Kwa bati nzuri na vigae nenda ando, maana ndio wanaouza bati kwa bei ya kutupwa
mkuu abd-rashid-nkando unaweza kutusaidia anuani za ando ( mahali ilipo ofisi na namba ya simu )?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bati nzuri na vigae nenda ando, maana ndio wanaouza bati kwa bei ya kutupwa
mkuu abd-rashid-nkando unaweza kutusaidia anuani za ando ( mahali ilipo ofisi na namba ya simu )?
Mobile: +255754306445 / 0767909271.
HEAD OFFICE: Wazo hill Industrial Area,Dar es salaam.
-website: www.ando.co.tz
-Instagram: andoroofingproducts
-Email: info@ando.co.tz
hongera sana mkuu,,kina ukibwa gani kibanda chako...unaweza kutupa mdadavuo kwa faida ya sisi wengine?mie nna jenga kibanda cha 8kwa 14 na makadirio ni 7m kupaua..Kweli kupaua si mchezo, kibanda changu kimekula aound 10m, kwa gharama za mbao, mabati, ufundi na misumari.
Mkuu, mbao zimecost around 4m(2 x2, 4 x2, plus fisherboard), mabati around 4m na ufundi ni 1.5m, nyumba ni 14m by 12m yenye kona za kutoshahongera sana mkuu,,kina ukibwa gani kibanda chako...unaweza kutupa mdadavuo kwa faida ya sisi wengine?mie nna jenga kibanda cha 8kwa 14 na makadirio ni 7m kupaua..
Dah kweli mkuu katika ujenzi wangu wote hakuna kitu kiliniumiza kama kupaua hela ilitembea aisee kichwa hadi namaliza nilijiona nimetua mzigo mzito sanaKweli kupaua si mchezo, kibanda changu kimekula aound 10m, kwa gharama za mbao, mabati, ufundi na misumari.
Hiyo 7m inategemea utatumia mbao gani na bati za aina gani pia fundi wa kiwango gani. Inaweza kutosha ama isitoshehongera sana mkuu,,kina ukibwa gani kibanda chako...unaweza kutupa mdadavuo kwa faida ya sisi wengine?mie nna jenga kibanda cha 8kwa 14 na makadirio ni 7m kupaua..
mkuu kama hutojaliMkuu, mbao zimecost around 4m(2 x2, 4 x2, plus fisherboard), mabati around 4m na ufundi ni 1.5m, nyumba ni 14m by 12m yenye kona za kutosha
Bati za jeshini mkuu ( from India) za migongo mipana.mkuu kama hutojali
Bati ya aina gani na kutoka kampuni gani?
shukrani mkuu,Bati za jeshini mkuu ( from India) za migongo mipana.
Zinakatwa mkuu, mi nimetumia Bati 124 kwa ajili ya Bati pamoja na kofia za kukunja, valley 20 nilinunua separateshukrani mkuu,
Banda langu la 15*12 kona zipo fundi kanambia zitaingia bati 120
na vp bati za jeshini wanakata vipande kweli,maana kona hizi
Wakuu nawasalimu,
Mimi ninanajenga na nimefikia hatua ya linter, na kwa ujumla nyumba yangu INA SqM 294 , je kwa makadirio ya haraka haraka ninaweza kutumia Mbao kiasi gani ( au gharama yake itafikia sh. Ngapi ?) Na mabati mangapi ya IT na yata gharimu kiasi gani?