jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,955
- 9,439
Binaadamu ni wa ajabu sana,unaweza gombana nae kazini au kitaani, ukajua yamekwisha kumbe atafanya kila njia amuuwe mwanao huko Boarding!!Mkuu, alisema Kuna watu walimpa hiyo sumu atie kwenye chakula Cha hao wanafunzi na walimpa pesa.