ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Ewe mwanaume mwenzangu,epuka chakula cha kutengewa peke yako,tutakwisha,hasahasa shituka,mtu mlikua mnakulaga chakula pamoja,unashangaa siku za usoni,anaanza kukutengea peke yako,can't you ask yourself,imekuaje,hasa kama hakuna ulazima wakutengewa peke yako?Tuwe makini,tunakula vingi pasipokujua.