Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

Endelea kusubiri kwanza una uhakika gani utapata.
Kupata au kukosa yotee ni matokeo ,,,

Cha msingi watu hawa wafanye mambo kwa wakati ,, kama shughuli zimewaelemea ni vyema wakasema ,,

Kwasababu kuchelewa kwao kwa namna moja au nyingine kunavuruga ratiba nyingine ,
 
Ww n mgeni wa utumishi eee
Of course yes !!, Na siyo kwamba nilikuwa siwajui hapana ila ni kwasabu maombi yetu yalikuwa hayapitiii kwao ,, hivyo hakukuwa na haja ya kuwafuatilia ,,, lakn sasa yameletwa huku na kwa kweli inashangaza jinsi watu hawa wanavyofanya kazi taratibu mpaka unajiuliza watu wanawezaje kuwavumilia ???
 
Bc tulia
 
UTUMISHI Wako sahihi wanasubiri bajeti ikipita ndio waite watu interview sababu mishahara ya waajiriwa wapya huwepo kwenye bajeti mpya ikipita wanajua wa ki interview walioshinda wanaingia moja kwa moja kazini na mishahara yao ipo
 
Ishu hapa sio walimu kuwa walalamishi kiukweli utumishi wanafeli Sana.
Pia hao wa kada nyingine sio kama wanapenda kusubili kuitwa saili miezi mitano.
Ni vile wachache ata wakianzisha malalamiko kusikika ni muda mrefu sana hila awapendi TU.
Nahisi kupitia wingi wa walimu ukombozi unakuja utumishi mapungufu Yao mengi yataonekana Sasa ya yatazungumzwa Sana
 
Atakuja hapa ndugu yangu Mbaga Jr atakubeza Sanaa 😊 😅
 
Utumishi ni kiboko omba Mwezi wa 2 utaitwa Mwezi wa 10/11 interview utapangiwa kazi Mwezi wa 8/9 hukooo yaan ni mwendo wa gap juu ya gap juu ya gap
 
Kwa nini tamisemi iandae ikiw Kuna idara iliundwa kufanya hiyo kazi? PSRS hiyo ndio kazi yake
 
Kupata au kukosa yotee ni matokeo ,,,

Cha msingi watu hawa wafanye mambo kwa wakati ,, kama shughuli zimewaelemea ni vyema wakasema ,,

Kwasababu kuchelewa kwao kwa namna moja au nyingine kunavuruga ratiba nyingine ,
Muomba ajira ni muhitaji wa hiyo ajira, hawezi kumpangia anayetoa hiyo ajira. Kama muombaji ana ratiba zingine ataachana na huo mchakato ataendelea na hayo mambo yake mengine

Pia Hakuna kosa kuchelewa, wao pia wana ratiba pengine zimeingiliana ambazo wewe hupaswi kuzijua. Ukishaomba kuwa mpole subiri utaitwa na sio kuwapangia wakuite lini
 
Kwa nini unataka mchakato uende haraka vile unavyopenda? Wewe ni muhitaji kuwa mpole. Ukiona wanachelewa endelea na mambo yako
 
Pia Hakuna kosa kuchelewa, wao pia wana ratiba pengine zimeingiliana ambazo wewe hupaswi kuzijua. Ukishaomba kuwa mpole subiri utaitwa na sio kuwapangia wakuite lini
Mwezi 2 umeomba unakuja kuitwa interview Mwezi wa 11 huko unafanya interview unakuja kupangiwa na kuitwa kazini mwezi wa 10/11 mwaka kesho yake
 
Kwa nini unataka mchakato uende haraka vile unavyopenda? Wewe ni muhitaji kuwa mpole. Ukiona wanachelewa endelea na mambo yako
Mwisho unasahau unakuja kushtuka ulishaitwa interview ukapewa na interview number na imeshapita muda wake kitambo sana in short umepigwa
 
Bila shaka wewe ni mnufaika wa huu mfumo mbovu wa Ma CCM na viunga vyake.
 
Bila shaka wewe ni mnufaika wa huu mfumo mbovu wa Ma CCM na viunga vyake.
So ili nionekane sio mnufaika ilibidi nianze kumsympthasize? Sio kwa ajira za serikali tu bali zote ukiomba ajira subiri utaitwa ikitokea hujaitwa kuwa mpole. Pia mtoa ajira anaweza kughairi kuajiri. Nyie madogo nani aliwaambia muomba ajira anampangia mtoa ajira muda wa kuita usaili?
 
Mwezi 2 umeomba unakuja kuitwa interview Mwezi wa 11 huko unafanya interview unakuja kupangiwa na kuitwa kazini mwezi wa 10/11 mwaka kesho yake
Ni sawa tu, wewe uliyeomba ndio unapaswa kuwa mviumilivu, sio yeye anayekupa ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…