Mkuu tatizo tunajadili hili swala juju sana wakati,ilitakiwa tuwe specific, mfano aina ya bati, bei kwa mita kama ni migongo mipana, jumla ya mita kwenye hiyo nyumba, bei ya kofia na idadi kwa nyumba nzima, bei ya misumali na idafi yake nk sio kama sasa wengi wanasema nimetumia sh 7.5M Au bati ni sh 2.9MWatu wanafikiri kupaua ni raisi, alafu wakitajiwa gharama za ufundi wanaona ni nyingi kana kwamba yule fundi ile kazi ataifanya peke yake.
Mkuu tatizo tunajadili hili swala juju sana wakati,ilitakiwa tuwe specific, mfano aina ya bati, bei kwa mita kama ni migongo mipana, jumla ya mita kwenye hiyo nyumba, bei ya kofia na idadi kwa nyumba nzima, bei ya misumali na idafi yake nk sio kama sasa wengi wanasema nimetumia sh 7.5M Au bati ni sh 2.9M
sawa mkuu je hizi ghalama ni kwa mkoa gani?Nilitafuta fundi kwa kuezeka akanipa makadirio ya around 8.1 million tukakubaliana akaanza kazi na gharama zilikuja hivi
Mbao treated za kupaua 2.8 M
Mabati ya maxcover 3.5 M
Kofia 360000
Misumari 140000
Ufundi 800000
Mbao zilibaki nyingi sana kiasi cha kutosha kupiga draft ndani vyumba vyote vitatu kwa hiyo kazi ya draft imebaki si kubwa .
Pamoja na gharama zote nilizotumia balance ilikuwa laki 4
Hivi mabati yanaanzia gauge ngapi?
Kwayeyote anae taka kuezekewa kisasa. namba yangu ya cm ni 0765 156528 na email ni kombaemmanuel42@gmail.com ukitaka picha nipe email yako nikutumie
Nilitafuta fundi kwa kuezeka akanipa makadirio ya around 8.1 million tukakubaliana akaanza kazi na gharama zilikuja hivi
Mbao treated za kupaua 2.8 M
Mabati ya maxcover 3.5 M
Kofia 360000
Misumari 140000
Ufundi 800000
Mbao zilibaki nyingi sana kiasi cha kutosha kupiga draft ndani vyumba vyote vitatu kwa hiyo kazi ya draft imebaki si kubwa .
Pamoja na gharama zote nilizotumia balance ilikuwa laki 4
Mkuu haopa unaonglea picha yako ama sample ya nyumba ulizoezeka? Naomba nitumie nami nipo kwenye mchakato wa awamu ya pili ktk hili email yangu ni nyati04@yahoo.com
Matunyengule. kwa vipimo vyako vya 7.2mt kwa 11mt. mbao ni 2kwa4=56, 2kwa36 na 1kwa8=15. bati za migogo mipana = 96, mabati ya kawaida =72. mabati yaliyo kama vigae =42
Makadirio haya ni paa la aina gani, na mbao za urefu gani?
32 g, 30g. 28g kwamtu wa kawaida 30g inafaa ukitumia mabati ya Simba dumu, nayale ya migongo mipana ni vizuri ukatanguriza raba kwenye kofia za misumari
Mkuu ufundi wa kuezeka tu mil 3? @zembemkuu
Mkuu hapa tunaelekezana sio kushindana, jenga hoja kwa nini ni 3M, sio kama ulivyojibukama hiyo ni kubwa sana kuna fundi mtalaamu wa kupaua nyumba za tembe bei nafuu sana
mkuu kuna kuanzia gauge 22,26,28,30,32 ndizo hizo
m.3 inawezekana ila inategemea ukubwa wa jengo. swali la msingi, nyumba ya bati ngapi?Mkuu hapa tunaelekezana sio kushindana, jenga hoja kwa nini ni 3M, sio kama ulivyojibu