Kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022

Kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022

zuujacob

Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
14
Reaction score
10
Wadau nahitaji kupata Passport haraka kabla ya Januari 2022, mwenye uzoefu na hili anisaidie.

Shukran wakubwa
 
Peleka documents zote muhimu halafu ongea vizuri na afisa atakaedili na wewe wakati unasubmit documents zako atakupa msaada zaidi.
 
Kama huna hela ya kutosha huwezi kuipata bila at least wiki 3-4.
Kama una pesa chapchap mpaka Xmass utakua unayo
Sasa hivi nasikia rushwa inaombwa wazi wazi kule mahala. Hakuna hofu wala salia mtume tena. Magufuli pumzika kwa amani.
 
Akili kisoda ...huyo unaye mtaja ndio aliwaambia polisi wachukue ya kubrashia viatu ...unadhani Ni nini hiyo kauli alimaanisha...Punguza kuabudu Maiti...
Acha upumbavu wako wa kukariri matukio. Nisikuone mbweha mfu.
 
Kama huna hela ya kutosha huwezi kuipata bila at least wiki 3-4.
Kama una pesa chapchap mpaka Xmass utakua una
Ukiwa na ushahidi wa uharaka wa safarii yako ndani ya siku 2 unapata.Bila hata kutoa chochote.
 
Back
Top Bottom