Mie nshasema marufuku kupeleka wanangu bweni, nwisho wa siku wanakuwa kama Amsterdam wa Lissu! Kufa bila marinda dhambi kubwa!Hili ni tatizo kubwa sana. Unawezaje kwanza kukaa mbali na mwanao kizembe zembe kisa shule ukiangalia mtoto mwenyewe mdogo.
Hii mitindo imechangia pakubwa sana kuwepo na mashoga,wasagaji,vijana kutokuwa na utu, tabia mbaya, uhuni na uchafu mwingine.
Kuna Wazazi wengine kila wakizidi kupata pesa ya kuchezea na Ujinga wao unaongezeka! Kibaya zaidi hawaruhusiwi hata kupaona sehemu wanapolala Watoto wao!!Wenyewe wanajiona wajanja na wazazi bora kwa kuweza kumlipa mtu awalelee watoto kupunguza usumbufu.
Watoto wanateseka sana. Kama huna muda wa kulea heri usizaeAsilimia kubwa ya wazazi wa aina hii ni wale mama na baba usipitwe kila sherehe wanataka wawemo,kila warsha,kongamano,safari za kikazi etc wao wanajiweka mbele mbele. Mtoto akilalamika anaambiwa ni kwa faida yake
Haya mateso wanayowapa watoto baada ya Mungu kuwabariki na pesa kama kiama kipo kweli sijui wanaenda kujibu niniKuna Wazazi wengine kila wakizidi kupata pesa ya kuchezea na Ujinga wao unaongezeka! Kibaya zaidi hawaruhusiwi hata kupaona sehemu wanapolala Watoto wao!!
hebu funguka zaidi. alisema nini?Ni Hatari asee, Kuna shule flani mkoa flani mtoto wa darasa la nne alikamatwa anaweka sumu kwenye chakula Cha wanafunzi wa darasa la tatu, alibanwa Sana akasema kila kitu...kiukweli tuwe makini Sana.
Mkuu, alisema Kuna watu walimpa hiyo sumu atie kwenye chakula Cha hao wanafunzi na walimpa pesa.hebu funguka zaidi. alisema nini?