Amani iwe kwako.
Mbao za 2×4 PC 130 @ft 980 kila ubao tuseme una irefu wa ft.18 kwa hiyo 18×115×980=2,028,600/=
Mbao za 2×2 PC 95 @ft 500 ubao wenye ft 18 inakuwa hivi;
18×85×500=765,000/=
Mbao za 1×10 PC 16×22,000=352,000/=
Jumla kuu ni Tshs. 3,145,600/=
Pesa ya fundi Kupaua kwa mafundi wetu hawa local andaa 1,500,000/=
Kwenye swala la bati nakadiria squire m.270@10,000=2,700,000/= IT 5 bei ya kiwandani.
Nakutakia maandalizi mema Mkuu.
13550=13.55mChief, tafadhali naomba makadirio nyumba yangu ni 13,550mm urefu kwa 10,025mm upana.
13550=13.55m
10025=10.025m
13.55m×10.025m=135.83875~flow area
~135.8m^2×1.5m=203.7m~roofing area
Sas hap utagawanya Kwa upana wa bati baada ya overlap(kuvaana) kam bati inaupan wa 90cm bas hiyo inakuwa 84cm,,,,,
Kwaiyo unachukua r/m yak uliyo ipata 203.7m ÷0.84m=242.5m lakin inaweza kuwa +/-
Hivyo 242.5 m utazidisha na bei ya hiyo bati Kwa bat z rangi tena za ANDO g28 imesimama 12000 Kwa mita moja, hivyo utaona 242.5×12000=2910000
Mi nimemaliza juzi juzi kupaua. Mabati 3.2m, mbao 2m na,Fundi ni kama 1.4m, vyumba vitatu vikubwa sana! Viwili ni master,sebule,jiko na stoo na ni Nyumba yenye coridor ndefu. Fundi na wasaidizi wake walimaliza kazi nda ni ya siku tano na nilisimamia mwenyewe.
Nashangaa watu wanaleta mabei makuubwaaa hapa ya kifisadi,acheni kutisha watu.
kwa kuanza msingi wa nyumba unafanyaje je naweza kutumia matofali ya kuchoma kuwa msingi wa kuanzia au nitumie matofali ya aina gani kwani nataka kuanza name eneo ni tambarare ni 15x18mMkuu umetumia aina gani za bati? Maana zipo za kawaida na zile za migongo mipana, na za kiwanda gani, vipi bei ya kofia, na misumali yake, je hizo bati sh ngapi kwa mita
kwa kuanza msingi wa nyumba unafanyaje je naweza kutumia matofali ya kuchoma kuwa msingi wa kuanzia au nitumie matofali ya aina gani kwani nataka kuanza name eneo ni tambarare ni 15x18m
ni nyumba ya bedroom2, masterbedroom, lounce, kitchen, stoo, vyoo2 na koridor la kiasi nipe wastani wa vifaa kwa kuanzia msingi wa nyumba mkuu
Hongera hiyo nyumba ni kubwa.kwa kuanza msingi wa nyumba unafanyaje je naweza kutumia matofali ya kuchoma kuwa msingi wa kuanzia au nitumie matofali ya aina gani kwani nataka kuanza name eneo ni tambarare ni 15x18m
ni nyumba ya bedroom2, masterbedroom, lounce, kitchen, stoo, vyoo2 na koridor la kiasi nipe wastani wa vifaa kwa kuanzia msingi wa nyumba mkuu
Ni kweli kabisaUjenzi unahitaji moyo wa uvumilivu na kujitoa. Kwa wote mlio kwenye ujenzi Mungu awatangulie mmalize salama. Maana hata resources zimekaba kipindi hiki.
Aisee......post kama hizi zinatia moyo hata kama. Kuna minor discrepancies lakini ur almost there... Asante mkuu kwa mchango wako murua.Mi nimemaliza juzi juzi kupaua. Mabati 3.2m, mbao 2m na,Fundi ni kama 1.4m, vyumba vitatu vikubwa sana! Viwili ni master,sebule,jiko na stoo na ni Nyumba yenye coridor ndefu. Fundi na wasaidizi wake walimaliza kazi nda ni ya siku tano na nilisimamia mwenyewe.
Nashangaa watu wanaleta mabei makuubwaaa hapa ya kifisadi,acheni kutisha watu.
yaani kashamuibia kwanzia hapa sasa sijui huko site kama hatomteka,
Umetisha,
Hata ukubwa wa nyumba hujaufahamu/hajakupa umetaja bei. Unamaanisha nyumba yenye 100sqm itagharimu sawa na nyumba yenye 250sqm? Vipi kuhusu aina ya mabati anayotaka kutumia - bei yako inakuwa sawa kwa mabati ya aina zote?
Anyway: Mimi pia nipo nahitaji gharama za kuezeka nyumba iliyopo Makongo (DSM) yenye sqm 200. siyo ya ghorofa, bati za wanazotengeneza ALAF (za rangi).
Hiyo bei bado ni kubwa sana.Aisee......post kama hizi zinatia moyo hata kama. Kuna minor discrepancies lakini ur almost there... Asante mkuu kwa mchango wako murua.