MMU ndio mitaa yangu na mimi nimeshangaa kukuonaMbona yeye Lucas anaye mke na anaendelea kughilibu na maneno yake ya kinafiki. Sikujua kumbe na wewe unatembelea mitaa hii,karibu sana kwetu.
Namfahamu mke wake alisoma darasa moja na mdogo wangu. Ila haina neno .MMU ndio mitaa yangu na mimi nimeshangaa kukuona
Lucas hana mke acha uchonganishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii!!! Em acha mara 1 kwanini unakua king'ang'a? WoiiiiihNafikir akikaa pekeyake anasemaga hiki ni nn[emoji2][emoji2][emoji2]
Wacha wee !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii!!! Em acha mara 1 kwanini unakua king'ang'a? Woiiiiih
Yule kijana si huwa unamsumbua muda wote🤣Labda kama Hana kazi, ndyo simu za mara kwa mara....hivi hizi kazi zetu za kijungujiko unapata wapi muda wa kuchat labda
Ni mzuri?kuna mama moja uwa nailamba block siku moja moja hili ni focus unaweza usipokee simu uko buzy kitakachofata hapa ni calls 20+ na message ka mvua mbaka upendo unaishaa
Auibiwi bhnaa😀Niambie kama naibiwa
Hii "kmmk" haikuwepo kwenye silabasi yetu kwenye sayansi ya kijamii kule Cuba. Waeza poteza muda wako kidogo unifafanulie kabla sijaenda kutoa sadaka???kmmk huu ni ufala endeleeni kupotezeana muda na bando.
Hata wewe mjukuu mtiifu wa babu????Wanawake wenzetu washikilie hapo hapo 😂😂
hicho ni kitenzi kipya kiwakilishi cha mkazio wa neno ni kitu kipyaHii "kmmk" haikuwepo kwenye silabasi yetu kwenye sayansi ya kijamii kule Cuba. Waeza poteza muda wako kidogo unifafanulie kabla sijaenda kutoa sadaka???
Basi ntawasiliana na BAKITA waliweke kwenye TUKI. Ila naona kama neno hamasishi... Nimejikuta baioloji yangu imefanya fizikia ya kitu yabisi chini ya kitovuhicho ni kitenzi kipya kiwakilishi cha mkazio wa neno ni kitu kipya
fanya hivo, kwamba unanyege auBasi ntawasiliana na BAKITA waliweke kwenye TUKI. Ila naona kama neno hamasishi... Nimejikuta baioloji yangu imefanya fizikia ya kitu yabisi chini ya kitovu
Unaona sasa. Umeshakuwa mkubwa tayari....fanya hivo, kwamba unanyege au
Sio mimiHata wewe mjukuu mtiifu wa babu????
Basi nimemsamehe kwa niaba yako. Mwambie asirudie tena nisijemfanya kitu mbaya...Sio mimi
Mtu ali-hack account yangu dia babu
Napitia hali kama yako, Kwakweli ni changamotoYaani unapendwa eeh, kila saa mtu anahisi wewe hurudishi upendo alionao yeye kwako, mara aone wewe una wanawake wengine duh.
Kupendana kuwe kwa kiasi, vikizidi ni kero, kama hujawahi kupendwa sana huwezi ukaelewa hapa. Kuna muda tunahidtaji ku focus na mambo mengine sio kila saa hivyo tu.
Kweli hatari watu mnalalamika kupendwa tena wakati wengine never been loved kabisaYaani unapendwa eeh, kila saa mtu anahisi wewe hurudishi upendo alionao yeye kwako, mara aone wewe una wanawake wengine duh.
Kupendana kuwe kwa kiasi, vikizidi ni kero, kama hujawahi kupendwa sana huwezi ukaelewa hapa. Kuna muda tunahidtaji ku focus na mambo mengine sio kila saa hivyo tu.