kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,800
Du!hatareenyumba ina ukubwa gani? hata hivyo andaa fedha za mbao treated timber kama 3.5m na bati 5m na ufundi 3m, kama hujapata fundi ni PM nije nicheki site then tutaongea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du!hatareenyumba ina ukubwa gani? hata hivyo andaa fedha za mbao treated timber kama 3.5m na bati 5m na ufundi 3m, kama hujapata fundi ni PM nije nicheki site then tutaongea.
Ikifikia madirsha ya aluminium nishtue sim no +255 654 069 041 npo dar es salaam
mkuu Super Sub Steve inategemea na ukubwa wa nyumba, ungeweka walau vipimo vya nyumba wakuu wangetiririka hapa jukwaani.5m kupaua Nyumba ya vyumba vitatu sitting,dining public toilet inaweza tosha,bati,fundi na mbao? Eneo ni Kibamba
mimi nimepaua nyumba ya bat zile zenye muundo wa vigae bat imenicost 6m mbao imenicost 4m fund 1.5mAsalam Ailekum wandugu,
Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Natanguliza Asante.
--------------------
mimi nimepaua nyumba ya bat zile zenye muundo wa vigae bat imenicost 6m mbao imenicost 4m fund 1.5m
nimepaua mwaka jana mwanzon nyumba ipo kigambon
nb: bat na mbao nilinunua kwa kuwekeza ndan ya miez sita kuna maduka yana kubal kuwekeza
Bati za aina gani? By the way niseme tu sidhani kama inaweza tosha maana mbao pekee hapo tenga about 3m na fundi about 1m. Hizo ni minimum estimates.5m kupaua Nyumba ya vyumba vitatu sitting,dining public toilet inaweza tosha,bati,fundi na mbao? Eneo ni Kibamba
hio imekula mabati mingongo mipana 90,mbao za 2 by 3 ni 130,mbao za 2 by 4 ni 50![]()
kila kitu pamoja na ufundi imetrmbea kama 4M
Mkuu ukubwa Wa nyumba ni mita zaraba ngapi??
Mkuu @Jephat2003 samahani,nyumba yako ina ukubwa gani&vyumba vingapi!hujakosea kweli hesabu zako?4mill pamoja na fundi kupaua nyumba kwa bati za migongo mipana aisee dah,mbona ndogo sana kaka.hio imekula mabati mingongo mipana 90,mbao za 2 by 3 ni 130,mbao za 2 by 4 ni 50![]()
kila kitu pamoja na ufundi imetrmbea kama 4M
Hata mimi nimeshangaa,nimepau nyumba ndogo ya 2-bedroom kwa bati 70 za kawaida kabisa na gharama zimekaribia 4m.Mkuu @Jephat2003 samahani,nyumba yako ina ukubwa gani&vyumba vingapi!hujakosea kweli hesabu zako?4mill pamoja na fundi kupaua nyumba kwa bati za migongo mipana aisee dah,mbona ndogo sana kaka.
Khs Bati wewe jiendee tu ALAF ndiyo mwisho wa mchezo.mkuu kama hutojali
Bati ya aina gani na kutoka kampuni gani?
Ahsante mkuuKhs Bati wewe jiendee tu ALAF ndiyo mwisho wa mchezo.
Hata mimi nimeshangaa,nimepau nyumba ndogo ya 2-bedroom kwa bati 70 za kawaida kabisa na gharama zimekaribia 4m.
Correction: gharama zangu zilikaribia 3m,yaani 2.8m tu. Kwahio labda jamaa yuko sahihi.