Mgalatia mbona unarukaruka, sema tu historia yote ya Muhimbili na ilianzishwa na nani, na kwanini kuna wodi ya Sewa Haji
Kama Rais anajua yote, kwanini ana washauri? Jibu objectively, katika hali ya huduma zetu za tiba ilivyo nchini, kipaumbele ni kubomoa na kujenga tena Muhimbili?Yaani wewe uone hujuma Rais asione.
Hoja yako ni nini haswa? Kuleta mipasho na vijembe kwenye mambo ya msingi ni dalili ya umasikini wa fikra. Tunaongelea uwekezaji wa 1.2T kubomoa na kujenga tena MNH katika kipindi ambacho bado hospitali zetu za Zonal na regional referal bado hazina basic specialized services wewe unaongea shombo. Are you serious?Akili yako imejaa Samia; utakuwa ni mwenda wazimu.
Wewe utakuwa mtetezi wa Samia kumshinda Mchengerwa?
Nimejibu tu kichwa cha mada, nikijuwa huko ndani hakuna lolote la maana.
Sina shaka wewe hukusoma Muhimbili kwa hiyo digrii unayodai unayo. Pengine hiyo ni ya UMTU au Kampala.
Uwekezaji wa trilioni 1.4 unaweza kusaidia kupunguza mabilioni yanayopotea kila mwaka kwa kupeleka wagonjwa kutibiwa nje, kama India na Ulaya, kuna uwezekano mkubwa ukajilipa wenyewe, na hata faida ikaelekezwa katika kuendeleza sekta nyingine muhimu, not sure but looks like a plan, medical tourism is real lakini world class facilities kwanzaHoja yako ni nini haswa? Kuleta mipasho na vijembe kwenye mambo ya msingi ni dalili ya umasikini wa fikra. Tunaongelea uwekezaji wa 1.4T kubomoa na kujenga tena MNH katika kipindi ambacho bado hospitali zetu za Zonal na regional referal bado hazina basic specialized services wewe unaongea shombo. Are you serious?
Wewe ni mtu 'opportunist' hasa unayepigania kuonekana na huyo unayemwabudu ili akuone.Hoja yako ni nini haswa? Kuleta mipasho na vijembe kwenye mambo ya msingi ni dalili ya umasikini wa fikra. Tunaongelea uwekezaji wa 1.4T kubomoa na kujenga tena MNH katika kipindi ambacho bado hospitali zetu za Zonal na regional referal bado hazina basic specialized services wewe unaongea shombo. Are you serious?
Kama hujasoma maudhui ya mada unatoa wapi uhalali wa kutoa comments zako?Wewe ni mtu 'opportunist' hasa unayepigania kuonekana na huyo unayemwabudu ili akuone.
Inatia kinyaa sana kwa mtu kama wewe (kama kweli ni mhitimu wa fani hiyo) kujidhalilisha namna unavyojionyesha waziwazi.
"...kumhujumu (Rais?) Samia" kunaongeza thamani gani katika mada unayojigamba kuwa "ya msingi"?
Nimekuuliza wewe, unafikiri swala la "kumhujumu Samia" linakugusa zaidi wewe kuliko Mchengerwa?
Ukitaka nijadili hiyo habari ya tr 1.4; achana na habari ya kujikomba ili ujionyeshe mbele za hao unaotaka wakuone.
Kama nilivyosema mwanzo, sikusoma, na wala sijasoma umeweka nini kweny bandiko refu hilo; lakini kutokana na uzoefu wa maandiko yako, najuwa huko ndani kutakuwa na mengi ambayo siwezi kukubaliana nayo.
Wazo la kubomoa kilichopo mara nyingi siyo wazo zuri, lakini kuna nyakati uhitaji unalazimu kufanya hivyo.
Hii ni hospitali ya taifa zima, inayotegemewa katika kushughulikia 'specialities' zisozowezekana huko kwingine. Kwa hiyo uhitaji wake upo; kama uhitaji wa kuimarisha uwezo wa kushughulikia matatizo madogo huko mikoani na wilayani kulivyo.
Kwa hiyo ni swala la kupima uwiano kwa sasa upoje katika maeneo hayo mawili.
Na pia ni muhimu ujuwe kwamba hili swala la kuijenga Muhimbili upya siyo swala geni; limekuwepo miaka mingi. mawodi ya Sewa haji hayakidhi tena matakwa ya leo kwenye hospitali yenye hadhi ya aina hiyo
Uhalali wa 'comment' zangu unatokana na kichwa cha mada kilichotumika.Kama hujasoma maudhui ya mada unatoa wapi uhalali wa kutoa comments zako?
God forbid I should not add a word on this. PeriodUhalali wa 'comment' zangu unatokana na kichwa cha mada kilichotumika.
Hilo pekee ndilo lililonifanya nighaili hata kusoma yaliyo ndani ya mada yenyewe.
Nani kasema Rais anajua yote?Kama Rais anajua yote, kwanini ana washauri? Jibu objectively, katika hali ya huduma zetu za tiba ilivyo nchini, kipaumbele ni kubomoa na kujenga tena Muhimbili?
ni hujuma kwa wananchi sio raisi hakukuwa na ulazima wa kutaja jina la rausi kwenye title.Wewe ni mtu 'opportunist' hasa unayepigania kuonekana na huyo unayemwabudu ili akuone.
Inatia kinyaa sana kwa mtu kama wewe (kama kweli ni mhitimu wa fani hiyo) kujidhalilisha namna unavyojionyesha waziwazi.
"...kumhujumu (Rais?) Samia" kunaongeza thamani gani katika mada unayojigamba kuwa "ya msingi"?
Nimekuuliza wewe, unafikiri swala la "kumhujumu Samia" linakugusa zaidi wewe kuliko Mchengerwa?
Ukitaka nijadili hiyo habari ya tr 1.4; achana na habari ya kujikomba ili ujionyeshe mbele za hao unaotaka wakuone.
Kama nilivyosema mwanzo, sikusoma, na wala sijasoma umeweka nini kweny bandiko refu hilo; lakini kutokana na uzoefu wa maandiko yako, najuwa huko ndani kutakuwa na mengi ambayo siwezi kukubaliana nayo.
Wazo la kubomoa kilichopo mara nyingi siyo wazo zuri, lakini kuna nyakati uhitaji unalazimu kufanya hivyo.
Hii ni hospitali ya taifa zima, inayotegemewa katika kushughulikia 'specialities' zisozowezekana huko kwingine. Kwa hiyo uhitaji wake upo; kama uhitaji wa kuimarisha uwezo wa kushughulikia matatizo madogo huko mikoani na wilayani kulivyo.
Kwa hiyo ni swala la kupima uwiano kwa sasa upoje katika maeneo hayo mawili.
Na pia ni muhimu ujuwe kwamba hili swala la kuijenga Muhimbili upya siyo swala geni; limekuwepo miaka mingi. mawodi ya Sewa haji hayakidhi tena matakwa ya leo kwenye hospitali yenye hadhi ya aina hiyo
Si ww unayebeza rais kushauriwa? Au hukumbuki ulichokuwa ume comment?Nani kasema Rais anajua yote?
Ila huyo Rais ndio mwakilishi wa wananchi! Kuna ubaya gani akitajwa? Mbona tuna fedha za mama, goli la mama, scholarship za mama, kwanini na hii hujuma isiitwe ya mama?ni hujuma kwa wananchi sio raisi hakukuwa na ulazima wa kutaja jina la rausi kwenye title.
Umeongea vyema comrade! Huu mpango kwakweli ni mfano mbaya matumizi mabaya ya rasilimali chache tulizonazo.watu wengi wenye akili hawaungi mkono ubomoaji wa full functioning hospital unit(kwa kutumia gharama) halafu ujenge tena majengo mapya eneo hilo hilo (kwakutumia gharama)
wakati ungeweza kujenga hospitali mpya maeneo mengine.
Kama nchi hatuna uhaba wa maeneo,na mkoa wa dare salaam haauna uhaba wa hospitali zipo nyingi hata za private.
why is it necesary iwe hapo hapo daresalaam ??tena sio daresalaam iwe why is it necessary iwe hapo hapo muhimbili? si hata kibaha,hata maeneo mengine ya mkoa wa daresalama ,,why is it necessary wabomoe?? kwanini kubomoa??
Wote wanaodaganywa ni watoto?Anadanganywa yeye ni mtoto??