Kupendwa sana nako ni kero

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
sijui ni kwanini tu nimetamani kulia kwa uchungu mkuu..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kuna dadaang ananiambiaga yakikushinda Lia Yani angusha kilio hasa πŸ˜€πŸ˜€
 
Umeonaee hajakutana nasisi, lazima aniambie alipo, mbele yake anaona nini. Akiamka aliota ndoto gani. Muda huo anawaza nini. Hawa hawajui mapenzi hawa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani dada acha tu
Nimecheka Yani kwakweli Kuna sisi wasumbufu Hadi tunajua kuwa Hawa viumbe wanajuta kutujuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila Muda anataka Dudu nishapitia sana hio unaweza ukapotea ukienda kule Pangani
 
Kumbe una mke sasa kwanini hukitulizi? Lucas kumbe anasemaga ukweli
Mbona yeye Lucas anaye mke na anaendelea kughilibu na maneno yake ya kinafiki. Sikujua kumbe na wewe unatembelea mitaa hii,karibu sana kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…