Dancani
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 796
- 403
Mkuu tatizo tunajadili hili swala juju sana wakati,ilitakiwa tuwe specific, mfano aina ya bati, bei kwa mita kama ni migongo mipana, jumla ya mita kwenye hiyo nyumba, bei ya kofia na idadi kwa nyumba nzima, bei ya misumali na idafi yake nk sio kama sasa wengi wanasema nimetumia sh 7.5M Au bati ni sh 2.9MWatu wanafikiri kupaua ni raisi, alafu wakitajiwa gharama za ufundi wanaona ni nyingi kana kwamba yule fundi ile kazi ataifanya peke yake.