Kupendwa sana nako ni kero

Umeonaee hajakutana nasisi, lazima aniambie alipo, mbele yake anaona nini. Akiamka aliota ndoto gani. Muda huo anawaza nini. Hawa hawajui mapenzi hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnanichekeshaa hatariiiii
 
Kimekulambaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
May be opportunity will come twice to you, goodluck. Ingawa kadri unavyokua ki umri ndo chance yapungua , unakutana na wachumia tumbo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…