Kupiga chabo kulipelekea kuona tukio la mke kumloga mme wake kupitia chakula

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Tuheshimu privacy za watu chabo sio jambo zuri hata kidogo yanayofanyika ndani ya kuta nne yabaki kuwa confidential unless kama yaliyofanyika yana maslahi mapana kwa jamii.

Kwa maslahi mapana ya wanaume wanaoandaliwa chakula na wake zao mimi BabaMorgan nimepata ujasiri wa kusema niliyoyaona kupitia chabo chumba cha jirani lengo sio kuhalalisha chabo bali ni kuleta awareness ya kile kinachoendelea behind the curtain hususani yale yanayofanywa na watu tunaowaamini wanao play role kubwa kwenye maisha yetu ya kila siku.

Ilikuwa mwaka 2018 kwa mara ya kwanza ndio naanza kuishi kwenye Makambi ya wafanyakazi baada ya kuajiriwa kama kibarua in general mazingira yalikuwa sio rafiki kuanzia vyumba mpaka toilet kwani vilikuwa vimejengwa kwa mabati kuanzia chini mpaka paa la juu wazee wa chabo waliona fursa na kwenda nayo kwani yale mabati vyumbani na chooni yalikuwa yametobolewa na misumali kwa ajili ya lengo la chabo na kweli view ilikuwa very clear.

Mimi BabaMorgan nilipakana na wanandoa fulani hivi ambao walikuwa wananipa tabu walipokuwa wakianza shughuli zao kutokana na sauti za tendo hivyo ilikuwa ikinilazimu kuangalia na picha ya kinachoendelea kupitia tundu mazoea utengeneza tabia ukawa ndio mchezo wangu every day.

Sasa kuna siku mchana sikwenda kwenye majukumu yangu ikabidi niangalie kinachojiri next door nikamuona mke wa mshikaji amekaa chini akiwa mtupu na sahani ya wali uliojaa nyama akichukua vitu kutoka sehemu zake za siri na kuviweka kwenye sahani alifanya hivyo kama mara tano then akahifadhi kile chakula kwenye hot pot na kuvaa nguo zake na kuendelea na harakati zake.

Siku hiyo sikutoka ndani ile nije nione hitimisho ya kile chakula nilivyosikia mshikaji karudi ilibidi nirudi tena kwenye lile tundu jamaa alipewa ukaribisho kama siku zote akatengewa msosi mshikaji akafakamia kile chakula na kukimaliza mke hakula.

That's was so bad ilibidi nivunge tu maana nisingeweza kumwambia jirani kuwa karogwa ingezua jambo lingine kuwa nimejuaje ila happy ending nikuwa walikuja kuachana.

From northern part of Tanzania.
 
Wanaume tutafika mbiguni tumechoka[emoji23][emoji23]
 
BabaMorgan wewe na huyo mwenzio ni Askari polisi.
Polisi ukiondoa wachache wa Dar ndio watu wanaokaa kwenye nyumba za mabati.
Halafu polisi ndio kada yenye watu wanaoamini uchawi kuliko wengine. Wanaroga zaidi sababu za kuhamishiwa trafik au kupandishwa vyeo au kuhama miji mibaya.
 
Hili swala la uchawi kwenye mapenzi limeshika Kasi sana,sijui binadamu tunakwenda wapi....binafsi siwezi kujidanganya nafsi yangu kwa penzi la kichawi.
 
BabaMorgan wewe na huyo mwenzio ni Askari polisi.
Polisi ukiondoa wachache wa Dar ndio watu wanaokaa kwenye nyumba za mabati.
Halafu polisi ndio kada yenye watu wanaoamini uchawi kuliko wengine. Wanaroga zaidi sababu za kuhamishiwa trafik au kupandishwa vyeo au kuhama miji mibaya.
Umejaribu kuguess ila ni tofauti na mazingira ya Uaskari.
 
Uamke sasa, kumepambazuka.

Ukaendelee kupambana na maisha.
 
Yaani wanawake acha tu wanavitimbi hawa dada zetu mpaka malaya wakuwaogopa akichukua chako shati, manii na mengineyo yanayohusiana naww umekwisha
 
Tuheshimu privacy za watu chabo sio jambo zuri hata kidogo yanayofanyika ndani ya kuta nne yabaki kuwa confidential unless kama yaliyofanyika yana maslahi mapana kwa jamii.

Kwa maslahi mapana ya wanaume wanaoandaliwa chakula na wake zao mimi BabaMorgan nimepata ujasiri wa kusema niliyoyaona kupitia chabo chumba cha jirani lengo sio kuhalalisha chabo bali ni kuleta awareness ya kile kinachoendelea behind the curtain hususani yale yanayofanywa na watu tunaowaamini wanao play role kubwa kwenye maisha yetu ya kila siku.

Ilikuwa mwaka 2018 kwa mara ya kwanza ndio naanza kuishi kwenye Makambi ya wafanyakazi baada ya kuajiriwa kama kibarua in general mazingira yalikuwa sio rafiki kuanzia vyumba mpaka toilet kwani vilikuwa vimejengwa kwa mabati kuanzia chini mpaka paa la juu wazee wa chabo waliona fursa na kwenda nayo kwani yale mabati vyumbani na chooni yalikuwa yametobolewa na misumali kwa ajili ya lengo la chabo na kweli view ilikuwa very clear.

Mimi BabaMorgan nilipakana na wanandoa fulani hivi ambao walikuwa wananipa tabu walipokuwa wakianza shughuli zao kutokana na sauti za tendo hivyo ilikuwa ikinilazimu kuangalia na picha ya kinachoendelea kupitia tundu mazoea utengeneza tabia ukawa ndio mchezo wangu every day.

Sasa kuna siku mchana sikwenda kwenye majukumu yangu ikabidi niangalie kinachojiri next door nikamuona mke wa mshikaji amekaa chini akiwa mtupu na sahani ya wali uliojaa nyama akichukua vitu kutoka sehemu zake za siri na kuviweka kwenye sahani alifanya hivyo kama mara tano then akahifadhi kile chakula kwenye hot pot na kuvaa nguo zake na kuendelea na harakati zake.

Siku hiyo sikutoka ndani ile nije nione hitimisho ya kile chakula nilivyosikia mshikaji karudi ilibidi nirudi tena kwenye lile tundu jamaa alipewa ukaribisho kama siku zote akatengewa msosi mshikaji akafakamia kile chakula na kukimaliza mke hakula.

That's was so bad ilibidi nivunge tu maana nisingeweza kumwambia jirani kuwa karogwa ingezua jambo lingine kuwa nimejuaje ila happy ending nikuwa walikuja kuachana.

From northern part of Tanzania.
Aisee
 
Back
Top Bottom