Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Asalam Ailekum wandugu,

Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Natanguliza Asante.

--------------------
Wadau,

Hatua za ujenzi na gharama zake

1. Kujua kwa yakini ukubwa wa nyumba unayotaka kujenga na malengo yake;
2. Kusafisha kiwanja
3. Kupata Ramani ya nyumba kwa mahitaji na utashi wako
4. Kutafuta ushauri kutoka kwa mtalaamu wa udongo au fundi mbobezi wa ujenzi kuhusu aina ya msingi unaotakiwa kwa aina ya nyumba unayotaka kujenga;
5. Uthibitisho wa eneo unalotaka kujenga ni miliki yako ama kimila au kwa mjibu wa sheria za ardhi;
6. Tafuta uashi (mason) mwenye weledi wa kazi hiyo na mwaminifu;
7. Fanya mapatano ya gharama za kujenga msingi kuanzia kuchimba, kupanga mawe au tofali na kutandaza tofali
8. Pata idadi ya vifaa vinavyohitajika kukamilisha ujenzi wa msingi kama: mawe, tofali, mchanga, kokotoo, simenti, mbao za kukingia jamvi la zege, usafiri wa vifaa kwenda eneo la mradi(site) na maji,
9. Kokotoa gharama kamilifu ya vifaa ulivyofanyiwa tathimini na fundi kisha vinunue na kuweka stoo iliyo chini ya uangalizi wako mwenyewe
10. Gharama za kumlipa fundi ni asilimia 25% ya gharama za vifaa vyote. Kwa mfano kama gharama ya vifaa vyote vitavyowezesha kukamilisha ujenzi wa msingi ni shilingi 1,500,000/= malipo ya fundi yatakuwa ni shilingi 375,000/= gharama za fundi msaidizi na vibarua ni juu yake kasoro maji ambayo utalipa mwenyewe kwa anayetoa huduma hiyo. Hatua hizi zinafana na ujenzi wa boma hadi lenta (lintel), kupaua na umaliziaji (sakafu, rangi, dari. milango, madirisha, vifaa vya umeme na kuunganisha umeme, maji, miundo mbinu ya vyooni, bafuni nk);
11. Kumbuka ukianza ujenzi una hela ambazo hukuzifanyia mpango uliosahihi ukaishia kwenye kuweka kench ujue utapata hasara kubwa kuliko faida maana ubora wa mbao zilizotumika kupaua zikibaki wazi zikiangaziwa na jua na kunyeshewa mvua hazifai tena na kama hukuchukua tahadhari ukaja ukaanza kuezeka baada ya nusu mwaka nakuendelea hilo paa lina hatari ya kuporomoka.
12. Fanya ujenzi unaolingana na ukamilishaji wake kama huwezi kujenga dai mwisho mfululizo basi jenga kwa hatua hizi: Kusafisha, kuchimba na kujenga msingi-fungu la kwanza, kuinua boma na lenta-fungu la pili, kupaua na kuezeka bati-fungu la tatu, kuweka milango na madirisha-fungu la nne, kuweka waya za umeme na bomba za maji ndani ya nyumba-fungu la tano, kupiga lipu (plaster) na sakafu (floor)-fungu la sita, kuweka dari na kupaka rangi-fungu la saba. Ukizingatia haya utajenga bila presha ijapokuwa utachelewa kukamilisha. Usithubutu kuanza ujenzi wa nyumba kubwa ambayo hutakuwa na uwezo nayo kuikamilisha kama ulivyopanga itakufanya uchanganyikiwe hata kutamani kuiuza.

Huo ndio mchango wangu wadau kuhusiana na mada ya mdau.
 
Hebu wasiliana na kikundi cha UVIMO, ni wajenzi na wapauaji.

0753 961 896
0629 361 896
0753 927 572- Wasap

Chini ya UVIMO nasi tukupe makadirio yetu pamoja na ushauri.
 
Noma..Kuna mafundi Vimeo anakupa makadirio ya Chini ili ummpe kazi..ukiingia field jasho litakutoka
Huwa sio za chini in such ila ni nafuu zaidi kuliko mwingine,hardly kutofautiana zaidi ya 500k.

Mwisho wa siku hamalizi kazi sound nyingi na unakuja kutafuta fundi mwingine na gharama uko tatal inakuwa kubwa kuliko yule fundi uliyemuona ana bei kubwa.

Cheap is more expensive tumieni wataalamu
 
Fundi umetisha!

Gharama hujapaona?[emoji15][emoji101][emoji119]

Nilifikiri nimeshtuka peke yangu
 
kupaua si gharama kiasi hicho kaka acha tamaa na kutisha watu labda gharama hizo ni kwa site za masaki na maeneo kama hayo au huko ni kutafuta faida za juu kabisa....hizo kazi tunafanya kila siku na bei ni za kawaida kabisa mf.. Nyumba ya vyumba 3 au 4 yenye vipimo standard itachukua mbao treated za hadi sh 1.5m, bati kama ni south around 3.5m na ufundi ni around 1-1.2m na tunafanya daily
 
Wadau,

Hatua za ujenzi na gharama zake

1. Kujua kwa yakini ukubwa wa nyumba unayotaka kujenga na malengo yake;
2. Kusafisha kiwanja
3. Kupata Ramani ya nyumba kwa mahitaji na utashi wako
4. Kutafuta ushauri kutoka kwa mtalaamu wa udongo au fundi mbobezi wa ujenzi kuhusu aina ya msingi unaotakiwa kwa aina ya nyumba unayotaka kujenga;
5. Uthibitisho wa eneo unalotaka kujenga ni miliki yako ama kimila au kwa mjibu wa sheria za ardhi;
6. Tafuta uashi (mason) mwenye weledi wa kazi hiyo na mwaminifu;
7. Fanya mapatano ya gharama za kujenga msingi kuanzia kuchimba, kupanga mawe au tofali na kutandaza tofali
8. Pata idadi ya vifaa vinavyohitajika kukamilisha ujenzi wa msingi kama: mawe, tofali, mchanga, kokotoo, simenti, mbao za kukingia jamvi la zege, usafiri wa vifaa kwenda eneo la mradi(site) na maji,
9. Kokotoa gharama kamilifu ya vifaa ulivyofanyiwa tathimini na fundi kisha vinunue na kuweka stoo iliyo chini ya uangalizi wako mwenyewe
10. Gharama za kumlipa fundi ni asilimia 25% ya gharama za vifaa vyote. Kwa mfano kama gharama ya vifaa vyote vitavyowezesha kukamilisha ujenzi wa msingi ni shilingi 1,500,000/= malipo ya fundi yatakuwa ni shilingi 375,000/= gharama za fundi msaidizi na vibarua ni juu yake kasoro maji ambayo utalipa mwenyewe kwa anayetoa huduma hiyo. Hatua hizi zinafana na ujenzi wa boma hadi lenta (lintel), kupaua na umaliziaji (sakafu, rangi, dari. milango, madirisha, vifaa vya umeme na kuunganisha umeme, maji, miundo mbinu ya vyooni, bafuni nk);
11. Kumbuka ukianza ujenzi una hela ambazo hukuzifanyia mpango uliosahihi ukaishia kwenye kuweka kench ujue utapata hasara kubwa kuliko faida maana ubora wa mbao zilizotumika kupaua zikibaki wazi zikiangaziwa na jua na kunyeshewa mvua hazifai tena na kama hukuchukua tahadhari ukaja ukaanza kuezeka baada ya nusu mwaka nakuendelea hilo paa lina hatari ya kuporomoka.
12. Fanya ujenzi unaolingana na ukamilishaji wake kama huwezi kujenga dai mwisho mfululizo basi jenga kwa hatua hizi: Kusafisha, kuchimba na kujenga msingi-fungu la kwanza, kuinua boma na lenta-fungu la pili, kupaua na kuezeka bati-fungu la tatu, kuweka milango na madirisha-fungu la nne, kuweka waya za umeme na bomba za maji ndani ya nyumba-fungu la tano, kupiga lipu (plaster) na sakafu (floor)-fungu la sita, kuweka dari na kupaka rangi-fungu la saba. Ukizingatia haya utajenga bila presha ijapokuwa utachelewa kukamilisha. Usithubutu kuanza ujenzi wa nyumba kubwa ambayo hutakuwa na uwezo nayo kuikamilisha kama ulivyopanga itakufanya uchanganyikiwe hata kutamani kuiuza.

Huo ndio mchango wangu wadau kuhusiana na mada ya mdau.
Shukran Sana kwa mchanganuo inayoeleweka
 
kama ulikwepo, ila Mungu anitie nguvu nikamilishe nisiuze
 
Nilitafuta fundi kwa kuezeka akanipa makadirio ya around 8.1 million tukakubaliana akaanza kazi na gharama zilikuja hivi
Mbao treated za kupaua 2.8 M
Mabati ya maxcover 3.5 M
Kofia 360000
Misumari 140000
Ufundi 800000

Mbao zilibaki nyingi sana kiasi cha kutosha kupiga draft ndani vyumba vyote vitatu kwa hiyo kazi ya draft imebaki si kubwa .
Pamoja na gharama zote nilizotumia balance ilikuwa laki 4
Mambo vip, nyumba yako ina sq meter ngapi??
Hesabu yako haiko mabli na hesabu yangu japo ndo nimenunua bati 128 kwa 31,000/= Alaf na sasa nasaka mbao na nimekadria kuwa 2.4m na mengineyo nimeweka 600,000 labour charge ni 700,000/= location mwanza.. 12*12 area.
 
Aisee hiyo alaf ulinunua wapi kwa bei hiyo na ni aina gani na geji ngapi
 
Kuna nyumba zinanyimwa mbao katika kupaua, mbao zinazobeba bati zimeachana distance kubwa sana... Japo mie siyo fundi ila ukisoma comment za mafundi wengi unaona ukubwa wa nyumba na idadi ya mbao hususani zinazobeba paa haviendani kabisaaa
 
Asalam Ailekum wandugu,

Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Natanguliza Asante.

--------------------
Kama hujapata
Wapigie watu wa UVIMO,
Hawa watakusaidia kwa kuwa ni jumuia ya mafundi, wanna fanya kila kitu kwenye ujenzi.

0753927572 -Wasap
0629361896 -Kupiga
 
Wadau,

Hatua za ujenzi na gharama zake

1. Kujua kwa yakini ukubwa wa nyumba unayotaka kujenga na malengo yake;
2. Kusafisha kiwanja
3. Kupata Ramani ya nyumba kwa mahitaji na utashi wako
4. Kutafuta ushauri kutoka kwa mtalaamu wa udongo au fundi mbobezi wa ujenzi kuhusu aina ya msingi unaotakiwa kwa aina ya nyumba unayotaka kujenga;
5. Uthibitisho wa eneo unalotaka kujenga ni miliki yako ama kimila au kwa mjibu wa sheria za ardhi;
6. Tafuta uashi (mason) mwenye weledi wa kazi hiyo na mwaminifu;
7. Fanya mapatano ya gharama za kujenga msingi kuanzia kuchimba, kupanga mawe au tofali na kutandaza tofali
8. Pata idadi ya vifaa vinavyohitajika kukamilisha ujenzi wa msingi kama: mawe, tofali, mchanga, kokotoo, simenti, mbao za kukingia jamvi la zege, usafiri wa vifaa kwenda eneo la mradi(site) na maji,
9. Kokotoa gharama kamilifu ya vifaa ulivyofanyiwa tathimini na fundi kisha vinunue na kuweka stoo iliyo chini ya uangalizi wako mwenyewe
10. Gharama za kumlipa fundi ni asilimia 25% ya gharama za vifaa vyote. Kwa mfano kama gharama ya vifaa vyote vitavyowezesha kukamilisha ujenzi wa msingi ni shilingi 1,500,000/= malipo ya fundi yatakuwa ni shilingi 375,000/= gharama za fundi msaidizi na vibarua ni juu yake kasoro maji ambayo utalipa mwenyewe kwa anayetoa huduma hiyo. Hatua hizi zinafana na ujenzi wa boma hadi lenta (lintel), kupaua na umaliziaji (sakafu, rangi, dari. milango, madirisha, vifaa vya umeme na kuunganisha umeme, maji, miundo mbinu ya vyooni, bafuni nk);
11. Kumbuka ukianza ujenzi una hela ambazo hukuzifanyia mpango uliosahihi ukaishia kwenye kuweka kench ujue utapata hasara kubwa kuliko faida maana ubora wa mbao zilizotumika kupaua zikibaki wazi zikiangaziwa na jua na kunyeshewa mvua hazifai tena na kama hukuchukua tahadhari ukaja ukaanza kuezeka baada ya nusu mwaka nakuendelea hilo paa lina hatari ya kuporomoka.
12. Fanya ujenzi unaolingana na ukamilishaji wake kama huwezi kujenga dai mwisho mfululizo basi jenga kwa hatua hizi: Kusafisha, kuchimba na kujenga msingi-fungu la kwanza, kuinua boma na lenta-fungu la pili, kupaua na kuezeka bati-fungu la tatu, kuweka milango na madirisha-fungu la nne, kuweka waya za umeme na bomba za maji ndani ya nyumba-fungu la tano, kupiga lipu (plaster) na sakafu (floor)-fungu la sita, kuweka dari na kupaka rangi-fungu la saba. Ukizingatia haya utajenga bila presha ijapokuwa utachelewa kukamilisha. Usithubutu kuanza ujenzi wa nyumba kubwa ambayo hutakuwa na uwezo nayo kuikamilisha kama ulivyopanga itakufanya uchanganyikiwe hata kutamani kuiuza.

Huo ndio mchango wangu wadau kuhusiana na mada ya mdau.

Ushauri huu unatakiwa ukawekwe jumba la makunbusho ili tuwe tunaupitia mara kwa mara.

Unaongeza tabasamu, kupunguza stress, kuongeza akili na ari ya kujenga.

Mungu akubariki sana mkuu.💪💪
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8000
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13000
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Mkuu naomba ukimaliza kupaua, unipe kazi ya skiming na kupaka rangi
 
FAHAMU MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO (+255-657-685-268)

Fahamu gharama ujenzi wa nyumba yako kwa kila steji kama MSINGI, KUTA, PAA, RANGI, DARI, MAJI, UMEME... ili uweze fanya tathimini ya uwezo wako kama upo chini au juu sanaaa na uanze kuweka mipango mikakati vyema ya kuweza kufanikisha ujenzi wa nyumba yako!
20210529_124307.jpg
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8000
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13000
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
Ofisi hipo wapi ??

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom