Kupendwa sana nako ni kero

Kuna sehemu nimejikanyaga hadi najuta, yaani mtu anakuwa kama mimi ndiye nimembikiri kumbe nimemkuta ni single mother niltaka kutoa kutu tu yeye ndiyo amekolea hadi kero. Nafikiria kumpiga tukio ila namuonea huruma atakavyopiga mayowe.
 
Hii ishu niko nayo muda huu aisee, Mm nilitaka kupiga then nikimbie ila ndo mambo yamekolea afu n mtamu knoma πŸ˜‚
 
Yan hajakutana na mm natamni had nijue ukilala uniambie umegeuka upande ganiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Umeonaee hajakutana nasisi, lazima aniambie alipo, mbele yake anaona nini. Akiamka aliota ndoto gani. Muda huo anawaza nini. Hawa hawajui mapenzi hawa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Umeonaee hajakutana nasisi, lazima aniambie alipo, mbele yake anaona nini. Akiamka aliota ndoto gani. Muda huo anawaza nini. Hawa hawajui mapenzi hawa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
ndo wanaita mahaba ndindindi?
 
Kuna sehemu nimejikanyaga hadi najuta, yaani mtu anakuwa kama mimi ndiye nimembikiri kumbe nimemkuta ni single mother niltaka kutoa kutu tu yeye ndiyo amekolea hadi kero. Nafikiria kumpiga tukio ila namuonea huruma atakavyopiga mayowe.
Achana na hao matapeli single moms
 
Kuna kipindi flani, mtoto flani hv kutoka Mwanza alidata kichiz yn ilkuwa kila muda ni cm na kujua npo wap nafany nn hadi nkaanza kuona ni kero, Leo nna confirm nmemiss sana zile kero zake ,hapa nlpo sshv sio size yangu kbs nispomtafuta hanitafuti.

Nkimpata wakunpenda tena wallah sitamuangusha I'll love her to the fully tena awe msumbufu namna hiyo weeh ntakuwa mtu mwenye furaha sana hapa Dodoma.
 
Mbona wapo wengi tu mkuu,nenda kwa single mother utapendwa hadi ushangae ila utapendwa wewe pamoja na baby daddy
 
Niambie, upo wapi, umekula, unafanya nini now..nimekumc, njoo tuogeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yaani mapenzi ukijifanya tu unataka kutumia akili basi lazima yakushinde
 
Ww uko kama mm, kuna unawaza hela na maisha ya baadae. Mwenzio anaona huna upendo kwake. Kwangu ni kero kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…