kuna siku watatoka madarakani na vyama vyao kuwa dhaifu au kupotea kabisa katika uso wa Dunia lakini leo hii hawapo kabisa wengine wakiwa wameuawa na kufa vifo vya fedheha kabisa.

Hivyo katika siasa za dunia hii si vema sana kujiapiza kuwa chama fulani kinaweza kutawala milele kwani mabadiliko yanaweza tokea na kuleta hali hisiyotarajiwa kabisa kwa chama hicho.
 
Ingekuwa jambo la busara kama Dr Magu angelitumia uDokta wake kwa kanzisha jambo jipya la mikutano ya kujamiana kwa wafungwa,ili kuepusha Tanzania kuwa jamii ya Kulawitiana na kusagana.
Wapelekewe sabuni za ruzuku ili wapige punyeto,mbona umekomalia kuwa wapelekewe mahawara?!,sabuni zitaepusha hayo mambo unayoyasema,mbona huna mawazo mbadala.
 
Wakati ndo unasema CCM utatawala milele, maana ikikaribia kuchoka hujivua gamba na kuanza upya,
CCM ya nyerere siyo CCM ya Mwinyi, wala siyo ya Mkapa ama Kikwete , ndo hivo hivo CCM ya Magufuli ni tofauti n.a. CCM ya Makonda, aaa nimeteleza ya Hussein Mwinyi au makamba

Na hii uangalia wananchi wanataka nini kwa wakati huo, pia CCM ina nguvu ya kumwajibisha yeyote ata kama ni rais au kama ana cheo chochote akienda kinyume, refer Samwel Sitta 2009 R.I.P

Refer Lowassa 2015, mungu ampe nguvu,

Naona dalili hizo kwa mkemia ambaye hashauriki,

Kuputia mlolongo uo, vyama Pinzani kama CuF, TLP NA NCCR vilikufa, sasa bado zamu ya CHADEMA kufa hapo 2020
 
Utasubiri sana, kwa sababu CCM itatawala milele!
P
Wajameni, haya ya CCM kutawala milele, sii yangu, yamezungumzwa, na nilichofanya mimi ni kuyarudia tuu.
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums

Sawa Mkuu Pascal Mayalla,nawe utaishi Milele wala usijali.
Watatoka tu siku yao yaja! Iko wapi KANU ya Moi? Kiko wapi kile chama cha Kaunda? yuko wapi Mugabe wa Zimbabwe? Nasema watatoka tu! Ukiona giza linazidi jua kunakaribia kupambazuka!

210728"]VP MBONA UNAJITOA UFAHAMU HVYO.GADAFI SADAM MABUTO MUGAMBE WOTE WALIKUWA ZAID YA HAYO[/QUOTE]
Watatoka tu siku yao yaja! Iko wapi KANU ya Moi? Kiko wapi kile chama cha Kaunda? yuko wapi Mugabe wa Zimbabwe? Nasema watatoka tu! Ukiona giza linazidi jua kunakaribia kupambazuka!
Sawa Mkuu Pascal Mayalla,nawe utaishi Milele wala usijali.
Sawa Mkuu Pascal Mayalla,nawe utaishi Milele wala usijali.
VP MBONA UNAJITOA UFAHAMU HVYO.GADAFI SADAM MABUTO MUGAMBE WOTE WALIKUWA ZAID YA HAYO
Watatoka tu siku yao yaja! Iko wapi KANU ya Moi? Kiko wapi kile chama cha Kaunda? yuko wapi Mugabe wa Zimbabwe? Nasema watatoka tube! Ukiona giza linazidi jua kunakaribia kupambazuka!
Ninaamini hata maana ya hilo neno milele huijui, na ndio maana umelitumia katika njia hii.
Huwezi hata kumliwaza mwenzio
Pasco mtatawala milele kimwili lakini mioyoni tuko huru. Milele ni mpaka lini ?! .
HAKIKA KUFA MTAKUFA TU. Bora kutendeana haki
Write your reply...paschal mayalla ..wewe ni shetan kama ccm wenzako yaaan unasifia mambo ya Giza? ulaaniwe kabisa NA kizazi chako chote..
Kwa tafsiri nyingine ni kwamba watanzania wataendelea kuwa wajinga milele. Hili ni tusi kabisa.

Sawa Mkuu Pascal Mayalla,nawe utaishi Milele wala usijali.
VP MBONA UNAJITOA UFAHAMU HVYO.GADAFI SADAM MABUTO MUGAMBE WOTE WALIKUWA ZAID YA HAYO
Watatoka tu siku yao yaja! Iko wapi KANU ya Moi? Kiko wapi kile chama cha Kaunda? yuko wapi Mugabe wa Zimbabwe? Nasema watatoka tu! Ukiona giza linazidi jua kunakaribia kupambazuka!
Ninaamini hata maana ya hilo neno milele huijui, na ndio maana umelitumia katika njia hii.
Huwezi hata kumliwaza mwenzio
Pasco mtatawala milele kimwili lakini mioyoni tuko huru. Milele ni mpaka lini ?! .
HAKIKA KUFA MTAKUFA TU. Bora kutendeana haki
Write your reply...paschal mayalla ..wewe ni shetan kama ccm wenzako yaaan unasifia mambo ya Giza? ulaaniwe kabisa NA kizazi chako chote..
Kwa tafsiri nyingine ni kwamba watanzania wataendelea kuwa wajinga milele. Hili ni tusi kabisa.
Nakutaarifu kwa mara nyingine ccm mwisho kutawala tanzania ni 2020.mambo mengi yatatokea from end of 2019 mpaka wakati wa uchaaguzi stay tuned .tunahitaji tume huru tu ili tuchukue nchi na tutaipata before 2020 election
Hili la CCM kutawala milele sii langu, naona watu mnanishambulia mimi.
P.
 
Huu ndio uchambuzi wa kisiasa tunaoutaka kwa sasa. Siyo akina Salary Slip kila kukicha wao ni kulia lia tu. Siasa za akina Salary Slip zimepitwa na wakati.

Sasa hebu na mimi nijikite kuongelea ka neno kamoja tu "Milele". Maana humu ndani badala ya kujichimbia kuichambua hii mada fikirishi wengi wetu wanadonoa donoa.

Milele ni lugha ya picha inayoonesha kuwa kitu fulani kitadumu sana. Kudumu kwake ni kwamba kizazi chote kinachojua na kitakachojua kuhusu CCM kitatoweka katika uso wa dunia. Huenda labda sera za dunia kubadilika na kuja siasa za namna nyingine.

Hata tunaposema milele kuwa ni internal life, inabaki kuwa lugha ya picha kwa akili za kibinadamu. Hapa ninamaanisha kuwa, baada ya mtu kufa utashi, maarifa na kumbukumbu hupotea. Na suala la maisha ya milele linakuwa halina matiki yoyote kwa sababu mtu huyo aliye kufa hana kumbukumbu na past yake.

Kwa maana hiyo sasa neno milele ni lugha ya picha kuonesha kwamba kizazi cha sasa na kijacho kitasikia utawala wa CCM na kuuishi. Yaani sisi sote tulio hai hivi leo mpaka tutakapotoweka. Yaani mpaka mtu wa mwisho anayejua kuhusu CCM atakapotoweka.

Kwa mantiki nyingine ni kwamba ASP na TANU zinaishi. Yaani vyama hivi vitaendelea kuishi mpaka Taifa la Tanzania litakapopotea. Hii ndiyo maana halisi ya milele.

Ninaweza nikatoa mfano. Augustus mtawala wa kwanza wa Roman Empire. Alijiita yeye ni wa milele.
Ni kweli miaka na miaka imepita Augustus anaishi. Tunatumia calendar yake. Huwezi ukataja miezi katika mwaka ukaruka mwezi wa August. Jina la Octavian linaendelea kudumu. Jina hilo ni la baba yake mzazi.
Wanamziki wanajua kuhusu Octave key. Kwa hiyo kila mpiga kinanda popote alipo akigusa Octave key, amegusa Octavian.

Hayo machache kuhusu milele yanatosha.
 
Joka jeusi, nimekuleta hapa, unisome kama utanielewa.
P.
 
Kwa Tume ya uchaguzi isiyo kuwa huru na chaguzi zisizo fanyika kwa Uhuru na Kuto tendewa Haki CCM ni Mbele kwa mbele yaani Milele daima
 
Mugabe pia alikuwa na ndoto kama hizi za CCM..lakini jeshi lilikataa.

Ni mambo ya muda tu,ata aliyemsaliti Yesu alikuwa ni mfuasi wake wa karibu (Yuda).
 
Mkuu Too Sweet, kwanza asante kwa kuwa bold, truthfully na very objective katika kuusema ukweli na ukosoaji very genuine, honest na truthfully.
Watanzania wengi tukiwemo sisi jf, hatuna tabia ya kujishughulisha kusoma. Hili la umilele wa CCM nimelifafanua vizuri hapa
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums

Hujafanya kosa lolote, tena in fact nimefurahi sana kwani ni watu wachache sana humu wana level yako ya uelewa, na haswa uliposema maneno haya "Serikali nyingi au zote za Afrika zinaogopa sana criticism ya waandishi wa habari. Hiyo ni dalili ya udhaifu. With all due respect sishangai ukiegamia upande unaouegamia kwa kuwa inakupa usalama. Hatukosoi kwa kuwa tunawachukia tunaowakosoa, tunataka wakae kwenye mstari".

Japo mimi ni mtu wa media, ila media yetu naijua
Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo? - JamiiForums

Mimi pia ni Mtanzania, mkweli na muwazi, na siku zote huwa naweka msimamo wangu wazi, nimesimama wapi na ninasimamia nini
Tuko Vitani Tuna Wapiganaji Shupavu, Wapiganaji Makini na Watazamaji, Je! Wewe Uko Kundi Gani ? - JamiiForums

Pia nimetoa angalizo la the real situation Tanzania tuliopo
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! - JamiiForums
Asante tena na asante kunikumbusha Neville.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…