Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Mkuu ni yule wa tokea 2020 ama?Mahusiano yana mengi sana.
Kuna nyakati unakuwa na mtu anayekuonesha mapenzi ya dhati, anakufanyia kila kitu lakini haum'feel kabisa. Unajaribu kumkasirisha ili labda akasirike akuache lakini wapi, kila kosa lako analisamehe na mara nyingine yeye ndo anakuwa anaomba msamaha kwa makosa yako.
Unajaribu kupunguza kumjali ili pengine umfanye na yeye aanze kukaa mbali na wewe lakini haitokei hivyo. Atalia atalalamika lakini bado atabaki na wewe. Unatamani umwambie muachane lakini unakuwa unamuonea huruma. Unabaki kuendelea kupata mapenzi motomoto ambayo hauyahitaji na huku siku zikisonga ukiomba lolote litokee muachane...
hakunaga hicho kitu. Ni lazma alipe gharama ya kupenda asipp pendwaHivi unaweza kumkataaa mtu wa hvo bila kumuumiza na wala asijiskie vbya
HatareMi nikimpenda mtu namganda mpaka moyo Useme nimechoka kuumia.....hapo ndo nasepa jumla.
Adela popote ulipo unisamehe, nakumbuka ulivyonipenda kwa dhati, nakumbuka ulivyolia mbele yangu kwa uchungu.Ilishawahi nitokea,aseee mbona nilitafuta dawa,sio kwa kuganda kule hata umpige tukio gani ye yumo tu
Sema ndo hvo mda mwingine ukikaribishwa kwa vurugu unaadapt harakahakunaga hicho kitu. Ni lazma alipe gharama ya kupenda asipp pendwa
BalaaHatare
Kaka mbona hapo mwishoni kama Kuna namna unapambana na karmaAdela popote ulipo unisamehe, nakumbuka ulivyonipenda kwa dhati, nakumbuka ulivyolia mbele yangu kwa uchungu.
Nilijaribu kuwa muwazi kwako kuwa nikikubali tuwe na uhusiano nitakuumiza bure...kumbe nilitia petrol kiberiti...ulilia sana lkn haikubadili kitu.
Nimejifunza kuepuka mapenzi yakumhurumia mtu kwani ni matesi ya kesho.
Yupi tena mkuu...😀Mkuu ni yule wa tokea 2020 ama?
Ni ngumu sana...Hivi unaweza kumkataaa mtu wa hvo bila kumuumiza na wala asijiskie vbya