Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na Israel.
Mara ngapi Netanyahu amezungumza maneno ya kiburi kwa rafiki zake na mbaya zaidi kwa Mungu mwenyewe.Ameiambia Marekani ataingia Rafah hata bila msaada wa Marekani.Kwa Mungu akasema hakuna mtu wala nguvu yoyote itakayoizuia Israel kuingia Rafah.
Israel kwa kichwa chake bapa waliona kama kwamba matatizo yaliyowapata yalisababishwa na Iran moja kwa moja kumbe ni matokeo ya makosa na kiburi chake cha muda mrefu ambapo Mungu alikuwa anawaangalia tu na kuwapangia mpango wa kushindwa mikononi mwa waja wake.
Hatimae Israel ikawa inaifanyia vitimbi Iran.Mara iuwe watu waliojikushanya kuomboleza kifo cha Omar Suleiman,na mwishowe ikaamua kuupiga ubalozi wa Iran nchini Syria.Yote hayo waliyafanya wakiona Iran ndiyo iliyosababisha kupata shida mbali mbali nchini Israel na hasa za kiuchumi.
Houth wamezuia mpaka bandari ya Eliat kufanaya kazi na Hizbullah imehamisha watu wote wa Israel kutoka kaskazini ya nchi na kupelekea maandamano katikati ya nchi na miji mikuu watu wakitaka vita viishe na mateka warudi.
Kuupiga ubalozi wa Iran wa Syria na kuua majenerali wa Iran kwa mara nyengine walidhani ndio kuitia adabu Iran na kwamba Iran itaogopa na kuacha kuunga mkono makundi yanayoipa shida nchi hiyo.Matokeo yake kumbe wamechezea nyuki kwa kuupiga mzinga wao kwa ndimu.
Historia imeandikwa kuwa Iran imeipiga Israel moja kwa moja ndani ya nchi yake na kwa mara ya mwanzo katika historia na Israel imenywea na kubaki kutorudisha ngumi kwa siku kadhaa.
Kabla akina Kinyungu na imeloa na MK254 hawajasema nimeandika maneno mengi ni kuwa kupigwa kwa Israel kumeipunguza nguvu ya kupambana na Hamas na rasmi wamesema hawana tena tarehe ya kuipiga Rafah ziliko batalioni 4 za Hamas ambako huenda viongozi wa Hamas wamejificha pamoja na mateka ambao hawajaweza kuokolewa.
Watu wa Gaza wanarudi majumbani kwao kwa kasi japo kuna batalioni ya IDF ambayo imeachwa iwazuie kufanya hivyo.Hali hiyo ni tangazo rasmi la kusema vita vya Gaza vimewashinda na Hamas wameachwa na ushindi.
Mipango ya ALLAH ya kuidhalilisha Israel yenye kiburi inaendelea vyema.Kila wanavyopanga kujibu ndio Israel inaendelea kumeguka.Haitaishia hapo tu bali tawala nyengine za kijinga jinga na dhulma kama za Misri,Jordan na Saudia nazo zitapigwa na vikundi vidogo sana vya wapinzani na kuondoshwa madarakani.
www.aljazeera.com

Palestinians come under Israeli fire as they attempt return to north Gaza
Israeli soldiers opened fire on displaced Palestinians as thousands attempted to return to their homes in north Gaza.