Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Habari wa jf. Kwa wale mafundi naomba makadilio ya kupaua kajumba cha urefu wa 23ft = 7meters na upana wa 22ft = 6.7meters mtindo wa paa nne.
 
nyumba ina ukubwa gani? hata hivyo andaa fedha za mbao treated timber kama 3.5m na bati 5m na ufundi 3m, kama hujapata fundi ni PM nije nicheki site then tutaongea.
Pesa zote hizo akukabidhi wewe ukanunue vifaa ?MMMMNH!
 
mkuu uko sahihi ila wanatia hasara mfano nina bati 14 zimebaki ukizidisha mara 36,000/= unaweza kuona hii hela ililala hapo ningeweza kufanyia jambo jingine na hiyo pia ni baada ya kutonunua bati 130 kama alivyotaka fundi mimi nikanunua 120.
Acheni tabia za kutumia mafundisho,umeshindwa nini kumpa professional QS 50,000 akupe estimates acceptable
 
Tabia za wabongo ni kukariri na kuiga,slope za rufu zinategemea mazingira sasa watu wanadhani ni fashion unashindwa hata kushangaa,watu hawapendi kuwa unique
 
Naomba kukuliza mgongo mdogo futi 10 ,geji 30 za rangi unauzaje kwa kampuni ya alafu na je kati ya hizo kampuni yupi ni mkali kwa aina hiyo ya Bati?????
 
watalaam habarini za asubuhi mi nauliza iv ktk uezekaji wa upauaji wa siku izi kuna ivi viurembo kama vipembe tatu napenda kujua vina itajwe yaan nyie wataalamu munaviitaje maana nataka nimuelekeze fundi wangu havijui
 
Vent.
 
Kitu kama kebo vimekaa hivi ^ unakuta vinawekwa ubavu wa nyumba?
 
watalaam habarini za asubuhi mi nauliza iv ktk uezekaji wa upauaji wa siku izi kuna ivi viurembo kama vipembe tatu napenda kujua vina itajwe yaan nyie wataalamu munaviitaje maana nataka nimuelekeze fundi wangu havijui
Kama hivi??
 
Kinachosumbua watzn wengi ni ushamba na kuigana,mtu anataka ajenge nyumba kama ya fulani,apaue kwa yeboyebo kwa kuinua paa etc hakuna ubunifu na uniqueness,flat roof zmeanza itafika mahali kila mtu atafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…